Tetesi: Kinara wa kukwamisha Rais Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM ni Rajab Luhwavi, NKM CCM Bara

Status
Not open for further replies.
Hahahahahaaaaa! Mkuu, nimekupata. Ndio maana nimemalizia kwa kuwashukuru wajumbe wote wa Mkutano Mkuu kwenye mikoa niliyoorodhesha ambao wamenipa support ya kutosha. Sikuweza kutaja mmoja mmoja kwa vile nitajaza server maana ni wengi
Ha ha ha ha ha ni kutwanga potepote mkuu
Cc TataMadiba
 
Uliingia chimbo gani au salon!! Mbona hakuna hata facts hata 1, Weka evidence za chuki zake na mizunguko yake mikoani. Neno dhahili then vijineno vinafata sio facts. Huna hata kapicha tu uongezea umbea alivyokuwa huko mikoani?
 
Hahahahahaaaaa! Mkuu, nimekupata. Ndio maana nimemalizia kwa kuwashukuru wajumbe wote wa Mkutano Mkuu kwenye mikoa niliyoorodhesha ambao wamenipa support ya kutosha. Sikuweza kutaja mmoja mmoja kwa vile nitajaza server maana ni wengi
Naona umeamua kutomwaibisha barafu.
 
Ulitakiwa kumtetea Gwajima kwanza kabla hujaleta hii habari.Ulicholeta ni sehemu ndogo ya aliyosema askofu.
 
Uliingia chimbo gani au salon!! Mbona hakuna hata facts hata 1, Weka evidence za chuki zake na mizunguko yake mikoani. Neno dhahili then vijineno vinafata sio facts. Huna hata kapicha tu uongezea umbea alivyokuwa huko mikoani?
Hoja hapa ni Luhwavi kuendesha kampeni za kutaka Magu asiwe Mwenyekiti wa CCM. Sasa unataka facts gani? Ina maana hiyo mikakati ulikuwa huijui?
 
Uliingia chimbo gani au salon!! Mbona hakuna hata facts hata 1, Weka evidence za chuki zake na mizunguko yake mikoani. Neno dhahili then vijineno vinafata sio facts. Huna hata kapicha tu uongezea umbea alivyokuwa huko mikoani?
Kama umemsoma mwishoni amesema ataendelea kutupa updates kadri tunavyoelekea julai 23. Nadhani tuwe wapole tu.
 
Kwani kuna mtu mwenye hati miliki ndani ya CCM au yeye ni Mungu hadi hastahili kupingwa na wanachama wengine? Mpeni basi hati miliki ili kusiwepo na yeyote yule mwenye haki ya kumpinga.
 
Ulitakiwa kumtetea Gwajima kwanza kabla hujaleta hii habari.Ulicholeta ni sehemu ndogo ya aliyosema askofu.
Sasa unataka nimtetee Gwajima kwa lipi? Kwa kupendekeza Magufuli ahame chama na aanzishe chama chake?
 
Asante Lizaboni kwa hii taarifa muhimu. Ila wajue kuwa CCM inahitaji kuendeshwa kulingana na wakati uliopo. Sasa kila mwananchi anahoji, na siasa za kufumbiana macho, kufichiana maovu zilishapitwa. Dr. Magufuli anafaa kabisa. Na pia ktk nadharia huwa tunasema kampuni kama inaelemewa na inataka kufa huwa haitafuti kiongozi toka ndani ya kampuni, bali huleta kiongozi toka nje ili aje arejeshe uhai. Na ndivyo ilivyokuwa kipindi cha uchaguzi, Dr. Magufuli na slogan yake ya "Serikali ya Dr. Magufuli...." na siyo serikali ya CCM, tofauti na enzi za Dr. JK, yeye ilikuwa "serikali ya CCM....."
 
Hivi NCHEMBA alijiuzulu unaibu katibu mkuu wa CCM bara ili aweze kuitumikia wizara ya fedha au ili aingie kwenye MBIO za kuusaka URAIS ndani ya CCM??

Mlumumba wa wapi wewe???
 
Hivi NCHEMBA alijiuzulu unaibu katibu mkuu wa CCM bara ili aweze kuitumikia wizara ya fedha au ili aingie kwenye MBIO za kuusaka URAIS ndani ya CCM??

Mlumumba wa wapi wewe???
Ahsante Mkuu kwa ufafanuzi.
 
Nakubaliana na wewe Mkuu. Hawa akina Luhwavi na wenzake ndio wanaotia hofu kwa wanachama wazalendo kuwa Magufuli hafai. Kumbe wana yao mambo
Kwangu mimi sura ya mtu huwa inanipa nusu ya tabia yake, anaonekana ni mtu aneyeishi kwa utashi wa tumbo lake tu!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…