Tetesi: Kinara wa kukwamisha Rais Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM ni Rajab Luhwavi, NKM CCM Bara

Status
Not open for further replies.
Gwajima ameshtakiwa kwa kosa la kumtukana Askofu Pengo. Si haya maneno yake ya juzi
 
Leo Kinana anasifiwa kisa katafuta pesa za mkutano mkuu.
 
Lizaboni hii isije kuwa vita ya ukatibu mkuu, Luhwavi hana pesa ya kuwahonga wajumbe wengi hivyo. Hujajaribu kumutaji au kudodosa katika andiko lako mtu aliye nyuma ya Luhwavi, kuna kitu hakipo sawa hapa.
 
Luhwavi ni fisadi tu asiye na uwezo kiutendaji, atumbuliwe tu na arudishe pesa yote aliyoiba
 
Luhwavi ni fisadi tu asiye na uwezo kiutendaji, atumbuliwe tu na arudishe pesa yote aliyoiba
Kikwete aliambiwa amtumbue hakufanya hivyo. Sasa subiri Ngosha amtumbue bila ganzi
 
Kwani inasemaje hiyo katiba?
Mwenyekiti anapatikana kwa kuchaguliwa,kama itatokea JK akajiuzulu basi Mangula atashikilia nafasi hiyo kwa muda.Mpaka uchaguzi utakapotajwa.
 
Sijui kwanni sijawahi na sitakuja kuamini maandiko ya huyu mleta mada kilaza,
By the way hayo ni yenu wacha muuane
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…