Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vita ni vita mura,sijui ni Lumumba vs Nani hapa...Luhwavi yuko sahihi kwa hoja zake.Ninamuunga mkono 100%
Gwajima ameshtakiwa kwa kosa la kumtukana Askofu Pengo. Si haya maneno yake ya juziMwambie Sirro amwachie Baba Askofu wetu sasa. Maana haya waneno yalisemwa na Baba Askofu mkamsaka eti mchochezi sasa yanaanza kudhihirika kweli yapo. Mbona Sirro anaendelea kumsumbua Baba Askofu? Alichokisema Baba Askofu ndicho ulichokiandika hapa. Tofauti zetu ni Kwamba wewe umetaja jina la engineer, wakati Baba Askofu hakutaja mtu aliye nyuma ya njama hizo. Lakini Kwa ujumla ujumbe wenu una mahudhuhi yale yale.
Hayo matatizo ya kufanyakazi kwa mazoea, alifikiri hii ni CCM ile ya iyena iyena. Ngoja ashughulikiwe mpaka ataomba pooDuuh ameumbuka aisee noma kama ni kweli sijui atakimbilia kule nae au anastay tuned
Katiba ya ccm haisemi hivyo , au mnataka kuisigina ?Hakuna kupiga kura. Kinachofanyika pale ni Kikwete ana step down na Magufuli ana stand up
Nyie hamkumshushia tuhuma dhidi ya chenji zilizosalia katika kampeni?Siku zote Kinana ni wa kusifiwa. Hajawahi kusemwa kwa ubaya chamani
Mwenyekiti anapatikana kwa kuchaguliwa,kama itatokea JK akajiuzulu basi Mangula atashikilia nafasi hiyo kwa muda.Mpaka uchaguzi utakapotajwa.Kwani inasemaje hiyo katiba?