Tetesi: Kinara wa kukwamisha Rais Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM ni Rajab Luhwavi, NKM CCM Bara

Tetesi: Kinara wa kukwamisha Rais Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM ni Rajab Luhwavi, NKM CCM Bara

Status
Not open for further replies.
Subiri nikaweke kambi Dodoma kwenda kushuhudia CCM wakigawana mbao.
 
Mmh!! Wamalizie tuwajue wanaomhujumu mhe.rais
 
CCM wana wasiwasi na utendaji wa Magufuli,wanaogopa asije kukiangamiza chama.
 
Kwani wewe si mwanaume wa kubebwa tu unaona shida gani kuhama mbona ulivyomzaba vibao Jaji Warioba Kikwete alikupa ukuu wa wilaya hapo wewe kwa magufuli unataka uwaziri ha ha jamaa unapenda dezo kweli
Hivi kumbe kuna watu bado wanaamini Lizaboni ni RC Makonda? Kazi kwelikweli. Makonda alivyo busy na kazi na Lizaboni alivyo busy na kutujiza mambo mbalimbali humu jf siamini kama anaweza kuwa mtu mmoja
 
Nadhani mnapoteza muda kwasababu uwenyeketi unaenda kwa JPM labda kama mmeleta thread kummaliza Luhwavi.
 
Wameona mbali huku mtaani kwetu watu kwa sasa hawaitaki ccm baada ya mzee wa majipu kuyumbishwa na sukar tu kisha teuz zake wanahoji mbona zimejaa errors kibao.
 
Lowassa anazidi kupata pigo, huyu ndo Team Lowassa mkubwa aliyekuwa amebaki. CCM kumgundua katika hatia za awali kabisa hivyo ni Pigo kwa bosi wake(Lowassa)
Aah wapi! Watu wote waliowekwa na kikwete mwishoni mwishoni walikuwa anti lowassa
 
Ningekuwa mimi ni Luhwavi hakika ningeachia chama mapemaaaaaa!
Kinachomponza Luhwavi ni mapenzi kwa chama chake.Huyo mwenyekiti wako hana kumbukumbu za mara yamwisho kutaja neno CCM nani ampe uenyekiti?
 
Kinachomponza Luhwavi ni mapenzi kwa chama chake.Huyo mwenyekiti wako hana kumbukumbu za mara yamwisho kutaja neno CCM nani ampe uenyekiti?
Ni lini Luhwavi amekuwa na mapenzi na CCM?
 
Kinachomponza Luhwavi ni mapenzi kwa chama chake.Huyo mwenyekiti wako hana kumbukumbu za mara yamwisho kutaja neno CCM nani ampe uenyekiti?
Hahaaa, Luhwavi alikuwa ikulu akatumbuliwa. Anajua JPM atwaa Chama hana chake.
 
Aah wapi! Watu wote waliowekwa na kikwete mwishoni mwishoni walikuwa anti lowassa
Una uhakika na hilo? Unamkumbuka Martin Shigella ambaye aliteuliwa kuwa Mshauri wa Rais kwenye masuala ya siasa na sasa ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom