Sikujua kama wakati mwingine huwa unasoma gazeti kwa kugeuza. I' m badly sorry!Kwani unatafuta evidence zipi? Na nikupe wewe kama nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikujua kama wakati mwingine huwa unasoma gazeti kwa kugeuza. I' m badly sorry!Kwani unatafuta evidence zipi? Na nikupe wewe kama nani?
Kwa sababu tu amehoji akupe evidence wewe kama nani?Sikujua kama wakati mwingine huwa unasoma gazeti kwa kugeuza. I' m badly sorry!
Hivi kumbe kuna watu bado wanaamini Lizaboni ni RC Makonda? Kazi kwelikweli. Makonda alivyo busy na kazi na Lizaboni alivyo busy na kutujiza mambo mbalimbali humu jf siamini kama anaweza kuwa mtu mmojaKwani wewe si mwanaume wa kubebwa tu unaona shida gani kuhama mbona ulivyomzaba vibao Jaji Warioba Kikwete alikupa ukuu wa wilaya hapo wewe kwa magufuli unataka uwaziri ha ha jamaa unapenda dezo kweli
Nimeisikia hii last week lakini nikaipuuza , kumbe ni kweli ?Nani asiejua kwamba Lizaboni ni timu Bulembo.
Aah wapi! Watu wote waliowekwa na kikwete mwishoni mwishoni walikuwa anti lowassaLowassa anazidi kupata pigo, huyu ndo Team Lowassa mkubwa aliyekuwa amebaki. CCM kumgundua katika hatia za awali kabisa hivyo ni Pigo kwa bosi wake(Lowassa)
Hiyo itakuwa CCM ya Team Lowassa, siyo ya JK, JPM, Kinana na Mangula.CCM wana wasiwasi na utendaji wa Magufuli,wanaogopa asije kukiangamiza chama.
Kinachomponza Luhwavi ni mapenzi kwa chama chake.Huyo mwenyekiti wako hana kumbukumbu za mara yamwisho kutaja neno CCM nani ampe uenyekiti?Ningekuwa mimi ni Luhwavi hakika ningeachia chama mapemaaaaaa!
Wa mwishoni aliyetumbuliwa ni nani?Aah wapi! Watu wote waliowekwa na kikwete mwishoni mwishoni walikuwa anti lowassa
Hahaaa, Luhwavi alikuwa ikulu akatumbuliwa. Anajua JPM atwaa Chama hana chake.Kinachomponza Luhwavi ni mapenzi kwa chama chake.Huyo mwenyekiti wako hana kumbukumbu za mara yamwisho kutaja neno CCM nani ampe uenyekiti?
Una uhakika na hilo? Unamkumbuka Martin Shigella ambaye aliteuliwa kuwa Mshauri wa Rais kwenye masuala ya siasa na sasa ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga?Aah wapi! Watu wote waliowekwa na kikwete mwishoni mwishoni walikuwa anti lowassa