Tetesi: Kinara wa kukwamisha Rais Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM ni Rajab Luhwavi, NKM CCM Bara

Tetesi: Kinara wa kukwamisha Rais Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM ni Rajab Luhwavi, NKM CCM Bara

Status
Not open for further replies.
lizaboni ulichokuwa unapinga humu ni nini??NA HUYO NIMMOJA TU BADO WENGINE.
 
Uteuzi umeisha kwenye hizi nafasi nyingi duh! sasa ww atakupa cheo gani? kama vyeti umeungaunga usihofu atakupa umeneja wa uchimbaji gesi adimu kwa sababu utajifunza hukohuko
 
Hivi sheria ya mtandao haifanyi kazi hapa ................!!

Hii kitu ingetolewa na Yericko, nafikiri tungesikia mengine ................!! Uchochezi, uongo n.k.
Mkuu huyo lizaboni ni mwana lumumba, mbona mnpingana tena?au ndiyo hasira za kutemwa kwenye teuzi?
 
Lakini Luhwavi si alitolewa mfukoni na aliyekuwa rais? Labda yeye ndo anamtuma, tuna uhakika gani kama anajituma? Mkwere mpenda madaraka ndo maana tunasikia kaenda huku na kule mara ukatibu mkuu UN/AU n.k., huenda huu ni mpango wake wa kando ili aendelee kuwa relevant ktk siasa za bongo.
 
Mbona kiila uchanguzi wa mwenyekiti wa CHADEMA unapofika wagombea wengine huzuiwa ili Mbowe pekee agombee bila kupingwa?
Kwahiyo uchaguzi wa mwenyekiti wa ccm mmeshaanza kutoa fomu za wagombea wa hiyo nafasi?
 
Magu anataka pokonya ulaji wa watu unafikiri wafanyeje zaidi ya kumkwamisha huo uenyekiti.
 
Hivi sheria za mtandao hazikuhusu kweli? Maana utakuwa umemofend huyo jamaa bila kuweka ushahidi hapa ubaoni....
 
Lini tarehe ya kuchukua na kurejesha fomu za kugombea Uenyekiti wa CCM taifa ?Makada wanahoji
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom