Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Jibu swaliMbowe huwa anapingwa? Na sasa kubwa lao Lowassa kuna wa kulipinga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu swaliMbowe huwa anapingwa? Na sasa kubwa lao Lowassa kuna wa kulipinga?
Ccm sasa kwishneyyyyyyyyKwa uzoefu na umri wako katika siasa ulichoandika kinashangaza sana mzee.
Huo ni Mtazamo wako. Inaonekana wewe ni miongoni mwa wale ambao hampendi Magufuli awe Mwenyekiti wa CCM. Safari hii lazima mtanyooshwa tuMi nadhani nenda chimbo tena katafute alichokuwa akifanya ktk ziara yake ya mikoani. Siyo icho ulichokileta hapa na ziara ilikuwa ya wazi na wanaccm anayefuatilia siasa ndani ya ccm anajua alichokuwa akifanya mzee Luhawavi, tuache Majungu
Sahihi kabisa Mkuu. CCM ni chama cha kidemokrasia na ndio maana akina Lizaboni tunapata muda wa kuwasema na kuwaweka hadharani wanafikiMagu ndie Rais na ndie mwenyekiti wa ccm
Ajaye.
Uzuri wa ccm
Kila MTU anauhuru WA kuiponda,kuisema na hata kuikejeli
Tofauti na Lichadema
Twrnde hoja kwa hoja comrade, hata Rais rais hawezi kuwa tu anafanyia kazi kila lililoandikwa mtandanoni, atakosea. Ana state apparsaus za kufanya hayo! Kuna informers n.k Mbona kulikuwa na tetesi za JK Kumnyima huo uenyekiti kwa hiyo achukue tu kila la kwenye mtandao. This is absurd, nitumwe na nani mimi nasema huu sio utaratibu wa CCM na JPM sio naive kiasi hicho. Kwanza ulikuwa unaokena ni Kada Uliyeiva kabisa, sasa unaonekana kumbe bado, sijui unalipwa kwa hili la unalafanya, anyway utakuja kuona kuwa umekosea sana.Kama umetumwa shauri yako. Ila hapa JF hata Rais wetu anapata habari. Wahusika wamesikia na hatua zitafhukuliwa
Mkuu, kama kiki ninayo siku nyingi. Huu ni wakati wa kufanya kazi
Unadhani ccm wepesi kama Lowasa? Subiri mtakimbizwa mwanzo mwisho.Ccm sasa kwishneyyyyyyyy
Ccm kwishneyyyyyyyyUnadhani ccm wepesi kama Lowasa? Subiri mtakimbizwa mwanzo mwisho.
Njaa inakufanya unatumika hovyo hovyoDah! Serena kuna nini? Twende Landmark Hotel ama Belmonte pale Benjamin Mkapa Tower
Hahahahahaaaaa! Mawakala wa Luhwavi utawajua tuTaarifa za uongo hizi wanajamvi zipuuzeni..sio lazima rais awe mwenyekiti wa chama ni vizuri kumpunguzia mzigo...unamuonea tu luhwavi...hata Mwandosya alishawahi kupinga Magufuli kuwa mwenyekiti wa chama....Huwezi ongoza chama wakati hata tawi hujawahi kuongoza Magufuli asipewe chama atakivuruga
Sasa mtu kusema ukweli na njaa viuhusiano gani? Yeye kamwaga ukweli jakwaani sisi full amani kuwajua hawa wezi.Njaa inakufanya unatumika hovyo hovyo
Toka hadharani useme kama hujakojozwaSahihi kabisa Mkuu. CCM ni chama cha kidemokrasia na ndio maana akina Lizaboni tunapata muda wa kuwasema na kuwaweka hadharani wanafiki
Sasa kama wakati wa kufanya kazi unamletea nani huu umbea wako?Mkuu, kama kiki ninayo siku nyingi. Huu ni wakati wa kufanya kazi