Tetesi: Kinara wa kukwamisha Rais Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM ni Rajab Luhwavi, NKM CCM Bara

Tetesi: Kinara wa kukwamisha Rais Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM ni Rajab Luhwavi, NKM CCM Bara

Status
Not open for further replies.
Mi nadhani nenda chimbo tena katafute alichokuwa akifanya ktk ziara yake ya mikoani. Siyo icho ulichokileta hapa na ziara ilikuwa ya wazi na wanaccm anayefuatilia siasa ndani ya ccm anajua alichokuwa akifanya mzee Luhawavi, tuache Majungu
Huo ni Mtazamo wako. Inaonekana wewe ni miongoni mwa wale ambao hampendi Magufuli awe Mwenyekiti wa CCM. Safari hii lazima mtanyooshwa tu
 
Magu ndie Rais na ndie mwenyekiti wa ccm
Ajaye.
Uzuri wa ccm
Kila MTU anauhuru WA kuiponda,kuisema na hata kuikejeli
Tofauti na Lichadema
Sahihi kabisa Mkuu. CCM ni chama cha kidemokrasia na ndio maana akina Lizaboni tunapata muda wa kuwasema na kuwaweka hadharani wanafiki
 
Kama umetumwa shauri yako. Ila hapa JF hata Rais wetu anapata habari. Wahusika wamesikia na hatua zitafhukuliwa
Twrnde hoja kwa hoja comrade, hata Rais rais hawezi kuwa tu anafanyia kazi kila lililoandikwa mtandanoni, atakosea. Ana state apparsaus za kufanya hayo! Kuna informers n.k Mbona kulikuwa na tetesi za JK Kumnyima huo uenyekiti kwa hiyo achukue tu kila la kwenye mtandao. This is absurd, nitumwe na nani mimi nasema huu sio utaratibu wa CCM na JPM sio naive kiasi hicho. Kwanza ulikuwa unaokena ni Kada Uliyeiva kabisa, sasa unaonekana kumbe bado, sijui unalipwa kwa hili la unalafanya, anyway utakuja kuona kuwa umekosea sana.
 
Hizi na zama za kunyooshana hakuna kucheka na watu wezi kama luhavi lazima wajutie wizi wao waliofanya kwa miaka nenda rudi.
 
Taarifa za uongo hizi wanajamvi zipuuzeni..sio lazima rais awe mwenyekiti wa chama ni vizuri kumpunguzia mzigo...unamuonea tu luhwavi...hata Mwandosya alishawahi kupinga Magufuli kuwa mwenyekiti wa chama....Huwezi ongoza chama wakati hata tawi hujawahi kuongoza Magufuli asipewe chama atakivuruga
 
Hahahahahaaaaa! Mawakala wa Luhwavi utawajua tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom