Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Kiongozi wa Prof wa huko huko Nyanza, Mwenyekiti ni Gladys, Simba Arati na GavanaBaba Raila Odinga chama mpe James Orengo,Hasan joho na Edwin Sifunawatu wenye misuli ya kutetea wananchi sio madalali
Sema wataalamu wa siii hasaaa,na sio wataalamu wa siasa.Raila Odinga ametoka kwenye uongozi wa chama cha ODM naona
ni maandalizi ya kwenda AU hapo February 2025.
Je ikitokea amekosa uenyikiti wa AU atarudi kwenye nafasi yake ya
mwenyekiti wa ODM au atabaki kama mshauri na mzee wa chama.
Salamu kwenu watu wa Sayansi ya Siasa.
Hana tamaa kama wanaccm ndio maanaThe biggest political conman of all times. Huwa anabakiza hivi tu kuupata urais, halafu anajitoa akili, Generation Z, walimpa njia nyeupe kabisa kumtoa Rutto, yeye akaenda kumsaidia Rutto kubaki madarakani.
Nadhani tenda yake ya kusambaza mitungi ya gesi itakuwa salama sasa, maana Rutto alimletea Rostam , na Rostam na Mambo wake wa TaifaGas sijui itakuwaje
Wa Tanzania hawajielewi?Nasmini Kenya wapinzani wanajielewa na hawana njaa hawana price tag
Kwa nini Mbowe ndio anaonekane tu wengine vipi?Huku kwetu mbowe hataki kusikia suala la kuachia madaraka.
Kwa hiyo ni kama huwa hataki uraisi au?The biggest political conman of all times. Huwa anabakiza hivi tu kuupata urais, halafu anajitoa akili, Generation Z, walimpa njia nyeupe kabisa kumtoa Rutto, yeye akaenda kumsaidia Rutto kubaki madarakani.
Nadhani tenda yake ya kusambaza mitungi ya gesi itakuwa salama sasa, maana Rutto alimletea Rostam , na Rostam na mtambo wake wa TaifaGas sijui itakuwaje hapo Kenya
Hapo mwanaume ni simba arati tu, sijui kwanini watu serious hawapewi uongozi. Huyo babake Lupita Ny'ongo sidhani kama anaweza mikiki mikiki ya upinzani!!Baba Raila Odinga chama mpe James Orengo,Hasan joho na Edwin Sifunawatu wenye misuli ya kutetea wananchi sio madalali
Hapana ODM ina kiongozi wa chama na mwenyekiti pia. Wanga ni mwenyekiti na Professor ni kiongozi wa chama. Huyo gavana wa mombasa ni naibu kiongozi wa chama sawa tu na Simba AratiMwenyekiti ni Prof wa huko huko Nyanza, Makamu yupo Gladys, Simba Arati na Gavana
wa sasa wa Mombasa
Simba Arati yupo vizuri.Hapo mwanaume ni simba arati tu, sijui kwanini watu serious hawapewi uongozi. Huyo babake Lupita Ny'ongo sidhani kama anaweza mikiki mikiki ya upinzani!!
Baba alizingua sana, njia ilikua nyeupe kuingia ikulu sijui ujinga gani ulimpanda kichwani!! Yaani kakubali kutumika kama toilet paper kusafisha serikali ya mafisadi.The biggest political conman of all times. Huwa anabakiza hivi tu kuupata urais, halafu anajitoa akili, Generation Z, walimpa njia nyeupe kabisa kumtoa Rutto, yeye akaenda kumsaidia Rutto kubaki madarakani.
Safi kwa kuweka vizuri mkuu, kwa nini Senior Counsel James Orengo hajawaHapana ODM ina kiongozi wa chama na mwenyekiti pia. Wanga ni mwenyekiti na Professor ni kiongozi wa chama. Huyo gavana wa mombasa ni naibu kiongozi wa chama sawa tu na Simba Arati
Siasa za Kenya haziendi kama za huku bongo,,,hao ni wazee wa cartles ,hata hayo maandamano ya Gen Z kuna mtu alikua anasakwa tu atolewe kafara na kweli akaingia kwenye 18 zao,,,,mkalenjin ni rahisi sana kupatana na mjaluo kuliko kupatana na mbantu mkikuyuThe biggest political conman of all times. Huwa anabakiza hivi tu kuupata urais, halafu anajitoa akili, Generation Z, walimpa njia nyeupe kabisa kumtoa Rutto, yeye akaenda kumsaidia Rutto kubaki madarakani.
Nadhani tenda yake ya kusambaza mitungi ya gesi itakuwa salama sasa, maana Rutto alimletea Rostam , na Rostam na mtambo wake wa TaifaGas sijui itakuwaje hapo Kenya
Kikubwa mambo yake yanaenda,,,,huyo hata asipokua serikalini bado ana nguvu kuliko hata huyo makamu au hata mawaziri wa kwenye hio serikaliBaba alizingua sana, njia ilikua nyeupe kuingia ikulu sijui ujinga gani ulimpanda kichwani!! Yaani kakubali kutumika kama toilet paper kusafisha serikali ya mafisadi.