Kinara wa ODM, Raila Odinga Amezindua uongozi mpya wa chama hicho

Mtambachuo

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2023
Posts
1,907
Reaction score
3,560
Raila Odinga ametoka kwenye uongozi wa chama cha ODM naona

ni maandalizi ya kwenda AU hapo February 2025.

Je ikitokea amekosa uenyikiti wa AU atarudi kwenye nafasi yake ya
Kiongozi wa ODM au atabaki kama mshauri na mzee wa chama ?

Salamu kwenu watu wa Sayansi ya Siasa.
 
Baba Raila Odinga chama mpe James Orengo,Hasan joho na Edwin Sifunawatu wenye misuli ya kutetea wananchi sio madalali
Kiongozi wa Prof wa huko huko Nyanza, Mwenyekiti ni Gladys, Simba Arati na Gavana
wa sasa wa Mombasa ni manaibu katibu wa chama

Edwin Sifuna amebaki na nafasi yake ya Katibu Mkuu wa chama, Orengo na Joho nadhani watakuwa washauri kwenye kamati kuu na kushauri chama.
 
Raila Odinga ametoka kwenye uongozi wa chama cha ODM naona

ni maandalizi ya kwenda AU hapo February 2025.

Je ikitokea amekosa uenyikiti wa AU atarudi kwenye nafasi yake ya
mwenyekiti wa ODM au atabaki kama mshauri na mzee wa chama.

Salamu kwenu watu wa Sayansi ya Siasa.
Sema wataalamu wa siii hasaaa,na sio wataalamu wa siasa.
 
The biggest political conman of all times. Huwa anabakiza hivi tu kuupata urais, halafu anajitoa akili, Generation Z, walimpa njia nyeupe kabisa kumtoa Rutto, yeye akaenda kumsaidia Rutto kubaki madarakani.

Nadhani tenda yake ya kusambaza mitungi ya gesi itakuwa salama sasa, maana Rutto alimletea Rostam , na Rostam na mtambo wake wa TaifaGas sijui itakuwaje hapo Kenya
 
Nadhani tenda yake ya kusambaza mitungi ya gesi itakuwa salama sasa, maana Rutto alimletea Rostam , na Rostam na Mambo wake wa TaifaGas sijui itakuwaje
Hana tamaa kama wanaccm ndio maana
 
The biggest political conman of all times. Huwa anabakiza hivi tu kuupata urais, halafu anajitoa akili, Generation Z, walimpa njia nyeupe kabisa kumtoa Rutto, yeye akaenda kumsaidia Rutto kubaki madarakani.

Nadhani tenda yake ya kusambaza mitungi ya gesi itakuwa salama sasa, maana Rutto alimletea Rostam , na Rostam na mtambo wake wa TaifaGas sijui itakuwaje hapo Kenya
Kwa hiyo ni kama huwa hataki uraisi au?
 
Baba Raila Odinga chama mpe James Orengo,Hasan joho na Edwin Sifunawatu wenye misuli ya kutetea wananchi sio madalali
Hapo mwanaume ni simba arati tu, sijui kwanini watu serious hawapewi uongozi. Huyo babake Lupita Ny'ongo sidhani kama anaweza mikiki mikiki ya upinzani!!
 
Mwenyekiti ni Prof wa huko huko Nyanza, Makamu yupo Gladys, Simba Arati na Gavana
wa sasa wa Mombasa
Hapana ODM ina kiongozi wa chama na mwenyekiti pia. Wanga ni mwenyekiti na Professor ni kiongozi wa chama. Huyo gavana wa mombasa ni naibu kiongozi wa chama sawa tu na Simba Arati
 
The biggest political conman of all times. Huwa anabakiza hivi tu kuupata urais, halafu anajitoa akili, Generation Z, walimpa njia nyeupe kabisa kumtoa Rutto, yeye akaenda kumsaidia Rutto kubaki madarakani.
Baba alizingua sana, njia ilikua nyeupe kuingia ikulu sijui ujinga gani ulimpanda kichwani!! Yaani kakubali kutumika kama toilet paper kusafisha serikali ya mafisadi.
 
The biggest political conman of all times. Huwa anabakiza hivi tu kuupata urais, halafu anajitoa akili, Generation Z, walimpa njia nyeupe kabisa kumtoa Rutto, yeye akaenda kumsaidia Rutto kubaki madarakani.

Nadhani tenda yake ya kusambaza mitungi ya gesi itakuwa salama sasa, maana Rutto alimletea Rostam , na Rostam na mtambo wake wa TaifaGas sijui itakuwaje hapo Kenya
Siasa za Kenya haziendi kama za huku bongo,,,hao ni wazee wa cartles ,hata hayo maandamano ya Gen Z kuna mtu alikua anasakwa tu atolewe kafara na kweli akaingia kwenye 18 zao,,,,mkalenjin ni rahisi sana kupatana na mjaluo kuliko kupatana na mbantu mkikuyu
 
Back
Top Bottom