LightYagami
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,825
- 1,493
Kuna mabadiliko kaka. Inaitwa demokrasiaMkuu hakuna kilichabadilika pale, imebadilishwa brand name ya chama, watu walewale . mchezo tu huo gikuyu &Co walicheza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mabadiliko kaka. Inaitwa demokrasiaMkuu hakuna kilichabadilika pale, imebadilishwa brand name ya chama, watu walewale . mchezo tu huo gikuyu &Co walicheza.
Shida ya Kenya ni Capitalism. Capitalism divides people.
unariiinga..utazan uko USA kumbe ni apo kwa machokoraa tuu nairobbers. siasa za africa haswa east afriza zinafanana tuu..hakuna tofauti kuuuuubwa hadi ikufanye utambee ka vle ushafika. bado tunasafari ndefu mazee. ss bongo tunajua bado tunasafsr ndefu cjui ww unadhani mmefka?. ninyi mmefanikiwa kubadilisha vyama lakni system na watawala ni walewale wanajulikama. sku mtakija kuweka rais tofauti na makibila tunayoyajua ndo tutawa salute. otherwise tuko sawa .Hehehe Siasa zenu hazina shida?? Wakati uongozi mnapokezana Dodoma, yaani nyie mumefugwa kiasi kwamba chochote kinachotawazwa kwenye CCM basi ndio kitaongoza nchi. Mumekaliwa na chama kimoja tangu mwanzo wa nchi, hamuna na hamjui chochote nje ya CCM, ilmradi mnanunuliwa mashuka na kanga vijijini.
Sisi tumethubutu, tumebadilisha vyama, tumebadilisha uongozi na kwa taarifa yako rais wa sasa pekee yake ndiye alikua mwana wa rais, wengine wote hata baba yake walikua watoto wa wakulima. Tulifaulu kuondoa chama kilichokua kimetukalia miaka yote na kuanzia hapo nchi ikawa inaserereka na kupaa kwa njia zote na mifumo yote.
Leo hii nyie hapo hamuwezi chochote maana kuna makaburi mengi sana hata Magu alisema hatayafukua, ni hadi pale mtaamka kiakili na kubadilisha mfumo au chama, lakini kwa sasa mpo bado mbali tena sana.
Yes I am Kenyan. And tribal and ethnic hate is not exclusive to Kenya. It is everywhere in the world. Ata Tanzania, later on some tribes will feel marginalized and it will lead to hate. Shida ya Kenya ni ati Kikuyus own a lot of things, some acquired in bad means na others earned in good ways. So utapata on average they are richer than other communities, sijasema hakuna wakikuyu maskini. Wako tena wengi. But on average they are better of than most Kenyans. Other Kenyans think they are better of because wamekuwa na the top job for a long time. Which leads to hate, like we saw in 2007. With all this hate, utapata they manipulate elections kwa sababu ya uoga. Na kuongea ukweli Kenya is a ticking bomb, hope the day a non Kikuyu gets the top job hakutakuwa na chaos.It also enriches people, some are selfish some divide their wealth unto other folks, shida ni watu.
Everything has pros and cons
Are you Kenyan?
unariiinga..utazan uko USA kumbe ni apo kwa machokoraa tuu nairobbers. siasa za africa haswa east afriza zinafanana tuu..hakuna tofauti kuuuuubwa hadi ikufanye utambee ka vle ushafika. bado tunasafari ndefu mazee. ss bongo tunajua bado tunasafsr ndefu cjui ww unadhani mmefka?. ninyi mmefanikiwa kubadilisha vyama lakni system na watawala ni walewale wanajulikama. sku mtakija kuweka rais tofauti na makibila tunayoyajua ndo tutawa salute. otherwise tuko sawa .
Walionacho na wasionacho...............Shida ya Kenya ni Capitalism. Capitalism divides people.
😀😀😀!..Upo sahihi mkuu!,bila shaka.Lakini kiongozi, hapo utakua unamwonea kilam maana wewe kwenye post #2 ndio ulianza kwa kutaja kabila, na kuelekeza mada yote ikawa inajadilia kabila na ukabila. Ndio zenu kabisa, kwamba nyie mnapenda mtaje wengine lakini msitajwe, muongee kabila lakini asiongee mwengine, muelekeze vidole vya lawama lakini kidole kisielekezwe upande wenu.
Nchi hii nakiri tuna ukabila, tena hatuponi hivi karibuni, katuanzishia mzungu alipokua anagawanya watu kwa makundi ya makabila, babu zetu wakaridhi na sie tupo mbioni kuwapokeza watoto wetu.
Ushindani hata wa michezo kama mpira umewekwa kwa misingi ya kikabila, ije kwa siasa ndio usipime, leo hii Odinga na Uhuru kila mtu amehakikisha kwake hamna mtu anayeweza kuingia, halafu nyie wa ughaibuni ndio naskia mnakaa na kuishi kwenye vikundi vya kikabila wakati nilijua mtakua mumeona mataa na kuamka lakini hamkawii kuelekeza vidole vya lawama kwengine.
unariiinga..utazan uko USA kumbe ni apo kwa machokoraa tuu nairobbers. siasa za africa haswa east afriza zinafanana tuu..hakuna tofauti kuuuuubwa hadi ikufanye utambee ka vle ushafika. bado tunasafari ndefu mazee. ss bongo tunajua bado tunasafsr ndefu cjui ww unadhani mmefka?. ninyi mmefanikiwa kubadilisha vyama lakni system na watawala ni walewale wanajulikama. sku mtakija kuweka rais tofauti na makibila tunayoyajua ndo tutawa salute. otherwise tuko sawa .
Mnasema nyinyi si wakabila. Huu ni ukabila naonaHao jamaa huku Tz hawatakiwi, They may spoil our generation.
do u think hatujui? nafurah kwamba umekir mlitoka huku huko miaka hio uliyotaja. then unatakiwa ujue pia gharama mliyotoa kufikia apo mlipofikia. ok unaweza kujisifu lakini usisahau ma elfu ya ndugu zako waliokufa na last month nilitazama t.v ynu K24 ilionyesha wapo ndugu zako wengi sana wanaish kama wakimbiz huko kenya hawana makazi kwa sbu ya vita ileee. so kuwa proud bt never 4get. ss wabongo hatutaki itokee hio...tutachelewa lakin tutafika kwa amani kama tulivyopata uhuru wetu. hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. na naona unafuatilia siasa zetu thats gud na kama ni mfuatiliaj mzur utajua tunakoelekea ni kuzuri kuliko tulikotoka. sababu pamoja na ubabe wote wa magu na wenzake lakin still watu hatujaacha ku fight.
wenzako tunadiscus kuwekana sawa kistaarabu ww unaleta uchafu wako wa kikenya. una virus we
Yes I am Kenyan. And tribal and ethnic hate is not exclusive to Kenya. It is everywhere in the world. Ata Tanzania, later on some tribes will feel marginalized and it will lead to hate. Shida ya Kenya ni ati Kikuyus own a lot of things, some acquired in bad means na others earned in good ways. So utapata on average they are richer than other communities, sijasema hakuna wakikuyu maskini. Wako tena wengi. But on average they are better of than most Kenyans. Other Kenyans think they are better of because wamekuwa na the top job for a long time. Which leads to hate, like we saw in 2007. With all this hate, utapata they manipulate elections kwa sababu ya uoga. Na kuongea ukweli Kenya is a ticking bomb, hope the day a non Kikuyu gets the top job hakutakuwa na chaos.