MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #61
do u think hatujui? nafurah kwamba umekir mlitoka huku huko miaka hio uliyotaja. then unatakiwa ujue pia gharama mliyotoa kufikia apo mlipofikia. ok unaweza kujisifu lakini usisahau ma elfu ya ndugu zako waliokufa na last month nilitazama t.v ynu K24 ilionyesha wapo ndugu zako wengi sana wanaish kama wakimbiz huko kenya hawana makazi kwa sbu ya vita ileee. so kuwa proud bt never 4get. ss wabongo hatutaki itokee hio...tutachelewa lakin tutafika kwa amani kama tulivyopata uhuru wetu. hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. na naona unafuatilia siasa zetu thats gud na kama ni mfuatiliaj mzur utajua tunakoelekea ni kuzuri kuliko tulikotoka. sababu pamoja na ubabe wote wa magu na wenzake lakin still watu hatujaacha ku fight.
Ghasia za baada ya uchaguzi ni donda sugu na kwa kweli ni aibu Kenya, lakini taratibu tunarekebisha. Hakuna binadamu hupenda vurugu au fujo, hayo mambo hutokea pale maelewano yanakosekana.
Kila siku tunapiga hatua kama nchi maana tumetoka mbali, mzungu alitukung'uta na hakuachia nchi kiulaini kama kwenu, tulimvumilia na pamoja tumeendelea kuboresha.
Vurugu baina ya jamii sio kitu cha nyie kutuchekea kila mara, maana ni jambo la kawaida dunia yote, hata huko Tanzania nimeona jamii za wafugaji wakiwatesa wakulima halafu vita vinaibuka. Raslimali ndio huwa chanzo cha matatizo baina ya jamii.