Kinara wa upinzani Tanzania akamatwa kwa tuhuma za madawa

Shida ya Kenya ni Capitalism. Capitalism divides people.

It also enriches people, some are selfish some divide their wealth unto other folks, shida ni watu.
Everything has pros and cons

Are you Kenyan?
 
unariiinga..utazan uko USA kumbe ni apo kwa machokoraa tuu nairobbers. siasa za africa haswa east afriza zinafanana tuu..hakuna tofauti kuuuuubwa hadi ikufanye utambee ka vle ushafika. bado tunasafari ndefu mazee. ss bongo tunajua bado tunasafsr ndefu cjui ww unadhani mmefka?. ninyi mmefanikiwa kubadilisha vyama lakni system na watawala ni walewale wanajulikama. sku mtakija kuweka rais tofauti na makibila tunayoyajua ndo tutawa salute. otherwise tuko sawa .
 
It also enriches people, some are selfish some divide their wealth unto other folks, shida ni watu.
Everything has pros and cons

Are you Kenyan?
Yes I am Kenyan. And tribal and ethnic hate is not exclusive to Kenya. It is everywhere in the world. Ata Tanzania, later on some tribes will feel marginalized and it will lead to hate. Shida ya Kenya ni ati Kikuyus own a lot of things, some acquired in bad means na others earned in good ways. So utapata on average they are richer than other communities, sijasema hakuna wakikuyu maskini. Wako tena wengi. But on average they are better of than most Kenyans. Other Kenyans think they are better of because wamekuwa na the top job for a long time. Which leads to hate, like we saw in 2007. With all this hate, utapata they manipulate elections kwa sababu ya uoga. Na kuongea ukweli Kenya is a ticking bomb, hope the day a non Kikuyu gets the top job hakutakuwa na chaos.
 

Ndio hatujafika, tunayo safar tena ndefu, lakini hatupo kwenye level moja na nyie hapo. Kila nikiangalia siasa za Bongo hunikumbusha jinsi siasa za Kenya zilivyokua miaka ya themanini. Niliona kwenu eti viongozi wa upanzani wanazuiwa hata kutoa misaada kwa wahanga wa tetemeko la ardhi, wamekatazwa hata kukusanyika kwenye mikutano eti mnaambiwa kampeni na siasa ziliisha.
Wabunge akina Lissu na Lema wanakamatwa kamatwa kisa wametaja rais, Lema yule wa Arusha anaozea jela kisa alisema ameota ndoto kuhusu rais. Mchakato wa katiba mpya mlitupa kuleee, sisi leo tunatamba na katiba mpya.

Nakubali kwetu tuna matatizo ya ukabila hususan kwenye siasa, lakini hamna nchi yoyote ukanda wote huu ambao imeweza kufikia level ya ukomavu wa demokrasia kwetu. Marais wetu wanaingia kwa kuchaguliwa na watu, sio kama hapo kwenu kiongozi akipata tiketi ya CCM, basi automatically yeye ndiye rais, uchaguzi mtafanya wa kuzuga tu ilmradi muonekane na wafadhili kwamba na nyie mpo.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€!..Upo sahihi mkuu!,bila shaka.
Lakini si unaelewa nyani ni nyani tu, hata ukimtoa mwituni na kumpeleka mjini atabakia hivyo tu mathalan ni hayawani!
Hata hivyo, hapo pekundu rekebisha.
Ulipaswa kuandika "kurithi"na sio "kuriDHI"
 
do u think hatujui? nafurah kwamba umekir mlitoka huku huko miaka hio uliyotaja. then unatakiwa ujue pia gharama mliyotoa kufikia apo mlipofikia. ok unaweza kujisifu lakini usisahau ma elfu ya ndugu zako waliokufa na last month nilitazama t.v ynu K24 ilionyesha wapo ndugu zako wengi sana wanaish kama wakimbiz huko kenya hawana makazi kwa sbu ya vita ileee. so kuwa proud bt never 4get. ss wabongo hatutaki itokee hio...tutachelewa lakin tutafika kwa amani kama tulivyopata uhuru wetu. hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. na naona unafuatilia siasa zetu thats gud na kama ni mfuatiliaj mzur utajua tunakoelekea ni kuzuri kuliko tulikotoka. sababu pamoja na ubabe wote wa magu na wenzake lakin still watu hatujaacha ku fight.
 

Funga kibakuli chako, uloambiwa ni ukweli ulio wazi na husio pingika.
Tatizo lenyu hamtaki kuambiwa ukweli na mtabaki hapo hapo mlipo ,nyie bado sana katika demokrasia.

Kalb wahed!
 

Njia ni ile ile hakuna kuepuka, nchi zote kuu zenye demokrasia ya uhakika, damu ilimwagika tena zaidi ya unavyodhani ewe zumbekuku la kitanganyika.
Endelea kujipumbaza hapo kama jinsi ilivyo desturi yenu wabongo.
 
wenzako tunadiscus kuwekana sawa kistaarabu ww unaleta uchafu wako wa kikenya. una virus we
 
utabaki ivo ivo kama wadhan matusi ni mtaji
 
Huwa najiskia ahueni nikiporomosha kiasi humu,sana sana kukija wa sampuli yako!...πŸ˜€...siku yangu kamwe haisongi bila hilo, niwie radhi!
Huu ni mchezo tu kama ilivyo mitandaoni tu na vijiblogu,husilichukulie serious!..hahaha!
 
eti tuna democras kuliko ninyi. mnadhan bongo ndo kipimo sahihi? nendeni somalia mkaolewe
 

In red, hates za ukabila na udini tulishapita kitambo buda, dua la kuku halimpati mwewe kamwe, we're moving towards a more homogeneous bigest nation of Eastern Africa. Makofi kwake late Nyerere baba wa taifa. πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…