Kinara wa upinzani Tanzania akamatwa kwa tuhuma za madawa


Ghasia za baada ya uchaguzi ni donda sugu na kwa kweli ni aibu Kenya, lakini taratibu tunarekebisha. Hakuna binadamu hupenda vurugu au fujo, hayo mambo hutokea pale maelewano yanakosekana.
Kila siku tunapiga hatua kama nchi maana tumetoka mbali, mzungu alitukung'uta na hakuachia nchi kiulaini kama kwenu, tulimvumilia na pamoja tumeendelea kuboresha.

Vurugu baina ya jamii sio kitu cha nyie kutuchekea kila mara, maana ni jambo la kawaida dunia yote, hata huko Tanzania nimeona jamii za wafugaji wakiwatesa wakulima halafu vita vinaibuka. Raslimali ndio huwa chanzo cha matatizo baina ya jamii.
 

Hehehe siunajua tena sisi wa kule mlimani "dhi" na "thi" huwa changamoto kutofautisha.
 
Hehehe siunajua tena sisi wa kule mlimani "dhi" na "thi" huwa changamoto kutofautisha.
Hata ukiandika URITHI bado utaishia kutamka URIDHI. 😀😀😀 [HASHTAG]#GikuyuFactor[/HASHTAG]
 

Bro, people are simply working hard, nothing like Kenyatta helping anyone. Those people on top only manages to help a small percentage of their own circle.

People have been brainwashed to think Kikuyus gets it easy simply because the president is from Central, but believe me, we work our asses off day and night. The Kikuyus running businesses all over Tanzania, Rwanda, Zambia, Malawi and so on have no presidents there helping them.
 
Sad other Kenyans dont want to acknowledge that. Tbh the Kikuyus should not vie for the top seat for like 20 years. So that others can understand that top seat does not help you, your hard work does
 
Mkuu mimi nna wasi wasi wewe sio mkenya bali ni mbongo, yaani mambo yanayohusu Tanzania unayajua kiundani haswa, au muda mwingi unaishi Tanzania?

BTW hayo mambo yaliyomo kwenye hili bandiko lako ni ukweli mtupu na atakaepinga uzalendo uchwara una msumbua.
 
Funga kibakuli chako, uloambiwa ni ukweli ulio wazi na husio pingika.
Tatizo lenyu hamtaki kuambiwa ukweli na mtabaki hapo hapo mlipo ,nyie bado sana katika demokrasia.

Kalb wahed!
Mbona povu dogo? kata Miraa utilize akili nyangau mkubwa
 

Kenya kwa ukabila ni kama saratani(cancer) kupona labda mpaka Yesu atakaporudi duniani! This has been aggravated by forming County Governments kwani zote ni serikali za kikabila, ziko 47 (makabila 43 pamoja na Wamakonde) yaani wanakuza ukabila badala ya kuupiga vita! Ushauri wangu ni vema kwa mara moja ondoa/abolish serikali za county na kuunda serikali za zone, zone ziwe kama nne tu ili kuua ukabila, Western Zone, Northen Zone, Coastal Zone and Central Zone!!!!! Na njia ya pili ni Africa Mashariki kuwa na Rais mmoja the rest ziitwe States(majimbo). However this will take time to materialize kwa hiyo option ya kwanza waanze nayo.
 

No proper procedure was followed when arrests were made, actually no arrests were implemented but the so called drug mules, drug barons and uses were given more than three days to report and thereafter be taken for home/office inspection for drugs which is abnormal. Unfortunately the RC acted like an illiterate person/ruler and indeed it has come to light that the RC or rather Daudi. Bashite is semi literate - a mere grade seven level(std seven) leaver who managed to use secondary school certificate of his friend to acquire positions within the government system. One person Bishop Gwajjima alerted the mass and the government. However the RC is so smart as he managed to fool the government vetting body!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…