johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sidhani, Kenya level nyingine ......... atawaua itamgeuka. uzuri Kenya hawaogopi kufa.Hekima, Busara na Mikakati iliyotumiwa na Shujaa Magufuli imezidi kurithiwa na Viongozi mbalimbali duniani
Kenya wasema kuanzia sasa Maandamano ya aina yoyote ni Marufuku nchini humo
Waziri wa Usalama Prof Kindiki amesema anayebisha ajaribu auone Moto, Jeshi la polisi liko tayari
Taarifa zaidi Citizens TV!
Katiba zote zinaruhusu masndamano ya amani kwa Qaswida ya Maulid kumswalia Mtume au Christmas. Maandamano kumtukana Rais hayawezi kuwa ya amani.KATIBA yao inaruhusu Maandamano. #SideEffectsZaKatibaMpya
Prof Kindiki: Anayebisha ajaribu auone Moto!Sidhani, Kenya level nyingine ......... atawaua itamgeuka. uzuri Kenya hawaogopi kufa.
Hawaogopi kufa?Sidhani, Kenya level nyingine ......... atawaua itamgeuka. uzuri Kenya hawaogopi kufa.
Ni kweli, wasipokufa kwenye maandamano wanaenda kufa na kuzikwa kanisani kwa kufunga, akili zao ni za kushikiliwa na viongozi wao.Sidhani, Kenya level nyingine ......... atawaua itamgeuka. uzuri Kenya hawaogopi kufa.
Kila siku ya Jmatano kila week ni maandamano.Wakenya ni next level kwenye kudai haki na wako tayari kufa.unadhani ni WATANZANIA wale wa kuwapeleka kama mbuzi....Maandanano hayo hayatakoma..Tena saiv yamechukua sura mpya...hadi sehemu ambazo walikuwa hawandamani wanaandamana..
Namuunga mkono. Nchi zetu zimejaa wajinga wajinga. Mtu anaweza pewa posho ya elfu kumi na konyagi chupa ndogo au bangi na akaandamanaHekima, Busara na Mikakati iliyotumiwa na Shujaa Magufuli imezidi kurithiwa na Viongozi mbalimbali duniani
Kenya wasema kuanzia sasa Maandamano ya aina yoyote ni Marufuku nchini humo
Waziri wa Usalama Prof Kindiki amesema anayebisha ajaribu auone Moto, Jeshi la polisi liko tayari
Taarifa zaidi Citizens TV!
Sio kwa wakenya labda hizo kondoo hapa bongoHekima, Busara na Mikakati iliyotumiwa na Shujaa Magufuli imezidi kurithiwa na Viongozi mbalimbali duniani
Kenya wasema kuanzia sasa Maandamano ya aina yoyote ni Marufuku nchini humo
Waziri wa Usalama Prof Kindiki amesema anayebisha ajaribu auone Moto, Jeshi la polisi liko tayari
Taarifa zaidi Citizens TV!
Mzee Jomo alimwambia Mwalimu Julius anaongoza maiti😃😃Sio kwa wakenya labda hizo kondoo hapa bongo
Tena hiyo Katiba inaruhusu kuvunja mali za umma na kuiba🤣😂KATIBA yao inaruhusu Maandamano. #SideEffectsZaKatibaMpya
Sasa kama maisha yamepanda juu , wafanyaje sasa? Hata Mimi huku Tanzania natamani sana Maandamano ya aina hiyo.Tena hiyo Katiba inaruhusu kuvunja mali za umma na kuiba[emoji1787][emoji23]
Yaani umekaa unatamani tu?🤣...Hata Mimi huku Tanzania natamani sana Maandamano ya aina hiyo...
Sana sana. Maana kwasasa sina cha kufanya. Natamani nitolewe uhai lakini sio Mimi kujitoa uhai.Yaani umekaa unatamani tu?[emoji1787]
Haahaaa kindiki ndio wakumtisha Raila? Akimgusa hata na kirungu hiyo ikulu itachomwa moto asubuhi tuProf Kindiki: Anayebisha ajaribu auone Moto!
Shauri yako🤣🤣Sana sana. Maana kwasasa sina cha kufanya. Natamani nitolewe uhai lakini sio Mimi kujitoa uhai.