Kindiki asema Hayati Magufuli alikuwa sahihi, Sasa asema Hakutakuwa na maandamano tena nchini humo ni Marufuku!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hekima, Busara na Mikakati iliyotumiwa na Shujaa Magufuli imezidi kurithiwa na Viongozi mbalimbali duniani

Kenya wasema kuanzia sasa Maandamano ya aina yoyote ni Marufuku nchini humo

Waziri wa Usalama Prof Kindiki amesema anayebisha ajaribu auone Moto, Jeshi la polisi liko tayari

Taarifa zaidi Citizens TV!
 
Sidhani, Kenya level nyingine ......... atawaua itamgeuka. uzuri Kenya hawaogopi kufa.
 
Ruto asipomdhibiti mapema yule Msudani kusini atamsumbua sana
 
KATIBA yao inaruhusu Maandamano. #SideEffectsZaKatibaMpya
Katiba zote zinaruhusu masndamano ya amani kwa Qaswida ya Maulid kumswalia Mtume au Christmas. Maandamano kumtukana Rais hayawezi kuwa ya amani.
 
Sidhani, Kenya level nyingine ......... atawaua itamgeuka. uzuri Kenya hawaogopi kufa.
Ni kweli, wasipokufa kwenye maandamano wanaenda kufa na kuzikwa kanisani kwa kufunga, akili zao ni za kushikiliwa na viongozi wao.
 
Wakenya ni next level kwenye kudai haki na wako tayari kufa.unadhani ni WATANZANIA wale wa kuwapeleka kama mbuzi....Maandanano hayo hayatakoma..Tena saiv yamechukua sura mpya...hadi sehemu ambazo walikuwa hawandamani wanaandamana..
 
Kila siku ya Jmatano kila week ni maandamano.
 
Hekima, Busara na Mikakati iliyotumiwa na Shujaa Magufuli imezidi kurithiwa na Viongozi mbalimbali duniani

Kenya wasema kuanzia sasa Maandamano ya aina yoyote ni Marufuku nchini humo

Waziri wa Usalama Prof Kindiki amesema anayebisha ajaribu auone Moto, Jeshi la polisi liko tayari

Taarifa zaidi Citizens TV!
Namuunga mkono. Nchi zetu zimejaa wajinga wajinga. Mtu anaweza pewa posho ya elfu kumi na konyagi chupa ndogo au bangi na akaandamana
 
Wakenya nawasifu kwa uzalendo wa kweli wakikubaliana jambo huwa hawarudi nyuma sisi huku watu wengi ni wazito sana kufatilia mambo ya msingi
 
Hekima, Busara na Mikakati iliyotumiwa na Shujaa Magufuli imezidi kurithiwa na Viongozi mbalimbali duniani

Kenya wasema kuanzia sasa Maandamano ya aina yoyote ni Marufuku nchini humo

Waziri wa Usalama Prof Kindiki amesema anayebisha ajaribu auone Moto, Jeshi la polisi liko tayari

Taarifa zaidi Citizens TV!
Sio kwa wakenya labda hizo kondoo hapa bongo
 
Back
Top Bottom