[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ana force bifuKiki zinapatikana Wasafi tu, tumemzoea na wenzake Hbaba, Vitobo ya mashavu, ma'ex wote walewale..
Chibu Dangote hakumtaja mtu, ila ye katafuta hiyo pete ili ionekane aliongelewa yeye..
Miaka 40 plus kijiji cha watoto alafu bado unaishi kwa mama duuuhAnaevaa kanga ya mamaako ndo babako....mpka mnajua umri wake Upo ulazima wa kupima DNA
Wewe je?Kumbe mtu anaweza kukuzidi kiumri lkn ukaja ukamzidi hela mfano kiba anamzidi domo kama miaka mitano iv lkn kimkwanja kiba anakimbizwa balaaa
Kwa miaka 40 anamzidi 10+Kumbe mtu anaweza kukuzidi kiumri lkn ukaja ukamzidi hela mfano kiba anamzidi domo kama miaka mitano iv lkn kimkwanja kiba anakimbizwa balaaa
Baba ako ananizid umri lkn namzidi mkwanjaWewe je?
Una akili kwa hiki ulichoandika? Hivi umri ndio pesa ,utakuwa unaugua matende si bure.Kumbe mtu anaweza kukuzidi kiumri lkn ukaja ukamzidi hela mfano kiba anamzidi domo kama miaka mitano iv lkn kimkwanja kiba anakimbizwa balaaa
Kwani kuna shida gani!?yesu anamiaka zaidi ya 2000 mpka Leo bado anakaa kwa babake itakuwa kiba??Miaka 40 plus kijiji cha watoto alafu bado unaishi kwa mama duuuh
kwani wewe na Rashford nani ni mkubwa na nani ana hela kumzidi mwenzake?Kumbe mtu anaweza kukuzidi kiumri lkn ukaja ukamzidi hela mfano kiba anamzidi domo kama miaka mitano iv lkn kimkwanja kiba anakimbizwa balaaa
We kapuku tu, hata hiyo vocha ya kifurushi umeenda kudeka kwa wazazi wakoBaba ako ananizid umri lkn namzidi mkwanja
Pesa zake za uchawi... Mgongo umejaa machale kama chingaKumbe mtu anaweza kukuzidi kiumri lkn ukaja ukamzidi hela mfano kiba anamzidi domo kama miaka mitano iv lkn kimkwanja kiba anakimbizwa balaaa
We acha kumfananisha YESU, na huyo msanii wa K/koo.Kwani kuna shida gani!?yesu anamiaka zaidi ya 2000 mpka Leo bado anakaa kwa babake itakuwa kiba??
Kumbe ulikua hujui [emoji13]Kumbe mtu anaweza kukuzidi kiumri lkn ukaja ukamzidi hela mfano kiba anamzidi domo kama miaka mitano iv lkn kimkwanja kiba anakimbizwa balaaa
Mkubwa hata kama unachuki na binadamu mwenzako haijakaa poa kumfananisha na takataka!We acha kumfananisha YESU, na hiyo takataka ya K/koo.
Unamjua baba ake yesu tuanzie hapoKwani kuna shida gani!?yesu anamiaka zaidi ya 2000 mpka Leo bado anakaa kwa babake itakuwa kiba??
Samahani mkuu,na wote niliowakwaza, ila huyo jamaa kanikera sana kumuingiza YESU kwenye upuuzi.Mkubwa kifesi hata kama unachuki na binadamu mwenzako haijakaa poa kumfananisha na takataka!
Kumbe 1986 na 1989 tofauti yake ni miaka mitano?!Kumbe mtu anaweza kukuzidi kiumri lkn ukaja ukamzidi hela mfano kiba anamzidi domo kama miaka mitano iv lkn kimkwanja kiba anakimbizwa balaaa