King Kiba amjibu Icon wa Taifa Diamond Platinumz

King Kiba amjibu Icon wa Taifa Diamond Platinumz

Kwanini usianzishe uzi wako wa hayo "mafunzo mema" kuliko kumshambulia mtu mmoja kama wewe umeshaokoka na hiyo adhabu ya moto ....??
Samahani kwa mtazamo wako wewe unaona namshambulia au kumuandama Bwana Nassib Abdul. La hasha, sipo katika hayo mawanda unayofikiri. Lengo langu ni kumfikishia ujumbe muhusika na pia kwa wasomaji wengineo. Sikulaumu ila jaribu kuyaweka mahaba kando na kuutizama ukweli wa mambo hasa kwenye dini anayoabudu Nassib. Utaona mwenzetu anapotoka na anatakiwa ajirudi ili aweze kuishi kwenye mafunzo mema.
 
G 6 sasa sijui mimi ndio sijui au ww ila unajua maana ya UK PICK OF THE WEEK, manake usije ukaja na kingereza chako cha THIS BASI WEWE utaumbuka au umesoma hesabu za PROBABILITY manake hilo neno PICK tunalitumia sana.
 
Nyimbo mbovu
 
G 6 kumbe ulikuwa hujaelewa, alafu unataka kuni challenge kwa kingereza chako cha kuunga unga, kuhusu nyimbo kuwa mbovu ilo swala lako na ni haki yako kikatiba kufanya uchaguzi, ila upande wangu mimi bonge la ngoma (na usitake tufanane), wenzako wenye busara kama kitu hawajakielewa, either watauliza kwa walioelewa au wanakaa kimya.
 
Hivi we ni ke au me.. mbona una lawama kama mke mdogo au wanakupumulia wenzako...
 
G 6 siamini kama uwezo wako wakufikiri umefikia hapo, ila tatizo umekimbia hesabu, ungekuwa unajua hesabu hasa PROBABILITY neno PICK lisinge kuchanganya, inaoneka ata uwezo wako wakufikiri ni mdogo na ndio maana unatukana basi poa mwana, sitobishana na ww tena, ila kama hujui siku nyingine uliza mwana utaaibika 😀😀😀😀
 
mi najua kiasi ambacho naona kimenitosha kwa faida yangu siyo kufurahisha watu... sasa mambo ya PROBABILITY humu yamefuata nn kilaza ww au ndo uonekane unajua sana
 
Hili jambo niliwahi kumuambia mtu fulani.
Nashangaa Diamond anajinasibu kama muislam safi ilhali anavaa dhahabu.
Nachefukwa sana ninapomuona mwanaume akivaa dhahabu.
Allah pekee ndo anajua yupi muislam safi we unayaona ya d kuvaa dhahabu, wew ushafanya mangapi maovu, hukumu ya dini tumuachien mungu pekee
 
Ni daawa ndio inayotusukuma kuupasha umma pindi tuonapo mwenzetu anapotoka au kupotoshwa na watu wanaomzunguka.
Ndugu yangu hiv unaweza ukahuusia Uma kwa kuwa mitandaon hebu nenda msikitin hapa kwenyewe unatenda dhambi
 
Allah pekee ndo anajua yupi muislam safi we unayaona ya d kuvaa dhahabu, wew ushafanya mangapi maovu, hukumu ya dini tumuachien mungu pekee
Sijamhukumu,maana tumekatazwa kuhukumiana...Allah pekee ndiye anayehukumu.

Hapa tunamkumbushia ndugu yetu kama tulivyousiwa kukumbushiana.
Ni dhahiri ndugu yetu ktk imani kapotoka,ni budi tumkumbushe japo nasi hakuna aliyemkamilifu lakini huwa tunakumbushana kufuata yale yote mazuri tuliyoamrishwa/tuliyousiwa na kukatazana yale yote mabaya tuliyokatazwa (kama hivi,ni kharamu mwanaume wa kiislam kuvaa mapambo ya dhahabu)

Nafikiri nimekuelewesha vyema.
 
Sijamhukumu,maana tumekatwa kuhukumiana...Allah pekee ndiye anayehukumu.

Hapa tunamkumbushia ndugu yetu kama tulivyousiwa kukumbushiana.
Ni dhahiri ndugu yetu ktk imani kapotoka,ni budi tumkumbushe japo nasi hakuna aliyemkamilifu lakini huwa tunakumbushana kufuata yale yote tuliyoamrishwa/tuliyousiwa na kukatazana yale yote tuliyokatwa (kama hivi,ni kharamu mwanaume wa kiislam kuvaa mapambo ya dhahabu)

Nafikiri nimekuelewesha vyema.
Nifah. Hao ndio walimwengu walivyo. Inastaajabisha kuona mtu anajitoa ufahamu. Hii ni shura!
Inaonekana kuna watu wanampotosha mwenzetu kwa makusudi au kwa bahati mbaya. Hivi wanafikiri yeye mwenyewe anaweza kujibu ufedhuri. Kuna siku nilibahatika kumsikia meneja wa Diamond akiwasifia wanamuziki wake akiishi na wanawake wenye umri mkubwa huku akiwafananisha na Mtume (S.A.W). Nikajiuliza je hao wanamuziki wanaishi na hao wanawake kwa mujibu wa sheria za kiislamu? Je hao wanawake mbona ni vimada? Kwa bahati mbaya hakuna aliyejitokeza kuhoji uhalali wa kauli kama hizo zenye kudhalilisha dini ya kiislamu. Hivi unaweza kulinganisha ndoa za Mtume (SAW) na huo uhuni wa hawa vijana? Nikapata mashaka sana na watu wanaomzunguka huyu bwana. Hebu pitia hizi nukuu:
Babu Tale asema ni bahati kwa wasanii wa ‘WCB’ kupata wanawake wenye umri mkubwa zaidi yao (Video) | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today
Babu Tale: ‘Ni bahati kwa WCB kuwa na wanawake waliowazidi umri’
Nikirudi kwa huyu bwana anayetoa kauli za ajabuajabu wakati tukijaribu kuwaweka sawa wanaopotoka yeye anatoa lugha zisizo na staha. Hapa tunaelimishana na kushauriana ili kujiweka sawa pale kwenye upotofu. Hii ni shura, na imeaswa na kusisitizwa sana pale tunapolingania dini. Hatutasita kuitoa elimu pale tuonapo mwenzetu anapotoka au kupotoshwa.

Ndugu yangu hiv unaweza ukahuusia Uma kwa kuwa mitandaon hebu nenda msikitin hapa kwenyewe unatenda dhambi
 
Samahani kwa mtazamo wako wewe unaona namshambulia au kumuandama Bwana Nassib Abdul. La hasha, sipo katika hayo mawanda unayofikiri. Lengo langu ni kumfikishia ujumbe muhusika na pia kwa wasomaji wengineo. Sikulaumu ila jaribu kuyaweka mahaba kando na kuutizama ukweli wa mambo hasa kwenye dini anayoabudu Nassib. Utaona mwenzetu anapotoka na anatakiwa ajirudi ili aweze kuishi kwenye mafunzo mema.
Acha kunihubiria hapa,nenda kamfuate live umuhubirie sio hapa.
 
Back
Top Bottom