samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,965
Kwanini usianzishe uzi wako wa hayo "mafunzo mema" kuliko kumshambulia mtu mmoja kama wewe umeshaokoka na hiyo adhabu ya moto ....??Mafunzo mema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini usianzishe uzi wako wa hayo "mafunzo mema" kuliko kumshambulia mtu mmoja kama wewe umeshaokoka na hiyo adhabu ya moto ....??Mafunzo mema
Samahani kwa mtazamo wako wewe unaona namshambulia au kumuandama Bwana Nassib Abdul. La hasha, sipo katika hayo mawanda unayofikiri. Lengo langu ni kumfikishia ujumbe muhusika na pia kwa wasomaji wengineo. Sikulaumu ila jaribu kuyaweka mahaba kando na kuutizama ukweli wa mambo hasa kwenye dini anayoabudu Nassib. Utaona mwenzetu anapotoka na anatakiwa ajirudi ili aweze kuishi kwenye mafunzo mema.Kwanini usianzishe uzi wako wa hayo "mafunzo mema" kuliko kumshambulia mtu mmoja kama wewe umeshaokoka na hiyo adhabu ya moto ....??
Hivi we ni ke au me.. mbona una lawama kama mke mdogo au wanakupumulia wenzako...G 6 kumbe ulikuwa hujaelewa, alafu unataka kuni challenge kwa kingereza chako cha kuunga unga, kuhusu nyimbo kuwa mbovu ilo swala lako na ni haki yako kikatiba kufanya uchaguzi, ila upande wangu mimi bonge la ngoma (na usitake tufanane), wenzako wenye busara kama kitu hawajakielewa, either watauliza kwa walioelewa au wanakaa kimya.
mi najua kiasi ambacho naona kimenitosha kwa faida yangu siyo kufurahisha watu... sasa mambo ya PROBABILITY humu yamefuata nn kilaza ww au ndo uonekane unajua sanaG 6 siamini kama uwezo wako wakufikiri umefikia hapo, ila tatizo umekimbia hesabu, ungekuwa unajua hesabu hasa PROBABILITY neno PICK lisinge kuchanganya, inaoneka ata uwezo wako wakufikiri ni mdogo na ndio maana unatukana basi poa mwana, sitobishana na ww tena, ila kama hujui siku nyingine uliza mwana utaaibika 😀😀😀😀
Allah pekee ndo anajua yupi muislam safi we unayaona ya d kuvaa dhahabu, wew ushafanya mangapi maovu, hukumu ya dini tumuachien mungu pekeeHili jambo niliwahi kumuambia mtu fulani.
Nashangaa Diamond anajinasibu kama muislam safi ilhali anavaa dhahabu.
Nachefukwa sana ninapomuona mwanaume akivaa dhahabu.
Ndugu yangu hiv unaweza ukahuusia Uma kwa kuwa mitandaon hebu nenda msikitin hapa kwenyewe unatenda dhambiNi daawa ndio inayotusukuma kuupasha umma pindi tuonapo mwenzetu anapotoka au kupotoshwa na watu wanaomzunguka.
Sijamhukumu,maana tumekatazwa kuhukumiana...Allah pekee ndiye anayehukumu.Allah pekee ndo anajua yupi muislam safi we unayaona ya d kuvaa dhahabu, wew ushafanya mangapi maovu, hukumu ya dini tumuachien mungu pekee
Nifah. Hao ndio walimwengu walivyo. Inastaajabisha kuona mtu anajitoa ufahamu. Hii ni shura!Sijamhukumu,maana tumekatwa kuhukumiana...Allah pekee ndiye anayehukumu.
Hapa tunamkumbushia ndugu yetu kama tulivyousiwa kukumbushiana.
Ni dhahiri ndugu yetu ktk imani kapotoka,ni budi tumkumbushe japo nasi hakuna aliyemkamilifu lakini huwa tunakumbushana kufuata yale yote tuliyoamrishwa/tuliyousiwa na kukatazana yale yote tuliyokatwa (kama hivi,ni kharamu mwanaume wa kiislam kuvaa mapambo ya dhahabu)
Nafikiri nimekuelewesha vyema.
Ndugu yangu hiv unaweza ukahuusia Uma kwa kuwa mitandaon hebu nenda msikitin hapa kwenyewe unatenda dhambi
Una ukubwa wa mwili lkn akili size ya diclopa so unapaswa kupuuzwaWapiga dili hao mziki hawajui wanachofanya ni sawa na kubeba maji kwenye tenga
jina lako tu linaonyesha mtoto simu line mbiliUna ukubwa wa mwili lkn akili size ya diclopa so unapaswa kupuuzwa
Acha kunihubiria hapa,nenda kamfuate live umuhubirie sio hapa.Samahani kwa mtazamo wako wewe unaona namshambulia au kumuandama Bwana Nassib Abdul. La hasha, sipo katika hayo mawanda unayofikiri. Lengo langu ni kumfikishia ujumbe muhusika na pia kwa wasomaji wengineo. Sikulaumu ila jaribu kuyaweka mahaba kando na kuutizama ukweli wa mambo hasa kwenye dini anayoabudu Nassib. Utaona mwenzetu anapotoka na anatakiwa ajirudi ili aweze kuishi kwenye mafunzo mema.
Ni miaka 30 bhana,,,,,, Cyo 40Basi atakuwa baba yake domo kama anafikisha forte