Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Tuwekeze humo kwa vizazi vyetu kama uwezo tunao, alichokifanya joh makini kinaenda kumlipa very soon. Huyo dogo akifanikiwa kuingia kwenye academy ya timu kubwa yeyote ulaya tayari atakuwa mbali sana.Sure, Soka ndio sekta inayotoa ajira kwa watu wengi sana duniani na maisha ya wengi yamebadilika kupitia mpira
Hizo ni dipresheni🤣🤣Mwanangu mpira atacheza tu hata kwa viboko.
Acha ziwe ila ni kwa faida yakeHizo ni dipresheni🤣🤣
Hizi nywenye zimemzeesha mtoto!! Kama kama mtu mzima mtoto.King Mseke (9), mtoto wa msanii wa hip-hop Tanzania Joh Makini, amewasili katika Academy ya Klabu ya Manchester City nchini Uingereza kwa ajili ya mafunzo ya soka ya wiki mbili. Joh Makini amesema mwaliko huo umetokana na juhudi za muda mrefu za kukuza kipaji cha King, kilichoonekana akiwa na umri wa miaka minne.
View attachment 3178745
Mafunzo hayo yataleta tathmini ya kitaalamu kuhusu uwezo wa King na ushauri wa kuboresha kipaji chake, hatua ambayo Joh anaamini itafungua milango zaidi katika safari yake ya soka.
View attachment 3178746
"Ni stori ndefu sana, hivi ni vitu ambavyo tumekuwa tukitafuta wenyewe na kuvifanyia kazi kwa miaka kuhakikisha kipaji cha Mtoto kinaonekana, King alianza mafunzo serious akiwa na miaka minne au mitano baada ya kumuona ana kipaji ilibidi niivalie njuga sikutaka kuchukulia poa kabisa" - Joh Makini.
View attachment 3178748
"King Mseke ambaye ni Mwanafunzi wa darasa la tano, aliondoka Tanzania kwenda Uingereza ljumaa December 13 2024 ambako atakuwa kwenye mafunzo hayo ya Manchester City kwa muda wa wiki mbili "haya mafunzo unapata mwaliko kutokana na juhudi zako na uwezo wa Mtoto".
"Wakishamaliza mafunzo wanaandaa ripoti jinsi walivyomuona Mtoto na pia wanakushauri vitu vya kufanyia kazi, unajua wale wako mbele sana wana vipimo vyao Mtoto anapimwa kila kitu yani wanaweza kukwambia mpaka shuti la huyu Mtoto uzito wake, mikimbio yake kitaalamu n.k, naamini hii safari yake itafungua milango mingi sana kwa huyu Mtoto" Joh Makini.
Chanzo: Ayo TV
mnyampe!Kwahiyo sisi kama member wa jf unataka tufanyeje?
Umaskini ni kitu kibaya sana na inaonesha hata mpira haujawahi kuchezaAnaonekana amedekezwa sana mpira unahitaji watoto wagumu
Hivi huyu mtoto hana pozi nyingine zaidi ya hii?King Mseke (9), mtoto wa msanii wa hip-hop Tanzania Joh Makini, amewasili katika Academy ya Klabu ya Manchester City nchini Uingereza kwa ajili ya mafunzo ya soka ya wiki mbili. Joh Makini amesema mwaliko huo umetokana na juhudi za muda mrefu za kukuza kipaji cha King, kilichoonekana akiwa na umri wa miaka minne.
View attachment 3178745
Mafunzo hayo yataleta tathmini ya kitaalamu kuhusu uwezo wa King na ushauri wa kuboresha kipaji chake, hatua ambayo Joh anaamini itafungua milango zaidi katika safari yake ya soka.
View attachment 3178746
"Ni stori ndefu sana, hivi ni vitu ambavyo tumekuwa tukitafuta wenyewe na kuvifanyia kazi kwa miaka kuhakikisha kipaji cha Mtoto kinaonekana, King alianza mafunzo serious akiwa na miaka minne au mitano baada ya kumuona ana kipaji ilibidi niivalie njuga sikutaka kuchukulia poa kabisa" - Joh Makini.
View attachment 3178748
"King Mseke ambaye ni Mwanafunzi wa darasa la tano, aliondoka Tanzania kwenda Uingereza ljumaa December 13 2024 ambako atakuwa kwenye mafunzo hayo ya Manchester City kwa muda wa wiki mbili "haya mafunzo unapata mwaliko kutokana na juhudi zako na uwezo wa Mtoto".
"Wakishamaliza mafunzo wanaandaa ripoti jinsi walivyomuona Mtoto na pia wanakushauri vitu vya kufanyia kazi, unajua wale wako mbele sana wana vipimo vyao Mtoto anapimwa kila kitu yani wanaweza kukwambia mpaka shuti la huyu Mtoto uzito wake, mikimbio yake kitaalamu n.k, naamini hii safari yake itafungua milango mingi sana kwa huyu Mtoto" Joh Makini.
Chanzo: Ayo TV
Ninyi ndio wale watanzania wenye wivu wa kimaendeleo, Halafu unakuta mwanao unamsomesha huko vijijini ndani ndani Madongo kuinama primary school.Kwa kumuangalia tu hapo hakuna mpira ila baba anafos tu mtoto amelegea hivo