mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Huyu ukimuwekea dhamana anakufungisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tela la volvoHuyu sijui ni mwanaume wa aina gani siti yote hiyo eti mazoezi 🤔
SahihiQueen of ushoga.
Huyu jamaa anataka sisi tunaofanya squats tuonekane wa hovyoKing of Squats akiwa Arusha kwa maandalizi ya mazoezi, tazama Video hii kwa umakini kisha rusha maoni yako
Ushaenda kwa king? 😁Chuga oyeee
Jamaa alisema anakuja Arusha. Ndo kafika itakuwaMmmhh nakuwa na uhakika gani kwa kuona majengo mawili na miti? Hakuna sehemu nyingine panapoweza kuwa na mazingira ya aina hiyo?
Au ulienda ku squat?
OkayJamaa alisema anakuja Arusha. Ndo kafika itakuwa
😂View attachment 3034952
King tumemuona!!
Hayo ni mazoezi ya makalio ulitaka achukue puaAiseee duuh hatari sana ila mchukua Video lengo lake halikuwa zuri kwanini asingechukua sehemu zingne za mwili alitaka kutuonesha sehemu ya makalio
Jamaa ana-imagine na yeye atakavyokuwa na taco
Kesho naenda best. Ntakuwakilisha vyema usijaliUshaenda kwa king? 😁
Kwanini wamemruhusu kuingia nchini? Uhamiaji wametuangusha sana. Arusha na Taifa tayari limeshanajisiwa.King of Squats akiwa Arusha kwa maandalizi ya mazoezi, tazama Video hii kwa umakini kisha rusha maoni yako