King of Squats akiwa Arusha kwa maandalizi ya mazoezi, tazama Video hii kwa umakini kisha rusha maoni yako

😂😂😂 wadudu wamefikiwa, wanaume kibao wanalitamani wowowo la kisauzi.
Mpaka mnafokonyoa video za mb kibao na kuziangalia.

Acheni hizo aisee, kama hampendi anachofanya jamaa mpotezeeni. Hii kusambaza video zake kwa kisingizio ati sijui anasambaza ushoga, huku macho kodo kwenye wowowo ni sawa na sizitaki mbichi hizi.
 
Hivi Wanawake bila hayo mashepu ndiyo hamtapendwa na Wanaume zenu?

Mbona wenzenu tumeishi na Bibi zenu hadi tumezeeka sasa bila kuwaambia waende Mloganzila ama Kwa huyo Queen of Squat kutengeza shepu?🙌
 
Aiseee duuh hatari sana ila mchukua Video lengo lake halikuwa zuri kwanini asingechukua sehemu zingne za mwili alitaka kutuonesha sehemu ya makalio

Kiboga ndio kinaonekana kuliko sehemu nyingine yeyote...
 
Sasa bwashee unafikiri kila mtu anafuatilia huo upuuzi kama wewe? Wenzako walielewa kuwa sipo kwenye hayo mambo ndio maana sikuwa nafahamu wakanielewesha wewe unakuja kichwa kichwa utachezea bero za mbavu ufe.
Kwahio sasahivi umejua inamaana umefuatlia sio
 
Ndg zangu wanaume wenzetu wa Arusha kulikoni tena?

Mambo kama haya tumezoea kuyaona Kwa wanaume wa Dar iweje Tena mmeyafikisha huku?
 
Mashoga mnajua sana kusapotiana kila saa mnampost post mwezenu halafu hakuja jambo la maana zaidi ya kubinua matako tu....
 
Mashoga mnajua sana kusapotiana kila saa mnampost post mwezenu halafu hakuja jambo la maana zaidi ya kubinua matako tu....
Certificate naye yupo hivyo ndo mkuu wao wa Mkoa kwa sasa ndo mana wamekaribishana
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.



1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…