Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Mambo mengine aise.hivi akitokea muhuni akamuomba atakataa au atamshtaki? Huyu jamaa siyo bure ana lake jambo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona wote ma queen hapo sioni king mbonaKing of Squats akiwa Arusha kwa maandalizi ya mazoezi, tazama Video hii kwa umakini kisha rusha maoni yako
Aiseee duuh hatari sana ila mchukua Video lengo lake halikuwa zuri kwanini asingechukua sehemu zingne za mwili alitaka kutuonesha sehemu ya makalio
Oya tumia lugha nzuri,unaniumiza kisaikolojiaman na wewe umefungasha?
Kwahio sasahivi umejua inamaana umefuatlia sioSasa bwashee unafikiri kila mtu anafuatilia huo upuuzi kama wewe? Wenzako walielewa kuwa sipo kwenye hayo mambo ndio maana sikuwa nafahamu wakanielewesha wewe unakuja kichwa kichwa utachezea bero za mbavu ufe.
dah nisamehee sana mkuu. sema kuna njia za kuondoa hiyo ishu kama uko serious. nicheki nikushauri.Oya tumia lugha nzuri,unaniumiza kisaikolojia
Sawa na useme nipunguze ukubwa wa korodani au pua yangu,sifanyidah nisamehee sana mkuu. sema kuna njia za kuondoa hiyo ishu kama uko serious. nicheki nikushauri.
Siwezi fuatilia ujinga. Nimejulishwa hapa hapa na wadau waliokuwa wanajuaKwahio sasahivi umejua inamaana umefuatlia sio
Tafiti zinasema Arusha ndio panaongoza kwa Wanaume kujiingiza kwenye Upinde kwa hapa TZ...Katika hali ya kawaida alitakiwa kuwafikia watu wa daslam hayo ndio yao, sasa huko kwa wadudu sijui imekuaje......aaahh au kajua mkuu wa mkoa nae ni king of skwat???😹
Hii ni kazi ya Mungu au ni juhudi binafsiKiboga ndio kinaonekana kuliko sehemu nyingine yeyote...