Alishapitia jesh??
Hata mimi wananichanganya sana wanavyolitumia, sometimes nadhani tuko Zimbabwe.
amekaa kishamba sanaa
yaani hana pozi zile za kibradha kaka
yupo yupo tu na hizo hela hazijampendeza!
Lipia tangazo dogo huyo ni nani?mbona hatambuliki?labda aende iringa na songea ndio ukamwite bilionea ila sio kwa dar es saalam👐
amekaa kishamba sanaa
yaani hana pozi zile za kibradha kaka
yupo yupo tu na hizo hela hazijampendeza!
Kama Diamond Platnumz anaitwa Dangote mi sioni kama kuna jipya hapa.Neno bilionea linatumika vibaya sana
Hizo hela anatumia ndani kwao tu au?hii sura katika wakali wa town sijawahi kukutana nayo labda kama anaishiaga kariakoo akileta pilipili toka kilosa
Gwanda za babaake generali mstaafu ambaye pia ni billionea
Kwa huyu ndo yule dogo wa baloz wa Tz, China ambaye kina Chonji walimtoboa spika baada ya kuwarusha??