King Rover: Billionea kijana mwenye madharau Dar es Salaam anayekimbiza Bongo nzima

King Rover: Billionea kijana mwenye madharau Dar es Salaam anayekimbiza Bongo nzima

Kwa hiyo huyo ni bilionea.. wenzake wakiwa na pesa zinawangarisha ye anatia aibu na hiyo midevu sasa loh
 
Hilo li Range Rover la 2000 ndo anaendesha bilionea, c bora ht mi sanlag ya 2014
 
Yesss!!!!!!!!!!!
Hayo ndo mambo.sio uzinzi ws kutambishia.
 
Ni macho yangu mabovu but huyo billionea naona kama mchafu tu.
 
Jamanii hivii Rio paul hawez kuvaa surual mpaka aikuje chini inakua kama kipedo looo na tule tuviatu tunafanana twa kike loo!!!!!!!!!
 
Ukishaona mtu anapiga picha na kuonesha.pesa huyo ni wa kumpuuzia. Kwasababu zifuatazo;
1. Mtu yeyote anayejielewa hawezi fanya jambo hilo. (Kina Rostam, Mengi Bakhresa na wengineo ambao tunajua wanazo hawafanyi jambo hili)
2. Ushamba-ushamba mzigo jamani tusimshangae.
 
Kwa huyu ndo yule dogo wa baloz wa Tz, China ambaye kina Chonji walimtoboa spika baada ya kuwarusha??

Hebu funguka vizuri bwana....ila mbona anaonekana mlaini tu tokea hapo...?!!!
 
Back
Top Bottom