Aisee, "All of the facial features were painted in black and lips were reddened", halafu tena "His skin was darkened and his nose was flattened by the bandages".Kitabu chake hiki hapa nimekipata mbali sana karibuni wadau tusome.
Shukran nyingi kwako ndugu yetu darsa zuriShukrani mkuu!
Tuko pamoja sana JF ndio darasani kwetu sote na kila mmoja ni mwalimu na mwanafunzi kwa wakati mmoja. Asante!
Tuko pamoja sana Guasa.Shukran nyingi kwako ndugu yetu darsa zuri
ni uzushi sijui,inakisiwa kabla ya kuchakachuliwa kwa historia ndie anapaswa kuwa [MFALME SULEIMAN]mansa kan kan mussaaiseee "", nilipitia ", maandiko ya huyo nguli " alikuwa na balaa kubwa Sana
huyo wanasema " aliishi " mwaka 1280s Kama sijasahauni uzushi sijui,inakisiwa kabla ya kuchakachuliwa kwa historia ndie anapaswa kuwa [MFALME SULEIMAN]mansa kan kan mussa
Aleppo hii ni kweli maana King Tut alizikwa na mke wake ambae alikuwa ni Dada yake aliekuwa na mimba kubwa.humbe African
Nalendwa hapo kwa king tut kama snowhite akimuoa farao mdogo maana yake wataunganishwa naye katika dunia nyingine kupitia mummification na kuuwawa kama ilivyoelezwa kwenye maandiko matakatifu
Ukiwa mke wa farao alafu farao akafa kabla yako basi jua hutabaki mjane maana watakuua, watapasua kifua chako kisha watatoa organi zako kisha wataziweka kwenye canupagus(sina uhakika na spellin) alafu wataku-mummified.
Wakati wa ndoa ni kiapo cha damu wanakutoa damu kwa jambia yaani ...
Aleppo hii ni kweli maana King Tut alizikwa na mke wake ambae alikuwa ni Dada yake aliekuwa na mimba kubwa.
Zamani kulikuwa na vituko sana.
Walikuwa wana imani nyingi sana za kipuuzi mfano kuamini kwamba moyo ndio unaotumika kwa ajili ya kufikiri na Ku reason mambo na sio ubongo.Hahaha hawa watu walikuwa ssio wa kawaida. Ila kwenye yale makaburi yalikuwa kiboko eti kuna michoro ikifika kipindi farao mfu anafufuka(anamka) eti anaenda kwenye after life. Hii imani ya kufufuka sijui waliitoa wapi na kwenda after life
Walikuwa wana imani nyingi sana za kipuuzi mfano kuamini kwamba moyo ndio unaotumika kwa ajili ya kufikiri na Ku reason mambo na sio ubongo.
Ila sijui walikuwa wanaishi after life spiritually maana roho zao ziliwahadabisha sana watu wenye tamaa na wabishi but unfortunately wao waliamini miili yao itaishi eternity then roho zao ndio zikaishi eternity.
Yeah! Lile kaburi limezua taharuki kubwa pale Misri sababu liliaminika labda linaweza kuwa la Alexander the great but waligundua lilikuwa kaburi la wanajeshi watatu ambao walikutwa wakiwa na ballistic helmet zao..watu waliligwaya kulifungua kwa muda mrefu wakiamini lile kaburi linaweza kuwa na laana kubwa sana kama ilivyo kawaida ya makaburi ya watawala wa kale kufungwa uchawi na uganga uliojaa laana kuu.Humble
Wiki hii naskia tena wa-Misri waligundua kaburi tena la kale sana ila jeneza lake lilikuwa lizito na linatoa uvundo mpaka ikabidi jeshi liitwe. Sijajua liliishia wapi?