Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

Badilisheni katiba ili muwafumge hao mnaotaka. Mbona kila siku mnalia jamaa hafuati katiba, leo mnataka asiifuate awapeleke wenzake mahakamani?
 

Ufisadi ni neno moja lakini lina maana tofauti. Inategemea mtu kasimama wapi.

UKAWA, ufisadi ni uharifu wa kiuchumi Tanzanai.

CCM, ufisadi maana yake ni UKAWA kwa lugha sahihi upinzani makini.

Huu ndio ukweli. Sasa lini Ccm watarudi upande wa wananchi ili aelewe somo, ni hadi hapo familia za polisi ziatakapokuwa zimefutika kwa kukosa huduma. Hadi hapo hao askari watakapojitambuakwamba famlia zao nazo zinateseka kama atanzania wengine na kusaliti umma, hakuwaondolei matso ya Waanzania.
 
Lowasa ana kashfa nzito sana ya ufisadi wa Richmond...mahakama ya mafisadi itaanza nae
kama ana kashfa nzito kwa nini sasa hawampeleki mahakamani? ina maana hizi mahakama tulizonazo haziwezi kusikiliza tuhuma zake mpaka iunde mahakama maalum ya mafisadi? na hao majaji watakuwa ndio hao hao wa mahakama za sasa au na wao wataagizwa toka nje ya nchi ili kuleta utofauti?
 
Hivi mlivoambiwa CCM ni ile ile inamaana hamkuelewa?

Ndo hivo sasa.... mmeipenda wenyewe, chaguo lenu wenyewe.....

Kilichobaki ni kuisoma namba tu
Mkuu namba ilishasomwa, imebaki kuiandika na kuikariri tu.
 
Mbona mahakama haijaanza mnatoa hitimisho. JPM anamlinda JK kutokana na katiba iliyoko ambayo ameapa kuilinda.
 
Sijaona umuhimu wa hiyo mahakama ya kifisadi kwa sbb itakuwa ni danganya Toto tu.
 
Ameona mbali sana, kwamba baada ya muda wake na yeye kuisha atakayemrithi atashindwa kuhoji kuhusu zile "zambi" zake
 
Mwenge kutenda haki ni Mungu peke yake. Hawa W engine ni wasanii tu ndiyo maana mhubiri anasema ni ubatili mtupu chini ya jua
Amen!!!. Pia Yesu atakuja kuvunja falme zote hizi za ulimwneguni na kusimamisha falme yake moja milele!
 
Mahakama haiwezi kuwepo kisha izikwepe kesi hizi watu waikubali . 1- zile bilion 252 zilipotea Wizara ya Ujenzi Kwa kuwalipa makandarasi hewa , 2- Ununuzi kivuko chakavu cha mwaka 1978 Kwa bilion 8 cash , 3- Mabehewa Feki ya mwakyembe na gharama halisi za Ukarabati wa reli ya tren ya mwakyembe na ile reli ya kati na ufisadi bandarini pia Ujenzi uwanja wa ndege. 4- Chenji ya Rada na Chenji Bunge la katiba -5- pesa za NIDA na mali na Mabilion ya marehemu Gadafi yaliyofichwa na Membe -6- NSSF ufisadi kwenye miladi yote likiwemo daraja la Kigamboni -7- TTCL , ATC waliozifirisi mpaka kufikia zilipo sasa, -8- Madili ya sukari yanayofanyika sasa pia hiyo pesa inayotumika kumpatia Lipumba avuruge CUF nayo ni ufisadi , haiwezekani kwenda kumpatia Lipumba pesa afanye pumba wakati kuna wagonjwa kibao wanateseka pasipo kupata Dawa wala msaada . Yapo Madili mengi sana lakini hiyo Mahakama bila hizo kesi haitakuwa na maana tena.
 
Lowasa ana kashfa nzito sana ya ufisadi wa Richmond...mahakama ya mafisadi itaanza nae
Wewe upo Somalia nini ? au upo Uvunguni Kwa Lugumi ? Umekariri propaganda za Membe na Timu yake akina January hadi Leo ? Kwa Taarifa yako Richmond ni ya Kikwete Dili zima Nenda Tanesco watakupa data zote jinsi ilivyokwenda hadi Rais Obama kuja kumwekea baraka pale Ubungo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…