Wamewasha moto alafu hawajui kuwa kuna mahindi makavu pembeni hakuna wa kutetea Rowasa cha msingi taifa limeingizwa hasara wawajibishe ndugai anaongea upuuzi sana anawakumbusha nin ili wasiendelee kuwashitaki marais waliopita huu ni upuuzi kabisa ambao hakupaswa kuutamka.As long as wamliingizia TAIFA hasara washtakiwe tu.Ninavyojua Waziri mkuu hana immunity mwenye immunity ni RAIS pekee.Tunataka JK na BM washtakiwe wasilite upuuzi wa kufanya sherehe wakati wengine wanaendelea lula viinua mgongo tu
Ndugai amesema hayo leo (Jumanne) bungeni baada ya mchango wa Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali kusema haiwezekani mawaziri na watendaji wengine wa Serikali wakafanikisha mikataba mibovu ya madini bila ridhaa ya Rais.
Dodoma. Spika wa Bunge, Job Ndugai amewakumbusha wabunge wa upinzani wanaotaka marais wastaafu washtakiwe kuhusu sakata la mchanga wa madini, wakumbuke wanao mawaziri wakuu wastaafu wawili ambao watahusika pia.

"Haiwezekani mzee wangu (Andrew) Chenge na (Nazir) Karamagi walipitisha mikataba hiyo bila Rais aliyekuwapo kufahamu. Kinga ya Rais kushtakiwa iondolewe ili wahojiwe," amesema Lijualikali.
Baada ya hoja hiyo ya Lijualikali inayofanana na ya Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche, Ndugai aliwakumbusha juu ya mawaziri wastaafu walionao kwenye chama chao.
"Mabadiliko mnayoyataka yakipitishwa na viongozi mlionao wakikamatwa msije mkalalamika tena," amesemaNdugai.
Chanzo: Mwananchi
Wamewasha moto alafu hawajui kuwa kuna mahindi makavu pembeni hakuna wa kutetea Rowasa cha msingi taifa limeingizwa hasara wawajibishe ndugai anaongea upuuzi sana anawakumbusha nin ili wasiendelee kuwashitaki marais waliopita huu ni upuuzi kabisa ambao hakupaswa kuutamka.
Ndio akili ya spika ilipoishiaHivi Lijualikali amesema mawaziri wakuu kama wanahusika wasishtakiwe. Kweli kiwango cha ufahamu cha supika kimeathirika. Hoja nyeupe majibu meusi? Kwa hiyo kinachofanya Marais wastaafu wasishtakiwe ni kutokana na huruma kwa Mawaziri wakuu?
Katiba ya warioba hileee kama naiona kwambali inajongea taaratibu. Kama kweli jpm ni mzalendo itabidi maraisi wastaafu nao wawekwe kwenye kikaango lakin kwa katiba hii hana uwezo wa kufanya hivyo, kwa hiyo basi mtukufu jpm ili uweze kushughulikia hili janga kisawa sawa inabidi bila kusita kupitisha katiba ya warioba fasta ili tukamate wezi wa nchi hii.[HASHTAG]#jpm[/HASHTAG] mzalendo#katiba mpya.Ndugai amesema hayo leo (Jumanne) bungeni baada ya mchango wa Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali kusema haiwezekani mawaziri na watendaji wengine wa Serikali wakafanikisha mikataba mibovu ya madini bila ridhaa ya Rais.
Dodoma. Spika wa Bunge, Job Ndugai amewakumbusha wabunge wa upinzani wanaotaka marais wastaafu washtakiwe kuhusu sakata la mchanga wa madini, wakumbuke wanao mawaziri wakuu wastaafu wawili ambao watahusika pia.
Ndugai amesema hayo leo (Jumanne) bungeni baada ya mchango wa Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali kusema haiwezekani mawaziri na watendaji wengine wa Serikali wakafanikisha mikataba mibovu ya madini bila ridhaa ya Rais.
"Haiwezekani mzee wangu (Andrew) Chenge na (Nazir) Karamagi walipitisha mikataba hiyo bila Rais aliyekuwapo kufahamu. Kinga ya Rais kushtakiwa iondolewe ili wahojiwe," amesema Lijualikali.
Baada ya hoja hiyo ya Lijualikali inayofanana na ya Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche, Ndugai aliwakumbusha juu ya mawaziri wastaafu walionao kwenye chama chao.
"Mabadiliko mnayoyataka yakipitishwa na viongozi mlionao wakikamatwa msije mkalalamika tena," amesemaNdugai.
Chanzo: Mwananchi
imani yangu ya kiislamu inanikataza kumuombea mtu mabaya, lakini ninavyokerekwa na huyu mbumbumbu asiye na busara hata kidogo aliyekabidhiwa hiko cheo cha uspika na mahayawani wenzake,...natamani agongwe tu na gari mara atokapo pale bungeni!!!!!Hivi Lijualikali amesema mawaziri wakuu kama wanahusika wasishtakiwe. Kweli kiwango cha ufahamu cha supika kimeathirika. Hoja nyeupe majibu meusi? Kwa hiyo kinachofanya Marais wastaafu wasishtakiwe ni kutokana na huruma kwa Mawaziri wakuu?
Kweli kabisa yaani eti umtetee mharifu kwavile Yuko kweny chama chako?.. mahakama ndio iamue haki itendeke...Ndugai anafanya mambo ya ajabu kweli..Hakuna anyemtetea Lowasa au Sumaye hapa
Endapo Lowasa au sumaye amefanya makosa awajibishwe...Its not about Uchama hapa..Its about Nchi
Unaona jinsi gani Tanzania tumefikia kuwa na akili ndogo sana? Watu tunaongelea kuwawajibisha viongozi kwa makosa makubwa yaliyotangulia, speaker mzima, anatoa comment zisizo na mskiko kama hi11! Kwani kama hao Mawaziri waliotangulia wana makosa kwa nini wasishitakiwe?
Kwa nini mtu mzima kama Ndugai anadhani kila upnzani wakiongea ni kwa ajili ya kutetea maslahi yao na kukandamiza CCM? How can a person like Ndugai think in such an impotent manner?!? Labda matusi anayotukanwa yanastahili, kama kweli ametoa comment hama hiyo.
Yaani Ndugai anaona point ya kuwashitaki viongozi waliopita ni point dhidi ya CCM sio taifa? Aliyesema wastaafu waliohamia upinzani wasishitakiwe nani? Kwa nini unaleta uvyama kwenye comment zinazotolewa kwa maslahi ya taifa, na wewe ndio Speaker?
Kwa hili Ndugai amedhihirisha wazi hana uwezo, busara wala akili ya kuwa Speaker.
Utetezi wa kijinga kabisa. Toka mwanzo nawaambia hili jambo kuna mahali linafanywa kwa maslahi ya taifa, lakini inapokuja suala la kuchukua hatua siasa zinachukua mkondo wake.
Pia narudia tena, katika kosa ambalo cdm watalijutia ni wao kumchukua Sumaye na hasa Lowassa, kibaya zaidi cdm wamekuwa na kigugumizi kwenye mambo mengi kwani wamejivika madoa ambayo hawana uwezo wa kuongea lolote wakaeleweka. Kila wakikosoa au kuleta hoja wanaambiwa mmekumbatia wachafu chamani. Kilichobakia ni wao kuwatosa ama kuanzishwa chama kingine cha upinzani kitakachopata kuungwa mkono na walio wengi ili kutoa ushindani. Kinyume na hapo huyo domo zege Lowasa ni kujipiga kitanzi tu.
Ndungai na ccm yake watu wa ajabu sana 'tumuunge rais' hii sentensi maana yake nini? Maana yake waliohusika wanastahili adhabu period. Mwenyewe amesema wahusika wote washughulikiwe hata iwe nani sasa huyu anaona bunge ndio pa kuwabana wapinzani. Hivi kwa nini hawaelewi tatizo ni hicho kiti cha uspika ndio kinatuingiza kwenye majanga yote haya. SPIKA anza kujitambua angalau kidogo uwatendee haki watanzania acha kuitumikia ccm.Wote tu waliohusika washtakiwe kama ni wa MACCM au waliohamia Chadema. Kama walihusika kwa namna moja au nyingine basi hakuna jinsi.
Akili za huyu kama nembo ya ccm. Zimepishana sana na kawaida. Hivi ni nani anayetetea waovu katika chama zaidi ya CCM?Ndugai amesema hayo leo (Jumanne) bungeni baada ya mchango wa Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali kusema haiwezekani mawaziri na watendaji wengine wa Serikali wakafanikisha mikataba mibovu ya madini bila ridhaa ya Rais.
Dodoma. Spika wa Bunge, Job Ndugai amewakumbusha wabunge wa upinzani wanaotaka marais wastaafu washtakiwe kuhusu sakata la mchanga wa madini, wakumbuke wanao mawaziri wakuu wastaafu wawili ambao watahusika pia.
Ndugai amesema hayo leo (Jumanne) bungeni baada ya mchango wa Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali kusema haiwezekani mawaziri na watendaji wengine wa Serikali wakafanikisha mikataba mibovu ya madini bila ridhaa ya Rais.
"Haiwezekani mzee wangu (Andrew) Chenge na (Nazir) Karamagi walipitisha mikataba hiyo bila Rais aliyekuwapo kufahamu. Kinga ya Rais kushtakiwa iondolewe ili wahojiwe," amesema Lijualikali.
Baada ya hoja hiyo ya Lijualikali inayofanana na ya Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche, Ndugai aliwakumbusha juu ya mawaziri wastaafu walionao kwenye chama chao.
"Mabadiliko mnayoyataka yakipitishwa na viongozi mlionao wakikamatwa msije mkalalamika tena," amesemaNdugai.
Chanzo: Mwananchi
Kila nikiiwaza ccm napata kichefuchefuNdugai amesema hayo leo (Jumanne) bungeni baada ya mchango wa Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali kusema haiwezekani mawaziri na watendaji wengine wa Serikali wakafanikisha mikataba mibovu ya madini bila ridhaa ya Rais.