Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tufike mahala suala hili la kinga la Rais lifanyiwe marekebisho, kweli unaliingiza taifa kwenye hasara hivi na kwa maslahi binafsi na hushitakiwi. Totoe kabisa hapa siku zote kila atayekuja atasaini haraka haraka kwa maslahi yake. Refer mikataba ya gesi yani nchi tabu tabu tu, kusafisha kunatakiwa to be addressed from these fraud contracts.
Huyu jamaa kwenye mikataba kwa kweli alikuwa eidha lofa au ana shea! Msimi wake ndo madudu makubwa yalifanyika mpaka leo yanagharim taifa!Ndomana lodi lofa Yuko kimyaaa
Ova
Sio hivyo tuu, anajitetea na yeye maana sheria zote za hovyo zilizo tuangamiza kama Taifa zina tokea bungeni. Nashangaa Mh rais kasahau kuagiza na maspika wachunguzweUlitegemea Nini!
Ndugai anatetea ugali wake lazima afanye anachofanya kuwaridhi mabwana zake
[HASHTAG]#HappyAnniversaryToMeInJF[/HASHTAG]