Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

Tufike mahala suala hili la kinga la Rais lifanyiwe marekebisho, kweli unaliingiza taifa kwenye hasara hivi na kwa maslahi binafsi na hushitakiwi. Totoe kabisa hapa siku zote kila atayekuja atasaini haraka haraka kwa maslahi yake. Refer mikataba ya gesi yani nchi tabu tabu tu, kusafisha kunatakiwa to be addressed from these fraud contracts.
 
Nyerere alilipigia debe ili watu wasijekugoma kutoka...ila tumekomaa sasa. Ifike sehemu tuogope kuwatendea mabaya watanzania sababu ya vyeo vyetu
 
Hili jambo sisi watanzania wenyewe hatulipi umuhimu na hata mada zinazohusu hili jambo watu huwa hawazipi umuhimu labda hili jambo la mchanga wa dhahabu sasa ndio litawashitua watanzania kuona umuhimu wake.
 
Uyu angekua mzelendo,angekubali kativa ya Warioba. Vipengele vya ovyo kama hivyo vifutwe.
Kwavile na yeye ni walewalw hatoigusa hii katiba,ataendeleza utumbo uleule mpaka mwisho.
 
Ndomana lodi lofa Yuko kimyaaa

Ova
Huyu jamaa kwenye mikataba kwa kweli alikuwa eidha lofa au ana shea! Msimi wake ndo madudu makubwa yalifanyika mpaka leo yanagharim taifa!
Kinga itolewe kwa kweli, ishu tunaitoaje?? Sio kwa kumuhusisha dj na team yake please!
 
Wajanja sana hao kuiba waibe wao majanga wabebe watu wengine.
 
Na kwa kweli kama JPM ana ujasiri wa kugeuza matamko yake kuwa sheria, awaweke ndani JHMK, BWM na watendaji wote wa msingi. Muhongo aliyakuta haya yote na kosa lake ni kuyafumbia macho.
 
Ndugai amesema hayo leo (Jumanne) bungeni baada ya mchango wa Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali kusema haiwezekani mawaziri na watendaji wengine wa Serikali wakafanikisha mikataba mibovu ya madini bila ridhaa ya Rais.
----
Spika wa Bunge, Job Ndugai amewakumbusha wabunge wa upinzani wanaotaka marais wastaafu washtakiwe kuhusu sakata la mchanga wa madini, wakumbuke wanao mawaziri wakuu wastaafu wawili ambao watahusika pia.

Ndugai amesema hayo leo (Jumanne) bungeni baada ya mchango wa Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali kusema haiwezekani mawaziri na watendaji wengine wa Serikali wakafanikisha mikataba mibovu ya madini bila ridhaa ya Rais.

"Haiwezekani mzee wangu (Andrew) Chenge na (Nazir) Karamagi walipitisha mikataba hiyo bila Rais aliyekuwapo kufahamu. Kinga ya Rais kushtakiwa iondolewe ili wahojiwe," amesema Lijualikali.

Baada ya hoja hiyo ya Lijualikali inayofanana na ya Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche, Ndugai aliwakumbusha juu ya mawaziri wastaafu walionao kwenye chama chao.

"Mabadiliko mnayoyataka yakipitishwa na viongozi mlionao wakikamatwa msije mkalalamika tena," amesemaNdugai.

Chanzo: Mwananchi
 
Back
Top Bottom