Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

Na kosa ambalo ccm inajutia ni kubaki na mkapa,kikwete pamoja na waziri wa zamani pombe magufuli,na wabunge wote wanaopitisha hati za dharura harakahara hususan Ndugai.
 
Wote tu waliohusika washtakiwe kama ni wa MACCM au waliohamia Chadema. Kama walihusika kwa namna moja au nyingine basi hakuna jinsi.
Hawa wapuuzi wanafikiri ati kwa kuwa wamehamia CHADEMA basi watatetewa! La hasha! Kama principled political party, naamini CHADEMA haina shida na kina Lowassa na Sumaye kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria kama haja ikitokea! Haya maCCM yanataka kujificha kwenye kivuli cha kina Lowassa na Sumaye!
 
Na kosa ambalo ccm inajutia ni kubaki na mkapa,kikwete pamoja na waziri wa zamani pombe magufuli,na wabunge wote wanaopitisha hati za dharura harakahara hususan Ndugai.

Mkuu huko kwenye upande wa ccm huko siko wala sijawahi kuwepo. Naiongelea cdm kwani ndio niliyoipigania na kuijua. Hiyo ilikuwa na kupata ushawishi na nguvu bila kuwepo Lowassa au Sumaye. Leo inatia simanzi kuona haiba na nguvu ya chama kupotea kutokana uwepo wa hao jamaa ambao hawajawahi kuwa na mchango wowote.
 
Kama nao walihusika acha sheria ifuate mkondo wake. Haijalishi kama wako CDM au CCM. Naona Ndugai anataka kufunika kombe ili mwanaharamu apite. Hapa naona anataka kulinda watu fulani. Kila mtu abebe msalaba wake.
 
Hao ndio viongozi wa taifa ambao ukiwasemea maovu yao Maxence Melo na timu yake wanakutembezea ban. Matakataka kama hayo yapo mengi sana kama limakonda, limwiguru, lisilinde na mavimavi yote yaliyoko huko mbele kwa mbele.
 
Kinachowauma chadema ni kwamba kila mti wanaogusa, ukiangushwa unaangukia hadi nyumba yao!
Bado uwezo wako wa kufikiri kama taifa moja ni mdg....

Kwahiyo kwakuwa Sumaye yuko Chadema asishitakiwe hata kama hana makosa.....?

Hoja ya Ndugai inalenga kuwafunika maraisi wastaafu,kwasababu leo ukimpeleka Sumaye au Lowassa mahakamani Mkapa au Kikwete wataumbuka Ndugai anapotishia kwamba walioko upande wenu watakuwepo,ie mawaziri wakuu wastaafu,ni kwamba anajua dhahiri shahiri Mkapa/Kikwete na CCM kwa ujumla wake lazima waumbuke,cjui umenipata bwana mdg......?
 
Washitakiwe tu wote hakuna kujali cha nani wala nani na yupo wapi,ilimradi alishiriki ashtakiwe tu ..... lkn ss cha kujiuliza sijui tutabak na nani maana na alielianzisha sakata inabid na yy ashtakiwe coz alipitisha hiyo miswada akiwa mbunge na kushiriki kama waziri ... collective responsibility inamuhusu na yy kinga iondolewe awekwe kolokoloni
 
Ni dhahiri spika huyu hafai kuendelea na kazi hiyo. Anatakiwa ajiuzulu. Waliotufikisha hapa wote wahijiwe na kama kuna ushahidi wa maovu yao (kutenda au kutokutenda) sheria ichukue mkondo wake. Simuelewi kabisa Ndugai, amepwaya.
 
Ameongea vizuri.
Jibu lake ni kwamba hakuna atakayelalamika.
Kamata wote waliousika kwenye mikataba mibovu ili iwe fundisho kwa wengine.
 

Tujiulize swali moja tu, hivi kama sio Magufuli kuwa rais, CCM wangefanya anachofanya Magufuli?? Niongezee undani wa swali, je baada ya Magufuli CCM wataendeleza legacy ya Magufuli?, au tuongezee zaidi, je ni kweli kwamba CCM inamuunga mkono Magufuli kutoka mioyoni? je walimuunga mkono alipokua waziri?

Hili ni swali moja tu japo lina vipengele, na ukijibu swali hilo hapo juu kwa IQ ya kutosha na bila Idiocracy utagundua tu kuwa hii ni nchi ya mazuzu....Idiocratic!!!! na Ndugai ni zuzu namba moja.
 
Tuna lisipika la hovyo hovyo sijui ni kutokana na ugonjwa wake alionao?maana anatumia vidonge tazama mashavu yake yalivyovimba ila ugonjwa ule haujifichi hahahaha
Jana alivyosema kuna mikataba ya hovyo nikashangaa.. Uwezo wa kuitisha hiyo mikataba kwa mamlaka yake ya Uspika anao.
 
Wameanza kutisha watu sio, wao si wakamate kama kweli wanaowaona ni wezi hasa ikizingatiwa kuwa mahakama ya mafisadi imeshafunguliwa.
 
Mwenyekiti mao anakazi kubwa sana,alafu kwa mawazo na mtizamo huo wa spika unategemea hiyo mikataba inayopelekwa bungeni itafanyiwa kazi kweli, maana anaonyesha wazi kwamba,kitakachofanyika ni kuakikisha waliohusika na kutetewa maadamu ni wana ccm
 
Kwanini tuanze kuangalia nani na nani wanapaswa kushtakiwa au watapata athari badala ya kila mtu kubeba mzigo wake?
kama tumramua kuonfoa uozo kwanini tubague.
 
Cha msingi na rahisi ni kwa kuwa sheria iliyopo hairuhusu marais wastaafu kuguswa,ilitakiwa mawaziri wakuu wastaafu wa wakati huo nao wafuatiliwe kwa karibu,manake haiwezekani Waziri ashughulike na jambo nyeti na kubwa bila uelewa wa waziri mkuu,tena waziri mkuu ana nafasi nzuri zaidi ya kurekebisha fyongo za waziri wake kuliko hata Rais....(waziri mkuu yuko bungeni ambamo miswada hupita sambamba na mawaziri wake)
 
Eti mtoto katishwa kuchapwa viboko kisa kalamba sukari basi anaropoka eti nitawataja na wenzangu niliolamba pamoja nao ile sukari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…