The Mtetezi
Member
- Feb 28, 2018
- 61
- 25
Kwani mahakama ya mafisadi si ipo??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Abdul Nondo ameitwa Uhamiaji hata huyu anaweza kuwa Mhutu tu.Mkuu hapo umekosea. Heshima si utumwa. Ni vizuri tuiheshimu taasisi ya URAISI hata kama hukubalini naye.
Ni MTANZANIA mwenzetu na wala si hivyo usemavyo.
Tujadili hoja badala ya matusi na kubezana. Ama vipi mkuu?
Mkuu nakuuliza Je ni ZIPI TABIA/Characteristics ZA WAHUTU kama unavyodai?Kama Abdul Nondo ameitwa Uhamiaji hata huyu anaweza kuwa Mhutu tu.
Heshima unayoisema inatakiwa Ku cut across kwa kila mtu..
Natumaini haujibu sarcastically .Ni kweli kabisa, unakuta askofu ana 8 bil kwenye ndoo chumbani hii ni hatari!
Mkuu. Si kwamba Magufuli ni MBAYA sana. Yaani hana kitu kizuri hata kidogo. Kweli jamani?Ulianza vyema but ulivyoanza kusifiaaa umepotezaaa radha
Anastahili pongezi sana hasa kwa kuua na kuteka watu..kutoa kipau mbele cha kujenga uwanja wa ndege wa chato na kununua ndege ambazo zinatoa faida kubwa sana kwa uchumi wa nchi!Magufuli anastahili pongezi mno hasa kutoka kwa wananchi wa kawaida
Nimekuelewa mkuu.Correct!, hawa jamaa ni ngumu kuwajua, ni popo au ndege? ,nisamehe Kutumia lugha hiyo.
Attachment yako haionekani. Hebu tuma tena mkuu.Vipi tukianza na hawa tena na shahidi mnaye
Kwenye mazuri tupongeze. Safi sana.Hongera JPM
Mkuu kama huoni kuwa ndege ni PRIDE/KIBURI na USO wa nchi basi hamna atakayekusaidia.Anastahili pongezi sana hasa kwa kuua na kuteka watu..kutoa kipau mbele cha kujenga uwanja wa ndege wa chato na kununua ndege ambazo zinatoa faida kubwa sana kwa uchumi wa nchi!
Huo ndio uzuzu wetu, tunaingia kwenye siasa kwa nia ya kuficha na kufanya ufisadi. Huyo uliyemjibu ni kielelezo tosha.Nani kakwambia hatuna shida?!
Hahahaa!!!Natumaini haujibu sarcastically .
Kwa wananchi wa kawaida ukiwambia Magufuli ni MBAYA watakuona wewe hauko sawa sawa. Maana KOROSHO zimepata SOKO na kwa bei nzuri. Nk nk.Magufuli anastahili pongezi mno hasa kutoka kwa wananchi wa kawaida
Sijui hata kama umeuelewa huu Uzi unazungumzia kitu gani!Hata viongozi wa upinzani waliopiga bilioni za mafisadi wanafaa kushtakiwa