Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

Mkuu hapo umekosea. Heshima si utumwa. Ni vizuri tuiheshimu taasisi ya URAISI hata kama hukubalini naye.
Ni MTANZANIA mwenzetu na wala si hivyo usemavyo.
Tujadili hoja badala ya matusi na kubezana. Ama vipi mkuu?
Kama Abdul Nondo ameitwa Uhamiaji hata huyu anaweza kuwa Mhutu tu.
Heshima unayoisema inatakiwa Ku cut across kwa kila mtu..
 
Tanzania ni kama Afrika Kusini. Rais hawezi kushtakiwa kwa makosa aliyoyafanya akiwa madarakani. Rais Zuma ameshtakiwa kwa makosa ya kabla hajawa rais. Katiba yao hairuhusu kumshtaki kwa makosa aliyoyafanya akiwa rais. Tanzania haki kadhalika. Rais anaweza kushtakiwa kwa makosa yoyote aliyofanya kabla hajawa rais au baada.

Kwa Brazil na South Korea ni kinyume. Tuheshimu katiba zao nasi tuheshimu yetu. Subirini siku Lowassa akiwa rais (Joke), ndio mbadilishe katiba ili tumfunge kisawasawa maana lazima ATAIBA TU! Hawa wengine, WAACHENI WAPUMZIKE!
 
Kama Abdul Nondo ameitwa Uhamiaji hata huyu anaweza kuwa Mhutu tu.
Heshima unayoisema inatakiwa Ku cut across kwa kila mtu..
Mkuu nakuuliza Je ni ZIPI TABIA/Characteristics ZA WAHUTU kama unavyodai?
 
Ulianza vyema but ulivyoanza kusifiaaa umepotezaaa radha
Mkuu. Si kwamba Magufuli ni MBAYA sana. Yaani hana kitu kizuri hata kidogo. Kweli jamani?
Ungependa nianze nanimalizie kuwa Magufuli ni mbaya wa wabaya ili NIFURAHISHE KIKUNDI FULANI?
Mimi hutoa mawazo yangu jinsi ninavyoona. Mtu anipende ama asinipende . Point driven.
 
Magufuli anastahili pongezi mno hasa kutoka kwa wananchi wa kawaida
Anastahili pongezi sana hasa kwa kuua na kuteka watu..kutoa kipau mbele cha kujenga uwanja wa ndege wa chato na kununua ndege ambazo zinatoa faida kubwa sana kwa uchumi wa nchi!
 
Shige2, Tanzania hatuwezi kufikia huko kwa demokrasia na umadisikini huu tulio nao. Kwetu mtu anaiibia nchi analindwa na vyombo vya dola na kusifiwa na masikini.

Hizo nchi zote ulizozitaja ziko kwenye uchumi wa kati na zina demokrasia iliyostawi, sisi huku demokrasia yetu inarudi nyuma kwa kisingozio cha maendeleo, uwazi unapigwa vita na maamuzi muhimu yanafanywa gizani na watu wachache ambao hatuna hakika na usafi wao.

Vv
 
Anastahili pongezi sana hasa kwa kuua na kuteka watu..kutoa kipau mbele cha kujenga uwanja wa ndege wa chato na kununua ndege ambazo zinatoa faida kubwa sana kwa uchumi wa nchi!
Mkuu kama huoni kuwa ndege ni PRIDE/KIBURI na USO wa nchi basi hamna atakayekusaidia.
Kwani Chato ni UGANDA ama ni Tanzania?
 
Magufuli anastahili pongezi mno hasa kutoka kwa wananchi wa kawaida
Kwa wananchi wa kawaida ukiwambia Magufuli ni MBAYA watakuona wewe hauko sawa sawa. Maana KOROSHO zimepata SOKO na kwa bei nzuri. Nk nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…