Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

Zuma alishitakiwa akiwa rais kwa kutumia fedha za umma kukarabati jumba lake na mahakama ikatoa hukumu kuwa alipe. Hii ya jana wamefukua makaburi, hata huku kwetu wangefanya hivyo ingekuwa somo zuri kwa future presidents.

Vv
 
Naona hujanipata bado. KOSA la RUSHWA la SILAHA MOJA ya MENGI ikiwa ni PAMOJA na alipokuwa MADARAKANI,
1.Alitumia mamillioni ya dola za Kimarekani ili KUJENGEA WAKE ZAKE 5 JUMBA huko kijijini.
Hiyo case pia INAMKABILI na nyingine nyingi
.
Jaribu kujifahamisha kidogohalafu rudi tuendelee na mjadala.
 
Naona SI MUDA MREFU hayo YATABADILIKA ili kila mtu awajibishwe.
Nchi hii si ya watu WACHACHE ni yetu sote.
Mabadiliko hata KISHERIA yanakuja kwa kasi.
 
Naona SI MUDA MREFU hayo YATABADILIKA ili kila mtu awajibishwe.
Nchi hii si ya watu WACHACHE ni yetu sote.
Mabadiliko hata KISHERIA yanakuja kwa kasi.
Mmh, mimi siamini kama tutafanikiwa ikiwa hatutaki uwazi na kufinya demokrasia. Tutaishia kuaminishwa na viongozi nasi kuitikia ndio maana watawala hawako tayari kusikia hoja kinzani. Itakuwa hivi; vyombo vyote vitacheza wimbo wa watawala nasi tutakuwa tunaitikia NDIYO MZEE na wale wasioweza kusema ndio watakuwa wanatoroka na kuishia kuwa wahamiaji haramu kama wafanyavyo wenzetu wa Ethiopia na Eritrea.

Vv
 
Mkuu nakuuliza Je ni ZIPI TABIA/Characteristics ZA WAHUTU kama unavyodai?
Wahutu mkuu chige2 ni watu ambao wanaamini ktk wao tu na hata siku moja usijaribu kuwakosoa.
They don't bring their people together to lead the nation rather control the country with ethnic or a small group..

Ni tabia hatari sana kutotambua kwamba taifa lazima linakuwa na mchanganyiko wa watu na tabia.
Aina yao ya uongozi huishia kuigawa nchi mapande mapande.
Hata uhesabu mazuri yao lazima yote utakuta ni "material things".
Naomba niishie hapo ..
 
Tanzania hatuna shida sana na Viongozi wetu wastafu kama hizo nchi. Naomba wimbi la kushitaki viongozi waliobariki/walioua raia wasio na hatia kule Iraq, Cossovo, Libya, Palestine, Nagasaki, Syria, Yemen, Soweto, Vietinam n.k wapelekwe The Hague
Aisee!!!
 
Siku Watanzania tukiamka lazima tuwafikishe Kitambi na Kikwete na huyu Sizonje.
Tusiwe personal humu na kutaja majina ya watu. Tujadili tu kwa ujumla. Kuna Mawaziri wa zamani labda na WASASA sijui ambao ni MABILIONEA.
WALIZIPATA WAPI hizo HELA?
 
Pia watu wajifunze kujiajiri
 
ukweli ni kwamba, kila apandacho mtu ndicho atakachovuna. kuna wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna, yawapasa kila mhusika kuanzia viongozi wa dini na serikali wawe makini wakijua they are not imune kushitakiwa either ICC au kwa zile nchi zingine hata mahakama za ndani. (ukiondoa tz).
 
Vipi tukianza na hawa tena na shahidi mnaye
Mkuu unaniuliza mimi?
Mimi ni mleta Mada na si Prosecutor.Na walasinyooshi kidole mtu kwa kumtaja jina lake
Mada yangu hailengi mtu yeyote in particular.
 
akili ndogo hiii. hapa tunaongelea rais kushtakiwa sio maana anakinga ya rais hao ulio wataja wewe hata leo waweza kwenda kuwashtaki hawana kinga popote kana una ushahidi nenda acha uzwazwa.
Mtu akiwa na ushahidi apeleke badala ya kupayuka na kutaja majina ya watu.Nakubaliana nawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…