Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

Ufisadi hauna chama,kabila,rangi,cheo.Hata huko upinzani kuna mafisadi,wakwepa kodi,wauza mihadarati,matapeli,majizi n.k.Unapompa kimada wako nafasi ya ubunge kisa ni kimada wako au kimada wa rafiki yake tayari huo ni ufisadi,unapodai nyumba ya shirika la umma ni yako wakati unajua sio yako tayari ni ufisadi,unapokuwa na mimali isiyoelezeka wakati hujawahi kuwa mfanyabiasha hata siku moja huo ni ufisadi
Ndo hivyo kabisa mkuu.
UFISADI una sura za aina nyingi. Na lazima tuzitambue na tuziweke wazi.
 
Kwa katiba yetu haiwezekani labda wakati ukifika wa kuweka hilo unalotabiri. Kweli ndege tumeziona Je, vipi kipato cha mtu wa chini kokoje nacho
Unajua nini mkuu. Once UFISADI ukidhibitiwa. MALI inarudi kwa taifa na wananchi wanaanza kupata kipato na MISHAHARA MIZURI.
Kila hela inayoibiwa. Inamwibia mgonjwa hospitalini maana atakosa dawa. Huo ndo ukweli wa mambo.
 
View attachment 737179
Rais wa zamani wa A/Kusini Jacob Zuma akiwa kizimbani.
View attachment 737185
Rais wa zamani wa Brazil Lila De Silva akiwa kizimbani.
View attachment 737187
Rais wa zamani wa Korea Kusini, Park alipokuwa akipelekwa Mahakamani.

Kumekuwa na wimbi jipya sana linaloendelea duniani la kushitakiwa viongozi wa nchi na WASHIRIKA wao pinde anapoachia madaraka hasa kutokana na UFISADI.

1.Tumeona rais wa zamani wa Afrika Kusini akiwa kizimbani kwa makosa ya UFISADI baadhi ya mashataka ni MANUNUZI ya SILAHA miaka ya 90. !!!!
Huku mshirika wake MKUU GUPTA ambaye ndiye aliyekuwa akimsaidia Zuma yuko matatani.
anatafutwa.

2.Rais Lule de Silva wa Brazil KUFUNGWA miaka 12 gerezani baada ya kuwa rais kwa miongo miwili katika utawala wake kwa kosa la UFISADI na kutumia madaraka yake KUJITAJIRISHA na kupokea RUSHWA!.

3.Rais wa zamani na wa kwanza mwanamke wa KOREA KUSINI Ms Park kahukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 24 gerezani, na kuilipa serikali Dollar za Kimarekani millioni 24.
MSAIDIZI wake aliyekuwa AKITENGENEZA DILI zake miaka nafikiri 10

Wakati vuguvuvugu la vyama vingi lilipoanza lilianza hivi hivi tu baadaye likapokelewa na Afrika na Tanzania kwa ujumla. "You cannot resist an idea whose time has come"./Huwezi kuzuia NIA/WAZO ambalo wakati wake umefika!

TUPENDE , TUSIPENDE siku moja litatokea Tanzania. Hamna huruma kwa watu walio ila Tanzania na kuwafanya Watanzania wengine kama second class Citizens and destitute/Maskini wa kutupwana watu wa daraja la pili

Wakati wengine WANAKULA na KUSAZA na KUENDESHA MAGARI yanyaozidi mishahara yao.Majumba mabayo hawawezi kuelezea WALIYAPATA namana gani.

Nasema hivi kwa sababu. Kwa nini Rais Magufuli kwa Muda mfupi wa kipindi cha MIAKA 2 NA NUSU tu ameweza KUFANYA mambo MAKUBWA sana. Kwani VIONGOZI waliomtangulia HAWAKUYAONA?????

Let's call a Spade a Spade/Acha tuite kama ni Koleo ni Koleo na si KIJIKO.
UKWELI ni lazima USEMWE.
Within miaka miwili na nusu. Ndege ndo hizo na zingine zinakuja. Elimu bure, KUDHIBITI Madini yetu. SGR sijui nini Mambo meengi sana mzee kafanya.
Tumpongeze.



Hata haya ya jana aliyoyafanya ya kujenga na kufungua UKUTA MERARANI liliokuwa ni NDOTO kwa wengine. alifanya hivyo ili KUNUFAISHA Watanzania WASIENDELEE KUIBIWA raslmali zao. Kweli MAGUFULI ANASTAHILI PONGEZI sana sana.

Pamoja na mapungufu yake ambayo tunajaribu kumshauri kila wakati kupitia mitandao ya jamii. Maana naye ni binadamu SI Malaika.
Lakini ukweli AISEE Mzee AMEFANYA KAZI zinazoonekana

Kama tukiweka kwenya MIZANI nafikiri UZITO wa MAZURI ota ushinda MAPUNGUFU yake.

Hata katika maoni yangu si kwamba kila kitu huwa ninakubaliana naye, kuna wakati nakosoa na kutoa ushauri. Ili mtu asiseme bla bla sijui nini!

Maana hata KATIKA FAMILIA yeyoteile mtu na NDUGU yake si LAZIMA wakubaliane kimawazo wakati mwingine hutofautiana sana.

Hata hivyo hubaki kuwa wao ni ndugu mwishowe HUELEWANA na maisha yanaendelea.
Na hiyo ndo tabia ya kibinadamu.


POINTI yangu kuu ni kuwa naamni SIKU MOJA WATU fulani watakuja kujibu KWA NINI WALIIFIRISISHA Tanzania kupitia UFISADI.

Niaamini. itafika mahali CHAMA cha CCM na WABUNGE wa vyama vingine kwa PAMOJA wataungana ili kukiondoa KIFUNGU cha IMMUNITY ya kutokushtakiwa kwa {sic}


Hata kama si huyu Rais Magufuli SASA basi rais atakayekuja siku zijazo huenda akawa na MAONO na UCHUNGU kama wa Magufuli wa NCHI na WANANCHI wake ATAKUWA na UJASIRI na kuwapeleka MAHAKAMANI viongozi MAFISADI bila huruma.
Tena kwa staili hii ya sasa ya kukomoana na kulipizana visasi,kabisa na mimi naona ndiko tunakoelekea siku za usoni.
 
ukweli ni kwamba, kila apandacho mtu ndicho atakachovuna. kuna wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna, yawapasa kila mhusika kuanzia viongozi wa dini na serikali wawe makini wakijua they are not imune kushitakiwa either ICC au kwa zile nchi zingine hata mahakama za ndani. (ukiondoa tz).
Kupanda na kuvuna ni Principle isiyobadilika.
 
Mkuu hapo umekosea. Heshima si utumwa. Ni vizuri tuiheshimu taasisi ya URAISI hata kama hukubalini naye.
Ni MTANZANIA mwenzetu na wala si hivyo usemavyo.
Tujadili hoja badala ya matusi na kubezana. Ama vipi mkuu?
Mkuu jakuna asiyekubaliana na serikali hii,hata mimi nakubaliana nayo,tatizo ni pale panapotokea uonevu kwa mtu ywyote eti tu kwasababu amekosoa au amekuwa kinyume na nao,hapo tu ndipo penye shida.
 
Mkuu jakuna asiyekubaliana na serikali hii,hata mimi nakubaliana nayo,tatizo ni pale panapotokea uonevu kwa mtu ywyote eti tu kwasababu amekosoa au amekuwa kinyume na nao,hapo tu ndipo penye shida.
Nakubaliana nawe. Serikali haihitajiki kuwa allergic to criticisms/Yaani ikisemwa tu na kukosolewa kidogo basi yaja juu.
Hayo ni makosa sana.
Serikali inahitaji kuwa SIKIVU na Si KANDAMiZI.
Maana kwa kusikiliza ITAJIFUNZA mengi na KUREKEBISHA mengi. Huo ndo ukweli wa mambo.
 
Heshima Mkuu ni two way traffic. Kama aliyemo ndani ya Taasisi husika haheshimu taasisi husika usitegemee na yeye avune heshima. Mbona Baba wa Taifa Watanzania wengi bado wanamuheshimu na kumuenzi kwa miaka mingi sasa!?

Mkuu hapo umekosea. Heshima si utumwa. Ni vizuri tuiheshimu taasisi ya URAISI hata kama hukubalini naye.
Ni MTANZANIA mwenzetu na wala si hivyo usemavyo.
Tujadili hoja badala ya matusi na kubezana. Ama vipi mkuu?
 
Hii si mambo yanayohusiana na CHUKI. Mbona mkuu hili la MAFISADI kushitakiwa mbona linakuumiza sana?
Are you a beneficiary ?
On the contrary no. But I want to straighten the record. Another question?
 
Know yourself mine is question
Mkuu unaniuliza mimi?
Mimi ni mleta Mada na si Prosecutor.Na walasinyooshi kidole mtu kwa kumtaja jina lake
Mada yangu hailengi mtu yeyote in particular.[/QUOTE
 
Mkuu unaniuliza mimi?
Mimi ni mleta Mada na si Prosecutor.Na walasinyooshi kidole mtu kwa kumtaja jina lake
Mada yangu hailengi mtu yeyote in particular.
Also mine is quiz. I didn't mention you. But If ready you can answer it
 
Labda utawala wa chama dola uondolewe, other wise hakuna kitu kama hicho
Yawezekana lakini si kwa viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani waliopo kwa sasa. Kama wameshindwa kusimamia matumizi ya ruzuku za vyama vyao, watakuwa na ujasiri wa kuchukua hatua kwa hao watuhumiwa!!
 
Mkuu hapo umekosea. Heshima si utumwa. Ni vizuri tuiheshimu taasisi ya URAISI hata kama hukubalini naye.
Ni MTANZANIA mwenzetu na wala si hivyo usemavyo.
Tujadili hoja badala ya matusi na kubezana. Ama vipi mkuu?
Ninyi kuwaona wote wanaowapinga kuwa si raia una ni sawa?
Kwenye JMT raia wote tunatakiwa tiwena hadhi sawa bila ya kuwa na madaraja.
 
Back
Top Bottom