Ndo hivyo kabisa mkuu.Ufisadi hauna chama,kabila,rangi,cheo.Hata huko upinzani kuna mafisadi,wakwepa kodi,wauza mihadarati,matapeli,majizi n.k.Unapompa kimada wako nafasi ya ubunge kisa ni kimada wako au kimada wa rafiki yake tayari huo ni ufisadi,unapodai nyumba ya shirika la umma ni yako wakati unajua sio yako tayari ni ufisadi,unapokuwa na mimali isiyoelezeka wakati hujawahi kuwa mfanyabiasha hata siku moja huo ni ufisadi
Hata mimi huuliza swali hilo hilo. Ni nani hasa?Sizonje ni nani?
Unajua nini mkuu. Once UFISADI ukidhibitiwa. MALI inarudi kwa taifa na wananchi wanaanza kupata kipato na MISHAHARA MIZURI.Kwa katiba yetu haiwezekani labda wakati ukifika wa kuweka hilo unalotabiri. Kweli ndege tumeziona Je, vipi kipato cha mtu wa chini kokoje nacho
Fisadi ni Fisadi. Ufgisadi hauna chamaNa wenyeviti wa vyama wanaokula ruzuku
Tena kwa staili hii ya sasa ya kukomoana na kulipizana visasi,kabisa na mimi naona ndiko tunakoelekea siku za usoni.View attachment 737179
Rais wa zamani wa A/Kusini Jacob Zuma akiwa kizimbani.
View attachment 737185
Rais wa zamani wa Brazil Lila De Silva akiwa kizimbani.
View attachment 737187
Rais wa zamani wa Korea Kusini, Park alipokuwa akipelekwa Mahakamani.
Kumekuwa na wimbi jipya sana linaloendelea duniani la kushitakiwa viongozi wa nchi na WASHIRIKA wao pinde anapoachia madaraka hasa kutokana na UFISADI.
1.Tumeona rais wa zamani wa Afrika Kusini akiwa kizimbani kwa makosa ya UFISADI baadhi ya mashataka ni MANUNUZI ya SILAHA miaka ya 90. !!!!
Huku mshirika wake MKUU GUPTA ambaye ndiye aliyekuwa akimsaidia Zuma yuko matatani.
anatafutwa.
2.Rais Lule de Silva wa Brazil KUFUNGWA miaka 12 gerezani baada ya kuwa rais kwa miongo miwili katika utawala wake kwa kosa la UFISADI na kutumia madaraka yake KUJITAJIRISHA na kupokea RUSHWA!.
3.Rais wa zamani na wa kwanza mwanamke wa KOREA KUSINI Ms Park kahukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 24 gerezani, na kuilipa serikali Dollar za Kimarekani millioni 24.
MSAIDIZI wake aliyekuwa AKITENGENEZA DILI zake miaka nafikiri 10
Wakati vuguvuvugu la vyama vingi lilipoanza lilianza hivi hivi tu baadaye likapokelewa na Afrika na Tanzania kwa ujumla. "You cannot resist an idea whose time has come"./Huwezi kuzuia NIA/WAZO ambalo wakati wake umefika!
TUPENDE , TUSIPENDE siku moja litatokea Tanzania. Hamna huruma kwa watu walio ila Tanzania na kuwafanya Watanzania wengine kama second class Citizens and destitute/Maskini wa kutupwana watu wa daraja la pili
Wakati wengine WANAKULA na KUSAZA na KUENDESHA MAGARI yanyaozidi mishahara yao.Majumba mabayo hawawezi kuelezea WALIYAPATA namana gani.
Nasema hivi kwa sababu. Kwa nini Rais Magufuli kwa Muda mfupi wa kipindi cha MIAKA 2 NA NUSU tu ameweza KUFANYA mambo MAKUBWA sana. Kwani VIONGOZI waliomtangulia HAWAKUYAONA?????
Let's call a Spade a Spade/Acha tuite kama ni Koleo ni Koleo na si KIJIKO.
UKWELI ni lazima USEMWE.
Within miaka miwili na nusu. Ndege ndo hizo na zingine zinakuja. Elimu bure, KUDHIBITI Madini yetu. SGR sijui nini Mambo meengi sana mzee kafanya.
Tumpongeze.
Hata haya ya jana aliyoyafanya ya kujenga na kufungua UKUTA MERARANI liliokuwa ni NDOTO kwa wengine. alifanya hivyo ili KUNUFAISHA Watanzania WASIENDELEE KUIBIWA raslmali zao. Kweli MAGUFULI ANASTAHILI PONGEZI sana sana.
Pamoja na mapungufu yake ambayo tunajaribu kumshauri kila wakati kupitia mitandao ya jamii. Maana naye ni binadamu SI Malaika.
Lakini ukweli AISEE Mzee AMEFANYA KAZI zinazoonekana
Kama tukiweka kwenya MIZANI nafikiri UZITO wa MAZURI ota ushinda MAPUNGUFU yake.
Hata katika maoni yangu si kwamba kila kitu huwa ninakubaliana naye, kuna wakati nakosoa na kutoa ushauri. Ili mtu asiseme bla bla sijui nini!
Maana hata KATIKA FAMILIA yeyoteile mtu na NDUGU yake si LAZIMA wakubaliane kimawazo wakati mwingine hutofautiana sana.
Hata hivyo hubaki kuwa wao ni ndugu mwishowe HUELEWANA na maisha yanaendelea.
Na hiyo ndo tabia ya kibinadamu.
POINTI yangu kuu ni kuwa naamni SIKU MOJA WATU fulani watakuja kujibu KWA NINI WALIIFIRISISHA Tanzania kupitia UFISADI.
Niaamini. itafika mahali CHAMA cha CCM na WABUNGE wa vyama vingine kwa PAMOJA wataungana ili kukiondoa KIFUNGU cha IMMUNITY ya kutokushtakiwa kwa {sic}
Hata kama si huyu Rais Magufuli SASA basi rais atakayekuja siku zijazo huenda akawa na MAONO na UCHUNGU kama wa Magufuli wa NCHI na WANANCHI wake ATAKUWA na UJASIRI na kuwapeleka MAHAKAMANI viongozi MAFISADI bila huruma.
Kupanda na kuvuna ni Principle isiyobadilika.ukweli ni kwamba, kila apandacho mtu ndicho atakachovuna. kuna wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna, yawapasa kila mhusika kuanzia viongozi wa dini na serikali wawe makini wakijua they are not imune kushitakiwa either ICC au kwa zile nchi zingine hata mahakama za ndani. (ukiondoa tz).
Wimbi na kimbunga ambacho hatijawahi kukiona tena.Tena kwa staili hii ya sasa ya kukomoana na kulipizana visasi,kabisa na mimi naona ndiko tunakoelekea siku za usoni.
Mkuu jakuna asiyekubaliana na serikali hii,hata mimi nakubaliana nayo,tatizo ni pale panapotokea uonevu kwa mtu ywyote eti tu kwasababu amekosoa au amekuwa kinyume na nao,hapo tu ndipo penye shida.Mkuu hapo umekosea. Heshima si utumwa. Ni vizuri tuiheshimu taasisi ya URAISI hata kama hukubalini naye.
Ni MTANZANIA mwenzetu na wala si hivyo usemavyo.
Tujadili hoja badala ya matusi na kubezana. Ama vipi mkuu?
Nakubaliana nawe. Serikali haihitajiki kuwa allergic to criticisms/Yaani ikisemwa tu na kukosolewa kidogo basi yaja juu.Mkuu jakuna asiyekubaliana na serikali hii,hata mimi nakubaliana nayo,tatizo ni pale panapotokea uonevu kwa mtu ywyote eti tu kwasababu amekosoa au amekuwa kinyume na nao,hapo tu ndipo penye shida.
Nikuuliza ni mbaya kwa vipi mkuu?Hii taarifa ni mbaya sana kwa CCM
Ni kwei ila usisahau hiyo miradi ya bwana mkubwa inaweza pia kutumika kutimiza maono yako pale itakapochunguzwa.
Mkuu hapo umekosea. Heshima si utumwa. Ni vizuri tuiheshimu taasisi ya URAISI hata kama hukubalini naye.
Ni MTANZANIA mwenzetu na wala si hivyo usemavyo.
Tujadili hoja badala ya matusi na kubezana. Ama vipi mkuu?
Sawa
On the contrary no. But I want to straighten the record. Another question?Hii si mambo yanayohusiana na CHUKI. Mbona mkuu hili la MAFISADI kushitakiwa mbona linakuumiza sana?
Are you a beneficiary ?
Mkuu unaniuliza mimi?
Mimi ni mleta Mada na si Prosecutor.Na walasinyooshi kidole mtu kwa kumtaja jina lake
Mada yangu hailengi mtu yeyote in particular.[/QUOTE
Also mine is quiz. I didn't mention you. But If ready you can answer itMkuu unaniuliza mimi?
Mimi ni mleta Mada na si Prosecutor.Na walasinyooshi kidole mtu kwa kumtaja jina lake
Mada yangu hailengi mtu yeyote in particular.
Yawezekana lakini si kwa viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani waliopo kwa sasa. Kama wameshindwa kusimamia matumizi ya ruzuku za vyama vyao, watakuwa na ujasiri wa kuchukua hatua kwa hao watuhumiwa!!Labda utawala wa chama dola uondolewe, other wise hakuna kitu kama hicho
Ninyi kuwaona wote wanaowapinga kuwa si raia una ni sawa?Mkuu hapo umekosea. Heshima si utumwa. Ni vizuri tuiheshimu taasisi ya URAISI hata kama hukubalini naye.
Ni MTANZANIA mwenzetu na wala si hivyo usemavyo.
Tujadili hoja badala ya matusi na kubezana. Ama vipi mkuu?
Point taken. Nilikuwa nimeshangaa kidogo mkuu.On the contrary no. But I want to straighten the record. Another question?
Then that is fine sir.Know yourself mine is question