Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

Mwingine yupo Bungeni tena ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini

Haya mambo wakati mwingine na shindwa kupigwa butwaa najichekeaga tu.. Tena ndiye atakaye kuwa akiwangoza wabunge kufanyia marekebesho (kwa maana ya muongozaji) ya sheria za usimamizi wa madini na gasi.

Juzi kati hapa jamaa mmoja akawa katika utani utani hivi anatania, eti Mh Rais anaongoza vita kubwa na hatari sana ya makampuni ya kimataifa ya madini lakini hapo dsm vikampuni vinaendelea kupiga dili za mashine za efds za TRA, watu kwa maneno!!.


Na washawasha!
 
Offcource kama ikitokea hii serikali ikawashtaki hata mawaziri wachache tu waliopita, basi ni lazima watawa-include wakina sumaye... tena watafanya hivyo especially sasa wako upinzani... kwa hiyo ndungai asilete usanii kwamba kwa akina sumaye kuwa upinzani inawapa hao maraisi waluopita nginga ya shinikizo la upinzani.
 
Haya mambo wakati mwingine na shindwa kupigwa butwaa najichekee. Tena ndiye atakaye kuwa akiwangiza wabunge kufanyiwa marekebesho (kwa maana ya muongozaji) ya sheria za usimamizi wa madini na gasi.

Juzi kati hapa jamaa mmoja akawa katika utani utani hivi anatania, eti Mh Rais anaongoza vita kubwa na hatari sana ya makampuni ya kimataifa ya madini lakini hapo dsm vikampuni vinaendelea kupiga dili za mashine za efds za TRA, watu kwa maneno!!.


Na washawasha!

Nimeangalia CV ya Kalemani hakutaja kama alifanya kazi Douglas Lake minerals ,I just wonder why?Ina maana kubwa kwamba yawezekana amefanya hivyo with puporse asijulikane kwamba alishiriki,lakini mitandao imeonyesha alikuwa mwajiriwa huko.Na hajakanusha.
 
Move zote hizi tunazoziona ni juhudi binafsi za Mh. Rais. Move hizi zote zilitakiwa zianzie Bungeni na kuelekezwa kwenye utendaji yaani executives ili kuchukuliwa hatua stahiki, ila katika nchi za kiafrica ni opposite yake..
 
Hivi kwAni kuna kinga hata sasa iliyopo juu ya mwaziri wakuuu kutoshitakiwa?,kama hiyo kinga haipo kwanini ikiwa lowasa na sumaye walihusika waachwe?.lowasa na sumaye kua chadema ndo kinga ya kutochukuliwa hatua za kisheriaa?.ndugai hebu jiheshimu mzeee unaongoza muhimili wenye nguvu kubwa.
 
Hivi Lijualikali amesema mawaziri wakuu kama wanahusika wasishtakiwe. Kweli kiwango cha ufahamu cha supika kimeathirika. Hoja nyeupe majibu meusi? Kwa hiyo kinachofanya Marais wastaafu wasishtakiwe ni kutokana na huruma kwa Mawaziri wakuu?
Ni aibu sana kua na supika mwenye kufikiri kwa kiwango hiki
 
Wote tu waliohusika washtakiwe kama ni wa MACCM au waliohamia Chadema. Kama walihusika kwa namna moja au nyingine basi hakuna jinsi.
Hapo sawa...hii issue ni kubwa sana kuliko tunavyodhania
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kabisa Mkuu na hawa CCM wanaweweseka namna ya kuipotezea hii issue na kuanza kutoa kauli ambazo hazina mashiko kabisa.

Hapo sawa...hii issue ni kubwa sana kuliko tunavyodhania
 
Kwani lijuakali alisema ma waziri wakuu wawe exempted? Kama walijihusisha kwa nini wawe exempted? Si tunataka kusafisha nchi? Waende tu
 
Yani kwa vile yeye na ccm wenzake siku zote hapo bungeni ni kuteteana tu kwa kupiga hayo mayowe yao ya ndioooo haijalishi hoja ina maslahi gani kwa taifa lakini kama haina maslahi kwa ccm basi wataipinga tuuuu, basi anafikiri watu wote ndio hivyo hivyo kama wao...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa hiyo kama wote wana makosa ngoma imekuwa draw....kauli ya spika nionavyo mimi inadhohofisha zoezi lote na kulifanya kiini macho.
 
Huo ndio uzalendo unaohubiriwa na CCM! Mnawalinda wauza nchi na waliowaletea umaskini wananchi kwa sababu za ubinafsi wao na leo hawashtakiki eti na mawaziri wakuu wastaafu waliopo upande mwingine hawatapona.

Ndugai, tangu lini au ni sheria ipi inayozuia au inayompa waziri mkuu kinga ya kutokushtakiwa? Lengo lako ni kuendeleza uongo ukiamini wengi wetu hatuzijui sheria siyo?

Au nawe umepatwa na kiwewe kwa kuwa vyombo vya dola vipo njia kuja kwako kuhoji yale masheria ya usiku wa manane?

Mungu wetu bado ni kijana na katusikia kilio chetu na kuuaona mateso na manyanyaso yote na ameanza kuibomoa babeli na bado utaweweseka sana!

Ruhusu bunge liwaondolee kinga wahusika ili washtakiwe.
 
Tukiwaambia CCM haiwezi kufanya lolote kwa maslahi ya taifa hili mnakataa. Huo hapo ushahidi wa magamba kutetea ufisadi kwa kila njia.
 
Hivi huyu mh si ndiye anavaaga joho la rangi ya bendera akiongoza bunge wakati spika na NS hawapo?


Na washawasha!


Nimeangalia CV ya Kalemani hakutaja kama alifanya kazi Douglas Lake minerals ,I just wonder why?Ina maana kubwa kwamba yawezekana amefanya hivyo with puporse asijulikane kwamba alishiriki,lakini mitandao imeonyesha alikuwa mwajiriwa huko.Na hajakanusha.
 
Ndugai aache mikwara hao mawaziri wakuu wastaafu kwani ni final saying kwenye baraza LA mawaziri,kinga iondolewe uone kama hao mawaziri wakuu wastaafu watashitakiwa kwasababu walitekeleza maelekezo ya raisi kwa mujibu wa katiba waziri mkuu wala makamu wa raisi haruhusiwi kuipinga.
 
Ndugai aache mikwara hao mawaziri wakuu wastaafu kwani ni final saying kwenye baraza LA mawaziri,kinga iondolewe uone kama hao mawaziri wakuu wastaafu watashitakiwa kwasababu walitekeleza maelekezo ya raisi kwa mujibu wa katiba waziri mkuu wala makamu wa raisi haruhusiwi kuipinga.


Kama ushahidi upo basi washitakiwe nao. Maana isiwe ni sababu ya Mkapa na JK kutoshitakiwa.
 
eti ndiyo CCM mpya hii,

kama mwenyekiti wa CCM ana nia njeama tunataka mabadiliko ya sheria itakayowashuhulikia mawaziri woote na marais woote walioshiriki kwenye huu ujambazi wa rasilimali.
 
Unaona jinsi gani Tanzania tumefikia kuwa na akili ndogo sana (akili ndogo mamlaka makubwa)? Watu tunaongelea kuwawajibisha viongozi kwa makosa makubwa yaliyotangulia, Speaker mzima, anatoa comment zisizo na mshiko kama hi!!! Kwani kama hao Mawaziri waliotangulia wana makosa kwa nini wasishitakiwe wawe CCM au upinzani?

Kwa nini mtu mzima kama Ndugai anadhani kila upnzani wakiongea ni kwa ajili ya kutetea maslahi yao na kukandamiza CCM? How can a person like Ndugai think in such an impotent manner?!? Labda matusi anayotukanwa yanastahili, kama kweli ametoa comment hama hiyo na yeye ni Speaker.

Yaani Ndugai anaona point ya kuwashitaki viongozi waliopita ni point dhidi ya CCM sio taifa? Aliyesema wastaafu waliohamia upinzani wasishitakiwe nani? Kwa nini unaleta uvyama kwenye comment zinazotolewa kwa maslahi ya taifa, na wewe ndio Speaker?


Kwa hili Ndugai amedhihirisha wazi hana uwezo, busara wala akili ya kuwa Speaker.
ccm wote wanaakili za kibshite....nani kasema ccm au chadema? Watz wanataka wote waliohusika na yy akiwemo kupitisha mikataba kwa dharura na kuendelea kuwaletea hasara kubwa watz washitakiwe akiwemo magufuli mwenyewe...
Kwa akili hizi ndogo za ccm wataanza kusema chenge ni mkristo kwa hiyo tukipitisha azimio waislamu wasilalamike... hizi ndo akili zilizogota na kuoza za miccm
 
Back
Top Bottom