Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

Tena ikithibitika kua wana hatia wafilisiwe mali zao
 
Kama MACK ZUCKERBERG na BILL GATES wao Wali DROPOUT pale HAVARD UNIVERSITY..
ANDREW CHENGE yeye alikaza mpaka aka GRADUATE pale ..
Mnategemea WABONGO mtaenda nae sawa.?
 
Ndugai amesema hayo leo (Jumanne) bungeni baada ya mchango wa Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali kusema haiwezekani mawaziri na watendaji wengine wa Serikali wakafanikisha mikataba mibovu ya madini bila ridhaa ya Rais.
----
Spika wa Bunge, Job Ndugai amewakumbusha wabunge wa upinzani wanaotaka marais wastaafu washtakiwe kuhusu sakata la mchanga wa madini, wakumbuke wanao mawaziri wakuu wastaafu wawili ambao watahusika pia.

"Haiwezekani mzee wangu (Andrew) Chenge na (Nazir) Karamagi walipitisha mikataba hiyo bila Rais aliyekuwapo kufahamu. Kinga ya Rais kushtakiwa iondolewe ili wahojiwe," amesema Lijualikali.

Baada ya hoja hiyo ya Lijualikali inayofanana na ya Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche, Ndugai aliwakumbusha juu ya mawaziri wastaafu walionao kwenye chama chao.

"Mabadiliko mnayoyataka yakipitishwa na viongozi mlionao wakikamatwa msije mkalalamika tena," amesemaNdugai.

Chanzo: Mwananchi
Wote wakamatwe kila mmoja abebe msalaba wake
 
Kuanzia leo mjadala wa bajeti utajikita hapo hapo,CCM watatetea na upinzani watataka mabadiliko hawatakwenda mbele
 
Ndugai amesema hayo leo (Jumanne) bungeni baada ya mchango wa Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali kusema haiwezekani mawaziri na watendaji wengine wa Serikali wakafanikisha mikataba mibovu ya madini bila ridhaa ya Rais.
----
Spika wa Bunge, Job Ndugai amewakumbusha wabunge wa upinzani wanaotaka marais wastaafu washtakiwe kuhusu sakata la mchanga wa madini, wakumbuke wanao mawaziri wakuu wastaafu wawili ambao watahusika pia.

Ndugai amesema hayo leo (Jumanne) bungeni baada ya mchango wa Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali kusema haiwezekani mawaziri na watendaji wengine wa Serikali wakafanikisha mikataba mibovu ya madini bila ridhaa ya Rais.

"Haiwezekani mzee wangu (Andrew) Chenge na (Nazir) Karamagi walipitisha mikataba hiyo bila Rais aliyekuwapo kufahamu. Kinga ya Rais kushtakiwa iondolewe ili wahojiwe," amesema Lijualikali.

Baada ya hoja hiyo ya Lijualikali inayofanana na ya Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche, Ndugai aliwakumbusha juu ya mawaziri wastaafu walionao kwenye chama chao.

"Mabadiliko mnayoyataka yakipitishwa na viongozi mlionao wakikamatwa msije mkalalamika tena," amesemaNdugai.

Chanzo: Mwananchi
Kama aliamuru Mnyika adhalilishwe ana uchungu gani na viongozi wengine wa Chadema ?
 
washtakiwe wote hata kama kuna wabunge walioshangilia wanatakiwa kushtakiwa wafanye hvyo.

ashtakiwe kila mtu aliyehusika asiachwe mtu. hadi speaker.
 
Spika wa Bunge, Job Ndugai amewakumbusha wabunge wa upinzani wanaotaka marais wastaafu washtakiwe kuhusu sakata la mchanga wa madini, wakumbuke wanao mawaziri wakuu wastaafu wawili ambao watahusika pia.

Ndugai amesema hayo leo (Jumanne) bungeni baada ya mchango wa Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali kusema haiwezekani mawaziri na watendaji wengine wa Serikali wakafanikisha mikataba mibovu ya madini bila ridhaa ya Rais.

"Haiwezekani mzee wangu (Andrew) Chenge na (Nazir) Karamagi walipitisha mikataba hiyo bila Rais aliyekuwapo kufahamu. Kinga ya Rais kushtakiwa iondolewe ili wahojiwe," amesema Lijualikali.

Baada ya hoja hiyo ya Lijualikali inayofanana na ya Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche, Ndugai aliwakumbusha juu ya mawaziri wastaafu walionao kwenye chama chao.

"Mabadiliko mnayoyataka yakipitishwa na viongozi mlionao wakikamatwa msije mkalalamika tena," amesema Ndugai.
 
Anaweza kushitakiwa kama alilazimishwa kujiuzulu kwa azimio la bunge ,ibara 46 A(10)
 
Ndugai kichwa sio cha kufugia nywele. Uwe unatumia akili unapojibu hoja kama hizi za maslahi ya taifa
 
UKIPELEKWA KUTIBIWA NJE BILA RIDHAA YAKO,HUWEZI BAKI SALAMA KIAKILI,KIMTAZAMO NA KIFKIRA PIA.NAHISI AMEPANDIKIZWA CHIP KICHWANI
 
Viatu vya usipika vishampwelepweta maana ashaanza kuchangia na kuibizana kama kina Lusinde!! Hata kama ni kuwekewa 'limau' na mkuu "not to that extent"
 
Mawaziri wakuu hawana kinga ya kutoshtakiwa, huyu ****** ni tatizo kichwani.
 
Wote poleka mahakamani tuanze upya hawa wazee tusha wa choka sasa watuachie ss vijana wakat Wao umeisha kabisa.... kuanza upya sio ujinga
Kwani Ngeleja ni mzee? Wizi hauna umri, Ngeleja amepewa wizara ya madini akiwa na miaka 36 tu.
 
huyu mzee ni mjinga tu .....nadhani bado ni mgonjwa 100% tuba uhakika kabisa.
Kwani Lowassa au Sumaye ni akina nani??
JPM jiongeze huna spika unajisumbua bure
 
Back
Top Bottom