Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

kwa staili aliyosema spika nina uhakika 100% Living Legend Chenge hamtampata kamwe baaada ya bunge anaenda kunywa wine huku akitabasamu subiri atakavyowatoka mpaka mtashangaa
 
..kwa uelewa wangu Mawaziri Wakuu hawana kinga ya kushtakiwa.

..kwa hiyo nadhani Spika Ndugai ameteleza ktk matamshi yake kuhusu kinga ya Maraisi.
 
huyu spika kweli zimo kichwani?,sheria lazima zichukue mkondo wake regadless upo chama gani,kweli Tanzania kichwa cha mwenda wazimu,badilisha katiba ili wote tuwe chini ya sheria,weka nchi yetu iwe ya kikatiba sio sasa ya hii excutive inayompa madaraka makubwa mno rais wa nchi,lazima tuwe na mahakama ya kikatiba ambapo ukweli wote utajulikana ndani ya mahakama hii ya kikatiba,nauliza hivi ukiona umenyimwa haki yako na polisi utakimbilia wapi kufungua mashitaka?
 
Asitishie watu kama amesikia pendekezo la Wabunge alifanyie kazi, kwani Lowasa na Sumaye wao ni kina nani kama kinga itaondolewa kwa kina Mkapa na Kikwete...wabebwe wote wakajibu mashitaka yao watakao kutwa na hatia washughulikiwe
 
Supika na naibu supika bonge lililopita nao washtakiwe pia kwa kupitisha miswada yahovyo kabisa tenachapuchapu kwa hati ya dharura na kuwakimbiza nje wapinzani ili kupitisha kiulaini
We mtu mbona hueleqeki. Supika ndo nani!!! We ndo wale malofa msiojua kuandika halafu mnadai mpatiwe ajira na serikali!!
 
Lowasa na Sumaye vipi?
Mtu mzima lakini akili umechanganya na mavi yako
fala wewee
lowassa na sumaye ni akina nani kwenye taifa langu??? wafungwe tu mi si ndo navotaka, wana faida gani kama nao wakigundulika kuwa wezi!
unakaa na ushabiki wa kipuuzi, dhiki zitawafanya ipo siku mpakatwe nyie
shwaini wee 7000 itakuponza uvae dera dume zima hooovvyoooooo!!!
 
Washitakiwe tu bila kujali wako wapi. hata bunge lilopita liajibike kwa walioko bungeni mpk sasa.
 
We mtu mbona hueleqeki. Supika ndo nani!!! We ndo wale malofa msiojua kuandika halafu mnadai mpatiwe ajira na serikali!!
wenye akili tunaheshimu cheo na ofisi ndiyo maana tunapindisha kidogo kustahi heshima ya chombo ama cheo!! Mburula Kama wewe huwezi kuelewa maana unajua kunogesha sura na nywele siyo akili...
by the way akili za aina yako ndiyo zimejaa ndomaana mikataba hatuwezi,movie zetu vituko,mipira hatupo yaani hatuwezi kuwaza beyond!!
 
Unajua awa wanacheza ngoma ya Rais..Leo Akisema anataka kuwashtaki Marais waliopita wote wataanza kumsupport tena...ipo siku watza wataelewa na wataamua
 
Ndugai amesema hayo leo (Jumanne) bungeni baada ya mchango wa Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali kusema haiwezekani mawaziri na watendaji wengine wa Serikali wakafanikisha mikataba mibovu ya madini bila ridhaa ya Rais.
----
Spika wa Bunge, Job Ndugai amewakumbusha wabunge wa upinzani wanaotaka marais wastaafu washtakiwe kuhusu sakata la mchanga wa madini, wakumbuke wanao mawaziri wakuu wastaafu wawili ambao watahusika pia.

Ndugai amesema hayo leo (Jumanne) bungeni baada ya mchango wa Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali kusema haiwezekani mawaziri na watendaji wengine wa Serikali wakafanikisha mikataba mibovu ya madini bila ridhaa ya Rais.

"Haiwezekani mzee wangu (Andrew) Chenge na (Nazir) Karamagi walipitisha mikataba hiyo bila Rais aliyekuwapo kufahamu. Kinga ya Rais kushtakiwa iondolewe ili wahojiwe," amesema Lijualikali.

Baada ya hoja hiyo ya Lijualikali inayofanana na ya Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche, Ndugai aliwakumbusha juu ya mawaziri wastaafu walionao kwenye chama chao.

"Mabadiliko mnayoyataka yakipitishwa na viongozi mlionao wakikamatwa msije mkalalamika tena," amesemaNdugai.


Chanzo: Mwananchi
Hatutalalama wakamatwe woteeeeeee,,,mbwai,,,,mbwai inaitwa,,,,,,,
 
Wote tu waliohusika washtakiwe kama ni wa MACCM au waliohamia Chadema. Kama walihusika kwa namna moja au nyingine basi hakuna jinsi.
kidogo leo umekonga moyo kama BAK 2014 ume "BARK" haswa!
 
Bado uwezo wako wa kufikiri kama taifa moja ni mdg....

Kwahiyo kwakuwa Sumaye yuko Chadema asishitakiwe hata kama hana makosa.....?

Hoja ya Ndugai inalenga kuwafunika maraisi wastaafu,kwasababu leo ukimpeleka Sumaye au Lowassa mahakamani Mkapa au Kikwete wataumbuka Ndugai anapotishia kwamba walioko upande wenu watakuwepo,ie mawaziri wakuu wastaafu,ni kwamba anajua dhahiri shahiri Mkapa/Kikwete na CCM kwa ujumla wake lazima waumbuke,cjui umenipata bwana mdg......?
Sililiza wewe nyumbu!

Hivi Sumaye na Lowassa unajua kwamba waliwahi kuwa mawaziri wakuu? Umejihoji na kuona ni kwa kiasi gani kwa nafasi zao wanahusika na haya?

Sasa kabla hujamgusa Mkapa na Kikwete fukuza kwanza Lowasaa na Sumaye ili ukitupa jiwe lisikurudie.
 
Mikwara mingine ni ya kimbuzimbuzi tu. Yaani anadhani kuwa upinzani watanyamazia uhalifu huu kwa sababu ya kuwahurumia Lowasa na Sumaye. Wawakamate leo waone kama kutakuwa na kilio huku.
Asitishie watu kwa maneno bali vitendo. Alete hoja bungeni ya kuwaondolea kinga aone kama kuna atakayepinga zaidi ya Chenge na Ngeleja wake. Hakuna aliye juu ya utaifa CDM.
 
Unaona jinsi gani Tanzania tumefikia kuwa na akili ndogo sana (akili ndogo mamlaka makubwa)? Watu tunaongelea kuwawajibisha viongozi kwa makosa makubwa yaliyotangulia, Speaker mzima, anatoa comment zisizo na mshiko kama hi!!! Kwani kama hao Mawaziri waliotangulia wana makosa kwa nini wasishitakiwe wawe CCM au upinzani?

Kwa nini mtu mzima kama Ndugai anadhani kila upnzani wakiongea ni kwa ajili ya kutetea maslahi yao na kukandamiza CCM? How can a person like Ndugai think in such an impotent manner?!? Labda matusi anayotukanwa yanastahili, kama kweli ametoa comment hama hiyo na yeye ni Speaker.

Yaani Ndugai anaona point ya kuwashitaki viongozi waliopita ni point dhidi ya CCM sio taifa? Aliyesema wastaafu waliohamia upinzani wasishitakiwe nani? Kwa nini unaleta uvyama kwenye comment zinazotolewa kwa maslahi ya taifa, na wewe ndio Speaker?


Kwa hili Ndugai amedhihirisha wazi hana uwezo, busara wala akili ya kuwa Speaker.
Ndugai bado hajapona île laana ya kumpiga mgombea mwenzake fimbo ya kichwa hadi akapoteza fahamu.
 
Hiyo sentensi sikutegemea mtu anayeongoza muhimili wa Bunge kutamka.
Anaongea kama vile wanatishiana, kama watashitakiwa si washtaki, kwa hiyo wapinzani watulie kwa sababu wana Lowassa na Sumaye?

Viongozi wa tz mmekuaje? em acheni mambo ya kitoto watu wazima na elimu zenu, mnafanya wengine tuone aibu kusema watanzania tunaongozwa na watu design hii.
 
Hayo maneno hayajatoka kwenye kinywa cha spika...yametoka magogoni
 
Back
Top Bottom