TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Hiyo kinga haimpi kibur bali inampa nguvu na umadhubuti wa kuitumikia nchi bila wasiwasi. Hiyo kinga ibaki.Ndio maana tunasema kinga inayompa kibur kikatiba iondolewe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo kinga haimpi kibur bali inampa nguvu na umadhubuti wa kuitumikia nchi bila wasiwasi. Hiyo kinga ibaki.Ndio maana tunasema kinga inayompa kibur kikatiba iondolewe!
Well said,
Hakuna haja ya kumshitaki mkapa wala hatutapata chochote..kumbuka mkapa yeye mwenyewe ameshajutia baadhi ya maamuzi yake mimi naona inatosha sana kwa binadamu yeyote..humiliation aliyokwisha pata is more than enough
tusonge mbele, tuwe na uwezo wa ki-taasisi ambao rais hatakuwa na madaraka na mamlaka makubwa ya kufanya kila uchafu...ni bora zaidi kuliko kutafuta na kupoteza muda for head hunting..what waste of time and resources??
mkapa ana makosa mengi lakini ana mazuri mengi pia...hivi kuna mtu ana makosa kama Bush wa merakani angalia wamerakani hawana muda na jamaa wanasonga mbele na mambo yao
sisi lazima tunajadili yaliyopita muda mrefu kuliko kujadili yajayo muda mrefu..wa type of people we are??? stupid, tumjadili na tumsaidie JK alete maedeleo aliyoahidi finito..
akishindwa tutafute namna ya kumweka pembeni nchi akabidhiwe mtanzania makini..na chama makini..OK
Hivi sheria hiyo ya kinga ikiondolewa, itaanza kutumika kwa nani?Ndio maana tunasema kinga inayompa kibur kikatiba iondolewe!
Sheria hiyo walitunga hao ccm na walipitisha wenyeweTukubali tu ukweli. Tujiulize:-
Kama sisi kweli sio MALOFA NA WAPUMBAVU kwa nini tulitunga sheria ya kumlinda mtu aliyetuibia matrilioni na kututukana juu ?
Mawazo yako hayafai kwa wewe kuishi Tanzania! Kwanini wewe usimuue?Nilishangaa yule askari kigoma amewaua wenzake ktk lindo badala angeua fisadi kama mkapa au RA
Kibaka anachomwa moto....
Jizi kubwa namna hii linakula a/c...
Nyumbani a/c, kwenye gari a/c, kila aendako a/c
Hiyo ndio tofauti kubwa kati ya vijibaka na jizi mkapa
Kwa Watanzania wote, wawe watumishi wa umma, wana siasa, wakulima, wafanya biashara, tuungane wote na kupeana elimu.Wanasema No One is Above The Law lakini tunajua Pakiwa na mtu ambaye hawezi shtakiwa maana yake huyo yupo above the law
Hilo litatokea, kwa sababu ilishatokea kabla. Kama mnakumbuka vema, siku za nyuma wakati chama cha CUF kilikua na wabunge wengi na kutengeneza kambi rasmi ya upinzani bungeni, CUF wakushirikiana na CCM waligoma kuwapa madaraka wapinzani wenzao akina UDP, NCCR na Chadema. baada ya mambo kugeuka na Chadema kufanya majority ya wabunge, CCM walitaka walibadili vipengele ili Chadema wawashirikishe madaraka wapinzani wenzao. Hii ni kabla ya mpango wa UKAWA.Kukionekana dalili za upinzani kuingia magogoni kitabadilika.
Wanatengenezewa wigo wa kufanya lolote na pia hali hii inawafanya viongozi hao kuwa miungu watu! Hakika siku kinga zikiondolewa tutaheshimiana! Watawaheshimu raia wanaowaongoza na waliopata kuwaongoza!Nataka kuwasiliana na mwanasheria wangu nione jinsi gani naweza kumfungulia mashtaka BM kwa kutukana. Na Fanya hivyo kwa niaba ya Watanzania tuliotukanwa.
Ila nijue kwanza, jee baada ya kukabidhi ofisi bado ana Kinga dhidi ya makosa ya jinai na madai?
Nataka niiombe mahakama pia izuie asilipwe pension yake kwa kuwaita hao wanaomlipa kwa kodi zao wapumbavu.