Kinga wanayokwenda kuwekewa Polisi 'undercover' kwenye Sheria inaweza ikahalalisha Polisi kufanya uhalifu dhidi ya binadamu kama Mtwara?

Muda si mrefu inakuja KATIBA MPYA , huo uchafu wote utafutiliwa mbali
HAYO UNAYOYAFIKIRIA SAHAU KATIBA MPYA UTAISIKIA TU TUNAJENGA UCHUMI KWANZA THEN HAYO YA KATIBA BAADAE KWANZA HII INATOSHA WAPI WEWE UNAONA HAPAKUFAI?
 
Halafu mnataka Katiba mpya
Hata ikija mpya itavunjwa tu na hatuwafanyi kitu

Mtu anasimama jukwani anaweka sheria anayotaka yeye mpya kutoka kichwani kwake na watu wanapiga makofi ni ujinga mtupu

Tutapitishiwa sheria za ajabu ajabu na tutabaki kusema tunataka KATIBAAAAAAA my [emoji3097]
 
Huo mswada uko wapi?

Polisi wanaua watu na raia Pia nao wanaua kila siku unasikia mtu amemuua mama yake au Baba yake NK.

Jamii imeamua na Polisi wanatoka katika ndani ya jamii
 
Hakuna marefu yasiyo na ncha. Ni hatari kubwa sana kuwa chini ya kiongozi muoga sana. Obote kabla ya kupinduliwa alikuwa kiongozi mzuri sana lakini aliporudi mara ya pili aliua sana tofauti na Idd Amin ilikuwa ndogo sana.Hata hivyo woga haukumsaidia, alifurushwa ikulu na jeshi lililo dhaifu sana. Katikati ya dhoruba na kukataa tamaa Mungu hukidhihirisha. Tusimuache Mungu, yanayoendelea yote anayaona. Waliopo leo hawakujua watakuwepo,Kama waliokuwepo kudhani watazidi kuwepo kumbe hawatakuwepo. Mungu ibariki Tanzania.
 
Sita shangaa Hilo, Kwa weledi wa kitanzania tunatunga sheriakusawazisha makosa waliyotenda wanatoa pendekezo la kupewa kinga mfano na mfanano ni alichokifanya mzee wa bakora na wenzake , hivi sasa japo amekimbilia pangoni,Sasa ni zamu ya akina badluck and co. Mr. Slow kazi kwako katoe ntu pangoni🤔.
 
Watsfanya watakavyowakijua Kinga ipo.
Nin dhumuni la kujiwekea Kinga kwa binadam? Tafsiri yake Ni kwamba atakosea na hawajibishiwi kwa iyo atakua just ya sheria hataka Kama akikosea au kutumia sheria vibaya!hili litawamaliza CCM wenyewe ,Hapa naona haki za kibinadam zikivunjwa zaidi na samia!Hii haihitaji chama kujua ,Tuna sheria ili iweje?nna tusi moja la moyoni nimevunga ,
 
Swala Ni kwamba katiba iloyopo haitoi mwanya kwa anaebadilisha au kuvunja kuhukumiwa kwani imeshasema rais hakosei na yu juu ya sheria Maasi mengi yanafanyika kupitia rais kwa sababu toke a mwanzo hashitakiwi na Ni kuzuga 2 Kenya imewezekana south Ghana n.k katiba nzuri
 

Ndio maana aliyeenda aliisigina haswa
Ila ni waoga sana wa kubadili na kukubali katiba mpya
Utafikiri watakuwepo maisha
 
Ndio maana aliyeenda aliisigina haswa
Ila ni waoga sana wa kubadili na kukubali katiba mpya
Utafikiri watakuwepo maisha
Mi namshangaa sana anayepinga katiba mpya nzuri akizani Ni ya CDM kumbe Ni ya watz Wote tumeona jinsi gan ata magereza yanajaa kisa kesi za kubambikizwa na viongozi walafi wa serikali baada ya Kinga hizi!mambo mengine Ni ya FAIDA Sana Katiba ndio msingi wa maendeleo itafika 2025 hata ayo maendeleo huyaoni !Haijaanza leo naniii nchi nzima inashabikia ujenzi wa shule moja ndani ya miezi sita hayo ndio maendeleo ?
 
Ndo Watanzania muone jinsi gani CCM ilivyo takataka, uzuri wake ni kwamba hizi hizi sheria zitampeleka the Hague Samia,muda utaongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…