kibol
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 4,521
- 2,747
Utakua unaliwa wewe na inawezekana hujaoga!
mkuu unaitafuta burn, watu km huyo pimbi hapo juu wanatia kichefu chefu kwa kauli zao lakini ni vyema kuwapuuza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakua unaliwa wewe na inawezekana hujaoga!
i have liked your post simply because of that statement in red there.What you have noted is absolute true(in eye of the law).
Mr.Pinda is in breach of constitutional provisions( rule of law) of the Constitution of the United Republic of Tanzania,1977(as amended time to time). Being the case then according to constitutional principles; the constitution is the mother law.All laws in the country must be in-conformity to the constitution of that country. It should be noted further that, in a situation where any law(Acts,Rules,Regulations,Orders) is in conflict with the constitutional provision, then automatically the constitutional provision prevails. In this case, the constitutional provision is on rule of law by all colors must prevail over the provisions of immunity of the parliamentarians when in parliament, as provided in that particular act.
WHEREFORE the case against Mr.Pinda sustains.
Hapo hakimbii mtu!
wanaojiita wanaharakati wa LHRC ni makada wa chadema niliwaona kwenye ITV ni wachagga, je unategemea watatumia weledi kujua kama mbunge akisema bungeni anashtakiwa au maamuzi yake ataongozwa ubavicha?
Wanaharakati wanaonekana kuweweseka na kauli ya Waziri mkuu kwa kuwa wao ni washawishi wakubwa kwa watu kuandamana, na kwa kauli ya waziri mkuu wanajiona wao nao watakuwa wahanga wa kauli hiyo, Hivi hawajui au wamesahau kuwa mbunge hatashitakiwa kwa kauli yoyote aliyoitoa bungeni. Pinda aliongelea bungeni, mimi naona wanatakiwa waombe muongozo wa spika kwa kutumia wabunge na sio kwenda mahakamani, hapa itakula kwao.
Wewe msukule yaelekea una mzia na wachaga. Utakonda sana na akili zako rojo rojo za kushikiwa hapo Lumumba.wanaojiita wanaharakati wa LHRC ni makada wa chadema niliwaona kwenye ITV ni wachagga, je unategemea watatumia weledi kujua kama mbunge akisema bungeni anashtakiwa au maamuzi yake ataongozwa ubavicha?
kamuulize kwanza kinana alikwenda mahakamani kumshikataki msigwa kuhusu Tembo
Katiba ndio sheria mama,sheria nyingine zooote zinatokana na katiba,kwa mantiki hiyo basi kama sheria inakinzana na katiba kwa vyovyote vile katiba itasimama juu ya hiyo sheria.
Wanaharakati wanaonekana kuweweseka na kauli ya Waziri mkuu kwa kuwa wao ni washawishi wakubwa kwa watu kuandamana, na kwa kauli ya waziri mkuu wanajiona wao nao watakuwa wahanga wa kauli hiyo, Hivi hawajui au wamesahau kuwa mbunge hatashitakiwa kwa kauli yoyote aliyoitoa bungeni. Pinda aliongelea bungeni, mimi naona wanatakiwa waombe muongozo wa spika kwa kutumia wabunge na sio kwenda mahakamani, hapa itakula kwao.
Wanaharakati wanaonekana kuweweseka na kauli ya Waziri mkuu kwa kuwa wao ni washawishi wakubwa kwa watu kuandamana, na kwa kauli ya waziri mkuu wanajiona wao nao watakuwa wahanga wa kauli hiyo, Hivi hawajui au wamesahau kuwa mbunge hatashitakiwa kwa kauli yoyote aliyoitoa bungeni. Pinda aliongelea bungeni, mimi naona wanatakiwa waombe muongozo wa spika kwa kutumia wabunge na sio kwenda mahakamani, hapa itakula kwao.
unataka kutetea nini hapa ,huku uraiani hakuna mwongozo wa spika ni sheria hadi mh.pinda asipindishe kauli zake zenye utata kwa taifa .wanaharakati wanaonekana kuweweseka na kauli ya waziri mkuu kwa kuwa wao ni washawishi wakubwa kwa watu kuandamana, na kwa kauli ya waziri mkuu wanajiona wao nao watakuwa wahanga wa kauli hiyo, hivi hawajui au wamesahau kuwa mbunge hatashitakiwa kwa kauli yoyote aliyoitoa bungeni. Pinda aliongelea bungeni, mimi naona wanatakiwa waombe muongozo wa spika kwa kutumia wabunge na sio kwenda mahakamani, hapa itakula kwao.
wanaojiita wanaharakati wa LHRC ni makada wa chadema niliwaona kwenye ITV ni wachagga, je unategemea watatumia weledi kujua kama mbunge akisema bungeni anashtakiwa au maamuzi yake ataongozwa ubavicha?
Kinga ya mbunge ni pale anapoongea jambo akiwa ndani ya bunge, na pinda ni mbunge na ameongelea ndani ya bunge.Kinga ipo palepale.
Huyu p. Ni mb..wa tu
Kinga ya mbunge ni pale anapoongea jambo akiwa ndani ya bunge, na pinda ni mbunge na ameongelea ndani ya bunge.Kinga ipo palepale.