Kuna nini mkuu?Kuna vilaza wanadhani kuongea vingereza vingi kwenye mikutano na wananchi au kuwa na mialiko ya makongamano ulaya ndio sifa ya kuingoza nchi .
Acheni kujidanganya...tupo wababe wa vingereza na uwezo mkubwa wa presentation and public speaking tumetulia tunawacheka tu.
Acheni utoto !
Presentation 🤔Nimeweka wazi kwamba preseantation kwenye makongamano si lolote si chochote kwenye issue genuine za kitaifa
Jingalao tema yai kwenye shimo la choo na wewe tukuone kweli unatema au unamezatupo wababe wa vingereza na uwezo mkubwa wa presentation and public speaking tumetulia tunawacheka tu.
Umesema shule na vyoo?Shule na vyuo vililetwa kwa ajili ya watu kama wewe.
Jingalao umefanana na jina lakoSana lakini ukweli usemwe
Wewe nataka tutemeane mayai hapahapa haya anza kummwaga Mfalme Charles tukusikieKuna mada zangu nimemwaga ngeli hawa jamaa sijawahi kuwaona kule.kama wana guts tukutane kule
si ufanye presentation kwa wanao sasa gentleman, makasiriko na povu jingi hivyo ni ya nini ndugu muerevu ?Kuna vilaza wanadhani kuongea vingereza vingi kwenye mikutano na wananchi au kuwa na mialiko ya makongamano ulaya ndio sifa ya kuingoza nchi .
Acheni kujidanganya...tupo wababe wa vingereza na uwezo mkubwa wa presentation and public speaking tumetulia tunawacheka tu.
Acheni utoto !
Vyoo au Vyuo? Unanichanganya Jingalao unajuavyuo...thats it