Kingo za daraja la Tanzanite zimegongwa


Waafrica hatujaumbwa kuwa na vitu vizuri
 

Na huu ni uzembe Tu, coz Hilo daraja Lina camera 4 but kama unavyojua vitu vya serikali possibly camera zote zimekufa, coz hata lile Air-conditioning pale haioneshi kama inafanya kazi

Waafrica Sisi bado sana
 
Mbona miaka saba sasa zinapita na hawavunji kingo za daraja? Kwahiyo tatizo ni magari au tatizo ni hilo daraja kuwa chini ya kiwango? Maana huwezi kuweka mahindi nje wanakocheza ngedere halafu ulalamike ngedere wakorofi.
 
Huyo mgongaji hajazama baharini ili akili imkae sawa😂
 
Mbona miaka saba sasa zinapita na hawavunji kingo za daraja? Kwahiyo tatizo ni magari au tatizo ni hilo daraja kuwa chini ya kiwango? Maana huwezi kuweka mahindi nje wanakocheza ngedere halafu ulalamike ngedere wakorofi.
Kingo za Nyerere Bridge ni za solid concrete
 
Wa afrika tu napenda kufatilia sana hata kama anajua atafanya ovyo tu ili mradi apate kiki
Kuna Jamaa Aliingia Chooni akanya pembeni na ni Choo cha kulipa na kilikuwa ni kisafi hakujua na haja ya kujisaidia pembeni.
Jamaa alilomaliza kunywa pembeni akatoka nduki na usela Mavi wake
Ile anamaliza kimlango tu ale Kona akavutwa shati,
Jamaa akahamaki kisela Hoya vipi tunavutana kihivyo sinishakulipa matatu zako
Rudi kazoe Mavi yako unadhan hatujaona ujinga wako, njoo huku uone jamaa kuingia kwenye kaofisi Lao du anaiona kwenye cctv camera anavyokunya pembeni kwa raha zake
Akataka kupandisha
Wazee wakamwambia tu naweka kamera kwa watu kama nyie na ukimaliza kutoa divi lako jikate Hakuna kunawa
Hii ndo inawafaa wabongo msela Mavi
 
Wamejenga daraja la mamilion wanashindwa kufunga camera za laki5
 
Kwani mimi dini yangu ni ipi?

Mkuu acha malalamiko hapa mnasue mtume kanaswa.
 
Tatizo la serikali hii ya ccm mambo muhimu yahusuyo ujenzi wa miundombinu kama magorofa madaraja pamoja na barabara ni kama imebinafsisha kwa Wachina kana kwamba hili nchi ni mali yao na wanafanya watakavyo.
Wanajua nini wanafanya unampa mbongo kulipa wafanyakazi tu shida kazi mbovu uchelewaji kufikia tamati hakuna watu wenye dharau km kampuni za kibongo watu wanafanya kazi kulipwa pesa mpaka ufanye kazi kuomba ulipwe
 
Umesahau mkoa wa chato stand ya chato uwanja wa ndege chato buigiri Nation Park eti ndio maana Wahaya walikataa kugawanywa mkoa wao kwa sababu ya ubinafsi stand ya Bukoba na stand ya chato uwanja wa ndege chato na uwanja wa ndege Bukoba Tabora Kigoma nk ubinafsi utawaua. Mikoa kwa mikoa wilaya kwa wilaya na hutegemea na ukuaji wa mji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…