Nakuunga mkono na kuongezea hoja zifuatazo:
1. Tume na wasimamizi wa uchaguzi kwenye vituo vya kupiga kura wote ni makada wa CCM. Kwa hiyo hawatakubali kuona chama chao kikigaragazwa na wapinzani.
2. Kauli iliyotolewa na M/kiti wa CCM ambaye ni mgombea urais ya kwamba: .."Unapewa mshahara mkubwa, gari nzuri, n.k; halafu utangaze mpinzani kashinda".. bado imesimama na haijakanushwa.
3. Kifungu cha kanuni za maadili ya uchaguzi kwamba siyo lazima mawakala wa vyama kwenye vituo vy kupigia kura kupewa nakala za matokeo inaashiria na kuhalalisha udanganyifu.
4. Kamanda Siro ameagiza watu kutolinda kura zao kituoni. Hii inaruhusu kura kuibiwa au kuharibiwa.