Kingunge: Bila tume huru, wapinzani wasahau kuingia Ikulu

Kingunge: Bila tume huru, wapinzani wasahau kuingia Ikulu

Sijui kuna mkakati gani vyama vya siasa wadau na Watanzania wapenda haki kudai tume huru na katiba bora!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Na vyama vya upinzani vikikubali kuingia kwenye uchaguzi chini ya Magu bila ya Tume huru basi ndio karata ya mwisho ya kufa kwao.
Neno kuwa vyama hivi vife litatimia Octoba 2020.
Sasa nani anataka nchi hii kuwa na vyama vya upinzani aina ya TLP au UDP?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala la Tume huru halihitaji muda mrefu kama kulea mimba, ni suala la muda mchache tuu.
Viongozi hao waliotajwa wakiamuwa kushirikiana kulipambania ni kufumba na kufumbua tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kuota hivyo hivyo kuwa utapewa tume kufumba na kufumbua
Mkiwa bize kulilia tume,ccm tupo bize kusimika wagombea na kuandaa vifaa vya kampeni
Mkija kustuka muda umeisha,mnatangaza kujitoa dakika za mwisho mkitegemea mabeberu watawabeba
 
kudai te huru sio jukumu la upinzani na viongozi wake..
tume huru ni kwa manufaa zaidi kwa raia so hata wew unajukumu la kudai tume huru..

Sent using Jamii Forums mobile app
Vyama vya upinzani vipo kisheria na vina majukwaa ya kusemea. Jukumu hilo ni langu na lako kupitia kuunga mkono hoja hiyo.
Haiwezekani kila mtu kusimama kupigania Tume labda kwa maandamano ambayo lazima yawe na uratibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kuota hivyo hivyo kuwa utapewa tume kufumba na kufumbua
Mkiwa bize kulilia tume,ccm tupo bize kusimika wagombea na kuandaa vifaa vya kampeni
Mkija kustuka muda umeisha,mnatangaza kujitoa dakika za mwisho mkitegemea mabeberu watawabeba
Kusimika wagombea sio hoja, mbona uchaguzi wa SM mliamua kucheza faulu pamoja na kusimika wagombea? Ni baada ya kugundua mkiingia kwenye ule uchaguzi kwa njia sawa sasa hivi ungekuta more than 70% ya wenyeviti sio wa ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nashukuru kwa kutoa hili angalizo, ni zaidi ya mara moja nimewahi kusema huenda kwa sasa vyama vya upinzani havijui wananchi tunataka nini. Nakumbuka wakati wa kujiandikisha uchaguzi serekali za mitaa Mbowe na Halima Mdee walihimiza watu wakajiandikishe kupiga kura lakini tuliwakatalia kwa macho makavu, lakini naona hawakujifunza. Wakaenda tena kuomba maridhiano kitu ambacho tuliwaambia hakipo na ni kujimaliza. Katika hilo ni kama wanachemka.

Kuna baadhi ya nyuzi nimeshasema kuhusu kudai tume huru ya uchaguzi na jinsi ya kufanya. Lakini sioni viongozi wa upinzani wakajishughulisha na hili. Ni hivi, wananchi tunaojitambua na ambao wengi wetu ni wapiga kura wa upinzani hatutashiriki uchaguzi bila tume huru ya uchaguzi. Hivyo vyama viendelee kutaka kushiriki uchaguzi bila kudai tume huru ya uchaguzi, lakini sisi wengi hatutashiriki. Umma tunaweza kudai tunachokitakata bila msaada wowote wa chama cha siasa, kiwe upinzani au tawala.
 
Kusimika wagombea sio hoja, mbona uchaguzi wa SM mliamua kucheza faulu pamoja na kusimika wagombea? Ni baada ya kugundua mkiingia kwenye ule uchaguzi kwa njia sawa sasa hivi ungekuta more than 70% ya wenyeviti sio wa ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuhamisha goli,makosa ya kususia SM,sasa hivi yamewatupa kabisa nje ya SM,susieni na General Elections muone kama mtapata mabeberu wa kuwasaidia
 
Anzeni tu kujikanganya,mkipata kura tano msiseme mmeibiwa
Suala la tume mlitakiwa mlianze mara bada ya uchaguzi wa 2015.
Mnakurupuka leo na kujazana ujinga wa kususa,nyie suseni tu,sie ccm tunaingia uchaguzini 100 kwa 100

Nyie ccm sio kuingia tu, hata mkitaka mnaweza kwenda kuishi kwenye vituo vya kura kuanzia sasa. Nyie ndio wafaidika wa hizi chaguzi za kishenzi chini ya tume isiyo huru ya uchaguzi. Hivyo kwenu tume huru ni kikwazo, tutashangaa msiposhiriki. Lakini sisi umma tunaojotambua hatuko tayari kushiriki uhayawani wowote bila tume huru ya uchaguzi. Uzuri ni kuwa njia ya kura ni moja ya njia za kuweza kupata viongozi kwa uhalali, lakini sio njia pekee ya kupata viongozi. Umma utaonyesha nguvu yetu, na hao viongozi wa vyama vya upinzani wasiojua wajibu wao na matakwa ya umma tutawakataa kiwaziwazi pindi umma utakapochukua hatua.
 
Mie nadhani tususe moja kwa moja..tunawabeba hawabebeki!...wanakera sana! Sijaona impact ya Mnyika kbs! Kile kiti Heche kilimfaa sana! Mnamchagua Mnyika amekuwa mwogaa!...msituchoshe !
 
Nyie ccm sio kuingia tu, hata mkitaka mnaweza kwenda kuishi kwenye vituo vya kura kuanzia sasa. Nyie ndio wafaidika wa hizi chaguzi za kishenzi chini ya tume isiyo huru ya uchaguzi. Hivyo kwenu tume huru ni kikwazo, tutashangaa msiposhiriki. Lakini sisi umma tunaojotambua hatuko tayari kushiriki uhayawani wowote bila tume huru ya uchaguzi. Uzuri ni kuwa njia ya kura ni moja ya njia za kuweza kupata viongozi kwa uhalali, lakini sio njia pekee ya kupata viongozi. Umma utaonyesha nguvu yetu, na hao viongozi wa vyama vya upinzani wasiojua wajibu wao na matakwa ya umma tutawakataa kiwaziwazi pindi umma utakapochukua hatua.
Umma gani unaousemea hapo,labda chadema wenzako
Maalim sefu hawezi kuwasikiliza na kufanya tena kosa la kususa kwa sababu anakwenda kuwa chama kikuu cha upinzani katika bunge la JMT
Hilo ndio linawapa homa,ndio maana mnatafuta vijisababu kuharibu uchaguzi mnajua hakuna chenu safari hii
 
Acha kuhamisha goli,makosa ya kususia SM,sasa hivi yamewatupa kabisa nje ya SM,susieni na General Elections muone kama mtapata mabeberu wa kuwasaidia

Kwa taarifa yako kiongozi yoyote ambaye hajachaguliwa na umma hata kama yuko ofisini bado hana uhalali wa umma. Mimi kwenye mtaa wangu kiongozi wa SM za mitaa kaitisha mkutano mahudhurio yalikuwa duni sana. Ni kweli yuko ofisini lakini umma hauna ushirikiano naye. Ujue hata viongozi wanaioingia kwa kupindua nchi huwa wanawatendaji huko kwenye mitaa, Ila uhalali wa umma haupo.
 
Mtakwenda tu,subiri uandamane uwekwe mahabusu,barua ya dhamana mtapata wapi?
Tunawajua nyie,mlihimizana kuvunja line za voda lakini mka renew kimya kimya
 
Umma gani unaousemea hapo,labda chadema wenzako
Maalim sefu hawezi kuwasikiliza na kufanya tena kosa la kususa kwa sababu anakwenda kuwa chama kikuu cha upinzani katika bunge la JMT
Hilo ndio linawapa homa,ndio maana mnatafuta vijisababu kuharibu uchaguzi mnajua hakuna chenu safari hii

Naona bado uko kwenye blanketi la chama kipi kiwe kikuu cha upinzani, hata TLP kiwe chama kikuu cha upinzani bado hakiondoi uhitaji wa tume huru ya uchaguzi. Mnaweza kuwaongopea wasaka madaraka, sisi tunataka mfumo utakaoweza kutupatia viongozi wanaokubalika na umma, na wala hatutaki tume huru eti ili cdm kiwe chama kikuu cha upinzani.
 
..."Roho iko radhi, bali Mwili ni dhaifu"

Wananchi wako tayari kutaka hiyo tume huru, lakini hao viongozi uliowataja ni dhaifu sana mbele ya pesa.
Tambua siasa kwao ni ajira, kuwaambia wasusie uchaguzi ni sawa na mwajiriwa kuandika barua ya kuacha kazi wakati hana kazi.
Ni ngumu.
 
Mtakwenda tu,subiri uandamane uwekwe mahabusu,barua ya dhamana mtapata wapi?
Tunawajua nyie,mlihimizana kuvunja line za voda lakini mka renew kimya kimya

Unanichukulia kirahisi nini, yaani nivunje line ya simu kisa kuna mwanasiasa kaniambia, sinaha ubongo huo. Najua kipi niunge mkono na kipi ni kichekesho. Kwenda kwenye ofisi ya mtendaji ndio kumkubali? Pale nafuata huduma halali iliyopo kisheria, hata kama mtendaji angekuwa mzungu. Hata nikikuta mtendaji hayupo hiyo huduma nitapata maana sio hisani yake.

Naona unatishia magereza, kwani wote walioko huko wako kwakuwa waliandamana? Kwa hiyo mnanajisi chaguzi kwakuwa mnajua watu wakiandamana mtatumis madaraka kuwaweka ndani? Ni hivi, watu wote tunaojitambua marufuku kushiriki uchaguzi bila tume huru ya uchaguzi fullstop.
 
Endelea kuota hivyo hivyo kuwa utapewa tume kufumba na kufumbua
Mkiwa bize kulilia tume,ccm tupo bize kusimika wagombea na kuandaa vifaa vya kampeni
Mkija kustuka muda umeisha,mnatangaza kujitoa dakika za mwisho mkitegemea mabeberu watawabeba

Kimsingi wapinzani hawafanyi kazi kwa utashi wako, wanaweza kudai muda wowote wanaoona unafaa, na sio muda unaopendekeza ww. Kama unasimika wagombea is non of our business, tunachojua bila tume huru ya uchaguzi, hakuna watu wanaojitambua kushiriki uchaguzi.
 
Ivi kweli ndg yangu ukiwaangalia usoni hawa wapinzani unaiona sura ya hata mmoja wao inayoonyesha hali ya kususa hapo..? Kwanza hawajui hata wanachokihitaji...!
 
..."Roho iko radhi, bali Mwili ni dhaifu"

Wananchi wako tayari kutaka hiyo tume huru, lakini hao viongozi uliowataja ni dhaifu sana mbele ya pesa.
Tambua siasa kwao ni ajira, kuwaambia wasusie uchaguzi ni sawa na mwajiriwa kuandika barua ya kuacha kazi wakati hana kazi.
Ni ngumu.

Uzuri ni kuwa hao viongozi wanategemea kura zetu kupata hayo madaraka, ni vyema wakajikita kuhakikisha kuna kuwa na tume huru ya uchaguzi, maana sioni mtu mjinga wa kwenda kupanga mstari kisha kwenye matokeo anatangazwa mtu tofauti na idadi ya kura. Naona umetoa mfano wa ajira, kwani hata hiyo ajira utaifanya ukiwa huna uhakika wa kulipwa malipo stahiki?
 
Back
Top Bottom