Dawa sio kuzira,washiriki tu,kwa kuwa no uchaguzi mkubwa,kina nape,mnyeti,etc hawawezi kujigawa nchi nzima,wataambulia baadhi,muhimu sasa wajkite kufanya siasa za media,utube etc,waache mambo ya maandamano,mikutano ya hadhara etc,in short wawaachie ccm uwanja ili wananchi wenyewe wajudge performance yao,
Then ikibaki miezi 6,wanaibuka kwa speed ya jeti na mascandali kibao kama yapo,
Ila kwa sasa wajikite kwa siasa za taratibu ili wasiwe exposed kwenye hatari za kufungwa etc,
Na ikibidi wahamie ccm kwa maelfu na waunge mkono juhudi za rais,etc