Tetesi: Kingunge kurejea CCM wiki hii?

Porojo za serikali tatu hazijawai kumuacha MTU salama@slow slow
 
nyie mlikua na nsimamo kumpokea lowasa? na badae sumaye??....nyie watu bana sijui mkoje

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwa mujibu wa polepole kuna mzito atarudi huko....ruma z mjini ni lowassa atarudi kwa sharti agombee urais magu akae pembeni
 
Time will tel

Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
 
kwani ccm huwa anapokea makapi au matapishi, wacha tuone, si walisema wanaotoka ccm kwenda vyama vingine ni makapi, scrapper au oil chafu, sasa wacha tuone watakavyopokea oil chafu
 
kwani ccm huwa anapokea makapi au matapishi, wacha tuone, si walisema wanaotoka ccm kwenda vyama vingine ni makapi, scrapper au oil chafu, sasa wacha tuone watakavyopokea oil chafu
Walimpokea wasira juzi wakampokea mwapachu wakampokea slaa wengi tu wapowapokea aka.matapishi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Leo mnamkataa kisa kuna tetesi?
Nyumbu bwana na mkumbuke mkirudi lumumba mshaambiwa mikia yenu itakatwa ili msiwe km nyumbu wa Ufipa.

sweeper
 
Aliondoka jahazini kwenda kwenye kaboti, kaboti kakazidiwa upepo na mawimbi, jahazi linasepa, akirudi poa kwa ushauri ili nafikiri wa kijani wanahitaji damu changa machachari wanaojiamini...
Labda ndio Polepole anasema wanajiandaa kumpokea kiongozi mkubwa wa upinzani wiki hii(amesahau kuwa ni mwenzao bado)kumbe watanzania wanakumbuka kuwa hajawahi tioka na kuhamia chama chochotea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…