Congo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 2,081
- 2,325
Anaweza kupokelewa ili afukuzwe vizuri. Au anarudi akiwa sio kiongozi wa ngazi yoyote hivyo hana athari yoyote. Waliofukuzwa walikuwa viongozi.Kingunge hakuwahi kutoka ccm...hakujiunga na CDM ...yeye alikuja kuweka nguvu tu kwa lowassa ambaye aliamini kuwa kiongozi bora kuliko magufuli....
Hivyo anarejea wapi sasa ?
Tuseme anataka kurudi kwao ok fine ...hio itakuwa unafiki mkubwa wa ccm kumpokea...watakuwa watu wa ajabu sana kwani mtakumbuka hivi majuzi iliwafukuza wote walokua na msimamo wa kingunge hawa kina Sophia Simba na wenzake...hivyo hili litaonesha kuwa hawana msimamo.
Post sent using JamiiForums mobile app