Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kingunge ni muumini wa ujamaa wa urusi.... baada ya kutumwa Na nyerere kwenda kujifunza ukomunisti enzi za USSR ndipo aliachana na ukristo. Si yeye tu wapo wengi. Acha kuweka hadithi za kitoto.Matusi ya nini kwny Mjadala wa kawaida sana Kama huu , nidanganye kwa interest ipi hapa? Ikiwa Kanuni yako ni kila ulichosikia Mwanzo ndio ukweli hilo sio kosa langu ni la kwako!
Uongo huwa uongo kwa kuweka ushahidi unaothibitisha huo Uongo!
Ukisema uongo bila ya uthibitsho nikupe jibu gani?
Tafuta Hotuba ya Mzee Kingunge Mwenyewe akiliponda Kanisa Katoliki kwa kutoa Waraka wa Uchaguzi 2010 uanze kupaata Mwanga wa nikichosema,
Ndio njaa ya madaraka na pesa za madili kama ya epa na Richmond au escrow.Kwa hiyo Lowasa alipohamia chadema ilikuwa njaa ??
Post sent using JamiiForums mobile app
Alikotoka Lowasa!Sawa...kwani alitoka wapi??
Hahahaaaaaaa Mwala bhana!ni nyinyi ndo mnamtamani fisadi wetu😵
C ANAITWA FISADI WETU?Hahahaaaaaaa Mwala bhana!
Aisee nimekusoma mkuuNi kweli ila alikisaliti chama chake cha ccm kwa kukifanyia kampeni chama cha ukawa kwenye uchaguzi mkuu wa 2015.
Lakini hata baada ya kufanya usaliti huo chama chake cha ccm hakikumchukulia hatua yo yote ya nidhamu hususani hakikumtimua kwenye chama kama kilivyo watimua wasaliti wengine kama akina Sophia Simba. Chama chake cha ccm hakikufanya hivyo kwa sababu ya heshima kubwa iliyonayo juu yake.
Hata wazee kama Lowassa na Sumaye chama chao cha ccm hakijawahi kuwatimua, na wao wala hawajarudisha kadi zao za chama na wala hatujawahi kuwaona wanakabidhiwa kadi za CDM hadharani kama walivyopewa akina Wema Sepetu!! Haya mambo ni kiini macho.
Naye kahamia chadema?!muulize SIZONJE
KUMBE UNAMJUAA?Naye kahamia chadema?!
HUYU MHENGA ANATANGATANGA TU...
NJAA MBAYA SANA
Post sent using JamiiForums mobile app
Alisema hana Chama ila alimuunga mkono Lowassa kwenye Kampeni za Urais 2015.Kuna taarifa zinaenea kuwa Kingunge Ngombale Mwiru anarejea CCM wiki hii inayoanza leo. Kuna yeyote anayejua ukweli/uzushi wa habari hii atujuze!
Umetumia taaluma gani kulijua hiloNina uhakika wale wote waliojitoa CCM huku wakiwa na nafasi za ulaji na kujiunga upinzani na hata wale ambao walidai hawatojiunga na chama chochote watarudi CCM kabla ya 2020,time will tell.
Kama unakumbuka vizuri hata Sumaye alisema hivyo hivyo!Alisema hana Chama ila alimuunga mkono Lowassa kwenye Kampeni za Urais 2015.
Kwahiyo sasa UKAWA ndio wameishiwa pumzi!Ni kweli hajawahi kujiunga na chama tofauti na CCM. alipingana nao tu kuhusu utaratibu
Kweli kabisa mkuu!Hawa watu wengi wao wametoka CCM ama kwa uchu wa madaraka au fedha au ugomvi baina yao na viongozi wenzao sasa huko walipokwenda wakiona hawajafanikiwa na wengine hasira zao zikiisha watatafuta visingizio vya kurudi walipotoka,amini nikwambiayo.
Mkuu hiyo ndio SIASA...Kingunge hakuwahi kutoka ccm...hakujiunga na CDM ...yeye alikuja kuweka nguvu tu kwa lowassa ambaye aliamini kuwa kiongozi bora kuliko magufuli....
Hivyo anarejea wapi sasa ?
Tuseme anataka kurudi kwao ok fine ...hio itakuwa unafiki mkubwa wa ccm kumpokea...watakuwa watu wa ajabu sana kwani mtakumbuka hivi majuzi iliwafukuza wote walokua na msimamo wa kingunge hawa kina Sophia Simba na wenzake...hivyo hili litaonesha kuwa hawana msimamo.
hajawahi toka CCM, alitofautiana nao, hajawahi rudisha kadi au kuingia chama chochote
Hapana yake ilikuwa ni kuvimbiwaKwa hiyo Lowasa alipohamia chadema ilikuwa njaa ??
Post sent using JamiiForums mobile app